Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,482
- 3,999
Haaaaa msumari umeingia kwenye mfupaLissu ni changamsha genge tu yeye mwenyewe anajua hana sifa za kuwa Rais
Kwa Nchi nyingine lissu alivyoisaliti Nchi angekuwa gerezani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaa msumari umeingia kwenye mfupaLissu ni changamsha genge tu yeye mwenyewe anajua hana sifa za kuwa Rais
Kwa Nchi nyingine lissu alivyoisaliti Nchi angekuwa gerezani
Lisu ameasariti vipi nchi yake?
Hao waliokamatwa na kuachiwa mnao ushahidi kuwa hawakufanya malosa ya uhujumu uchumi? Na kama ni hivyo mbona kuna watanzania wengi wanafanya biashara halali hawajakamatwa? Au ndio kuipaka matope serikali? Yaani huna kosa alafu usingiziwe bure?
Mnaipaka matope serikali kama mtu kasingiziwa wekeni ushahidi.Unauliza au unapigia jibu mstari?
Mnaipaka matope serikali kama mtu kasingiziwa wekeni ushahidi.
USITAFUTE umarufu kupitia Jina langu Kiazi wewe. Kajambe ulaleKafie Mali hu na maan
😊😊😊Jiue tu ukaungane kuzimu na rafikiyo Judas Iscariote aliyejinyonga baada ya kumsaliti Bwana Yesu Kristo.
Mkuu hapo USHINDI hakunaKua na akiba ya maneno mkuu
Hoja dhaifu sana ! maneno huumba , anayoyasema Lissu ndiyo atakayotenda , hivyo ndio ilivyo , Kwa mfano , Dr Magufuli amenukuliwa dunia nzima akiwaambia marafiki zake kabla ya kuwa Rais kwamba , nanukuu , " NIKIWA RAIS MTALIMIA MENO " mwisho wa kunukuu , je kwa sasa watu hawalimii meno ?
Magufuli katuma wengine kumuua Mbowe ,taarifa unayo ?Toa mfano japo mmoja wa alichosema Lissu kwa maslahi mapana ya nchi aksimamia kutekelezwa - maneno huumba
HainihusuMagufuli katuma wengine kumuua Mbowe ,taarifa unayo ?
Shetani hana rafiki , hilo ulitambueHainihusu
Hoja dhaifu kabisa kuwahi kutokea.Ana uwezo mzuri wa kuwasiliana kwa Lugha ya Kiingereza na Kiswahili. Hata akiwa Zimbabwe watamuelewa na hatutasikia phont page
Huu uchambuzi umejikiga kwenye fikla zako BinafsiAmani iwe nanyi Wadau.
kama wote mnavyojua leo ndo siku ile ambayo watanzania kwa pamoja wameweza kushuhudia hotuba ya kwanza kutoka kwa gwiji la upinzani, ndugu Tundu Antipas Lissu. Hotuba iliyokuwa imejaa utulivu, akili, busara na hekima iliyotukuka.
Kama kawaida CCM walipanga yao, kwanza walipanga vijana wao kushambulia kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo facebook na Youtube ili tu kujaribu kuonesha umma na dunia kuwa Lissu hakubaliki ila kiukweli Lissu kwa hotuba ya leo ameonesha kuwa amejiandaa vizuri na amejipanga vizuri kuwa Raisi wa Tanzania mwaka 2020.
Lissu ameweza kuelezea kwa kifupi na kueleweka sana hoja zote zilizotikisa kwenye miaka hii Mitano ambazo sio tu Chadema ila hadi CCM na watanzania kwa ujumla zimewagusa sana.
Hakuna ambae hajui kuwa wafanyabiashara wakubwa na wakati wamenyanyaswa sana kwenye kipindi hiki cha miaka Mitano, kwenye hili Lissu kapiga mulemule, hakuna ambayo hajui kuwa awamu ya tano imeharibu sana kwenye uchumi, kilimo na diplomasia, kwenye haya tena Lissu kapiga mulemule.
Alipomaliza Lissu ni pale alipoelezea kwa jinsi gani suala la kuonea watu na kukiuka katiba limekuwa linaumiza watu na hapa tena Lissu amepiga mulemule.
Mwisho kuonesha jinsi gani amekomaa, pamoja na kupigwa risasi 16 amesema amesamehe na hatolipa kisasa. Hapa Lissu kawa sawa na Mandela aliyewasamehe makabulu na Papa John Paul 2 aliye msamehe kijana aliyempiga risasi. Lissu ameonesha amekomaa sio tu kiuongozi ila hata kihekima na busara.
Hotuba ya leo ya Lissu imegusia mambo mengi ikiwemo kurekebisha mfumo wa sheria na vyombo vya ulinzi na usalama ili vifanye kazi kwa weredi. Lissu kusema kweli kumaliza yote.
Ukweli lazima tuseme , Ingawa vyombo vya Habari vya Tanzania ikiwemo Azam , ITV na vingine vikubwa kuogopa hata kurusha Habari ya Lissu kutangaza nia leo. Ila hotuba yale imesikika na imewasisimua watu wengi nikiwemo mie. CCM wametumia mbinu ya kuvitisha vyombo hivi kwa makusudi ila Naona nguvu ya Lissu ni kubwa sana kuliko hujuma dhidi yake.
Itoshe kusema Lissu amethibitisha kuwa anatosha akiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2020
Kura yangu anayo akipitishwa na Chadema.
Ushauri kwa Chadema. Isambazeni video ya leo ya Lissu kwenye mitandao mbalimbali kuanzia Insta, Facebook, Twitter na Whatsup’ watu wengi waione maana mkitegemea vyombo vya Habari vya Tanzania vilivyobanw na Ccm mtapoteza.
Jioni Njema!
Kushitakiwa watashitakiwa ila utaratibu wa kuwashitaki ndio umeboreshwa. Yaani unapeleka mashitaka kupita kwa Ag.Uweke ushahidi huku wenzako wanatafuta kinga ya kutokushitakiwa. Au unadhani hiyo kinga wanaitaka kwa bahati mbaya?