Uchambuzi: Bomba la mafuta ya wizi Ungindoni, Kigamboni

Hatuna Usalama wa Taifa inchi hii, ni Usalama wa Matumbo yao, na ukijichanganya kwenye anga za mishe zao unasomeshwa namba , Inchi hii Kaka Mshana Jr ni Ngumu sana kuwa Mzalendo.
 
Mkuu wangu, wengi viongozi wetu hua wanakosea sana kuna kipindi waziri flani alikua akiongea kuhusu mambo ya lami ikanibidi nishangae peke yangu
 
Mkuu wangu, wengi viongozi wetu hua wanakosea sana kuna kipindi waziri flani alikua akiongea kuhusu mambo ya lami ikanibidi nishangae peke yangu
Hawaandaliwi au hawajiandai...!
Nje ya mada, hongera kwa ujenzi mzuri wa barabara Kimara Kibaha.. Mapungufu yapo lakini si kama yale niliyoainisha kwenye ile mada yetu.. Ujazo wa lami umenikosha na mkandarasi kajitahidi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna stage 4. Tunaweza kujipanga though[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827]
SASA MZEE BASI UWE UNAPUNGUZA UHANAHARAKATI...UPIGAJI UPO DUNIA NZIMA NA MAFIA WAPO..SASA UNACHOFANYA NI UNASIFIA,UNAKASIRIKA WEWE HUKUEPO AU UNAJIANDAA KUPIGA TENA HUELEWEKI MANGI... CHANGAMOTO KUBWA YA KISASI HUUMIZA PANDE ZOTE MBILI HATA KAMA MZAZI WAKO ASHAWAHI FANYWA MBAYA NA HII SERIKALI KAMA ULIVYOJITANABAISHA...BASI JIFUNZE KUSAMEHE NA KUSOGEA MBELE..OR ELSE UTAKUA UNAJITENGENEZEA VITANZI VIWILI.... YANAKAMATWA MADAWA YA KULEVYA HADI TANI 1 HATA HAMSIFII MDA WOTE KULALAMA TU
 
SASA MZEE BASI UWE UNAPUNGUZA UHANAHARAKATI...UPIGAJI UPO DUNIA NZIMA NA MAFIA WAPO..SASA UNACHOFANYA NI UNASIFIA,UNAKASIRIKA WEWE HUKUEPO AU UNAJIANDAA KUPIGA TENA HUELEWEKI MANGI...[emoji848][emoji3064][emoji848][emoji3064][emoji848] Sijakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana mkuu kwa pongezi lakini kuna mengine nyuma ya pazia, nakuja pm
 
Chaneli kama hizi huwezi kuzipata kama haupo kwenye CHAIN. Chaneli utakazisikia ni za forever living na wale wazee wa GOODMORNING!!
Kabisa mkuu lakn pia inahtaj uwe na roho ya chuma maana kikilipuka jua lolote linaweza kukutokea ikiwezekana hata uhai
 
Ule ni mtandao wa mwendazake na kamanda mambo leo,na bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…