Uchambuzi: Huyu Amaleki anayezungumziwa na Askofu Gwajima ni nani?



Tatizo la Gwajima ni lilelile la watu wengi TANZANIA. Nalo ni unafiki.

Mtu akishakuwa na sifa hiyo huwaga namchukulia kawaida
 
Mwambieni amaleki popote alipo, huku mtaani hali siyo hali na tunaelekea kipindi cha sikukuu...
 
Nawiwa kurudia tena kusoma vitabu vitano vya Musa nijifunze kitu katika mambo ya kiutawala, ahsante kwa bandiko Mimi nimeondoka na elimu nyingine kabisa ambayo sikuitarajia.

Ya Gwajima na CCM yake naomba niwaachie wahusika
 
Watu wanauliza maswali ya kipuuzi mno, ungemuacha tu.
 
Mungu alikataa kabisa mtu kuwa mtumishi, kisha ukajiingiza ktk siasa. Daima huwezi tumikia hivi vitu viwili.
 
kwenye huu mpambano wa waisrael vs waamalek nadhani atakaeumia zaidi ni CCM, tuendelee kuwatch movie to ze endi.
 
Kweli kwenye nchi hii kuna watu hawana bei, hawanunuliki hata.
 
Nawiwa kurudia tena kusoma vitabu vitano vya Musa nijifunze kitu katika mambo ya kiutawala, ahsante kwa bandiko Mimi nimeondoka na elimu nyingine kabisa ambayo sikuitarajia.

Ya Gwajima na CCM yake naomba niwaachie wahusika


Ukisoma kitabu chochote ili ukielewe usikisome Kwa hisia, soma Kwa akili.
Usikisome Kwa mapenzi, soma Kwa tafakuri.

Usisome biblia Kwa Imani
Soma Kama mwanafasihi na mwanafalsafa utakuwa huru kweli kweli.


Karibu sana
 
Upo vizuri, kwa waendesha pikipiki sawa na kuvaa kofia ngumu, ni kupunguza athali upatapo ajali hususani majelaha ya kichwa!
 
Jibu murua kabisa kwa wapinga chanjo ya Corona. Si kama hataelewa kwa maelekezo hayo bali anawezajifanya kichwa ngumu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…