Uchambuzi: Huyu Amaleki anayezungumziwa na Askofu Gwajima ni nani?

Ni kawaida mbona.

Hujawahi sikia Ajali basi linaanguka wanapona wote alafu anakufa mmoja.
Au wanakufa wote anapona mmoja?
Unaongea ujinga gani? Wanakufaje wote halafu anapona mmoja... anafufuka au... acheni porojo vijana. Fanyeni kazi... Amalek aondolewe hasa wa mrad wa stglrs na sgr
 
Maombi uchwara kutoka kwa mchungaji tapeli hayatofanikiwa kamwe!

Si anasema anafufua watu mbona hakukifufua chuma chake kile cha Chato?

Watanzania waliomba baada ya ujinga mkuu wa 2020 na hii haitowaacha salama lazima masterminds wa ule ujinga waishe wote tuwe na clean generation ndio wafikirie kuomba maombi.

Otherwise huyo mama na wengineo wote ni zao la ule uchafuzi mkuu na hawana pa kukwepea kuhusu hilo
 

Kwaiyo hii thread ni fupi
 
Nataka nikuonhezee kitu kwenye kisa cha Waisrael na Amaleki na Kwa nini Gwajima kakichagua.
Kwanza nikushukiru Kwa uchambuzi sahihi mpaka ulipofikia.
Ukisoma 1Samweli 15:1-9 unapata kisasi cha Waisrael dhidi ya Waamaleki. Nabii Samweli anatumwa Kwa mfalme Sauli wa Israel kwenda kumwamuru akalipize kisasi Kwa Waamaleki, na anapewa masharti ya kuangamiza Kila kitu kinachowahusu Waamaleki Ikiwemo Mali, mashamba, mifugo na watu. Sauli akachukua wanajeshi 210,000 wakiwemo 200,000 Israel na 10,000 Yuda. Katika vita hii anafanikiwa kuipiga Amaleki lakini Γ namwacha hai mfalme Agagi na kuchukua bΓ adhi ya mifugo na Mali nzuri nzuri vitu ambavyo baadaye vilikuja kumrudi.
Ukioanisha matukio;
1.Waamaleki (Wahuni) waliwapinga Waisrael (Viroboto) katika njia Yao.
2.Waisrael walipopata utawala walitakiwa kuwamaliza Waamaleki lakini wakawaacha Kwa huruma na tamaa (Kumbuka Polepole alisemΓ  walitakiwa kuwamaliza Wahuni lakini wanajilaumu kuwabakiza.
 
Mkuu huyo Mungu wa Israel ni muongo tena muuaji na kupenda damu.
Muongo kwa sababu aliwaahidi kuwapeleka katika nchi ya Canaan lakini walifika wawili katika Laki sita above 18yrs. Na waliobaki ni kupigana vita hadi mwisho na hakuna Canaan iliyoahidiwa hapa duniani. AKAJA good boy Yesu naye ameahidi Canaan ya mbinguni unatakiwa uwe mtii ili ife badae uingie Kanani ya mhinguni ni Uongo tu.Kama alishindwa kutimiza ahadi duniani hadi ufe ndo ahadi zitatimizwa, huyo Mungu sio Mungu bali ni muongo. Ameua wengi sana kwa kigezo cha upagani, shenzi zake. Hata Ibrahim aliambiwa amtoe kafara mtoto wake, na angemtoa leo hii kila mtu angekuwa anaua mtoto wake kwa kibali cha Mungu naye akashtuka atakosa watu wa kumuabudu akaaahirisha.
 


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Wahuni tena
 
Mungu alikataa kabisa mtu kuwa mtumishi, kisha ukajiingiza ktk siasa. Daima huwezi tumikia hivi vitu viwili.
Ebu tupe kifungu Mungu alipokataa. Make nikisoma Biblia Viongozi wengi Mungu aliowatumia walikuwa wanasiasa. Mfano Daudi, alikuwa mtumishi lkn mwanasiasa. Hata Joshua ambae anajenga hoja ya kisiasa kuwapinga Amaleki.
Musa alikuwa kiongozi wa waisrael lkn bado Mungu alimtumia.
 
Jibu murua kabisa kwa wapinga chanjo ya Corona. Si kama hataelewa kwa maelekezo hayo bali anawezajifanya kichwa ngumu tu.
Mkuu mbona ni mapema sana kuanza kujifari?
Hii ndio chanjo pekee inayotetewa badala ya ufanisi wake wenyewe ndio ujiridhishe.
Mimi binafsi naona ni mapema sana kunena jambo kwani muda ni Mwalimu mzuri na ndiye atakayetupa majibu sahihi.

Kwa sasa asibezwe yeyote aliye chanjwa pia yule asiyetaka kuchanjwa
 
Unaongea ujinga gani? Wanakufaje wote halafu anapona mmoja... anafufuka au... acheni porojo vijana. Fanyeni kazi... Amalek aondolewe hasa wa mrad wa stglrs na sgr

Huwaga sibishani na mtu ambaye hajui ninachokieleza
 
Ukisoma kitabu chochote ili ukielewe usikisome Kwa hisia, soma Kwa akili.
Usikisome Kwa mapenzi, soma Kwa tafakuri.

Usisome biblia Kwa Imani
Soma Kama mwanafasihi na mwanafalsafa utakuwa huru kweli kweli.


Karibu sana
Wengi husoma Biblia wakiwa na tafsiri za upotoshaji kutoka kwa wahubiri na walimu wenye lengo la kueneza Imani kwa vitisho/kuwajengea hofu.
 
Gwajima hana akili amwshindwa kuusoma upepo,Gwajima ubunge wa Kawe hakushinda ni vile alibebwa na Magufuli kupitia dola na sasa haoni kama anaweza kubebwa tena

Gwajima ni Amalek kwa Wanakawe!


πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Mwaka Jana nilisema asichaguliwe Kwa sababu nilizowahi kuzisema ikiwemo ubaguzi wa wazi aliowahi kuuonyesha
 
Wengi husoma Biblia wakiwa na tafsiri za upotoshaji kutoka kwa wahubiri na walimu wenye lengo la kueneza Imani kwa vitisho/kuwajengea hofu.


Ati nyie na ukoo wenu muandike kitabu alafu msijisifie nyie na utamaduni πŸ˜ƒπŸ˜ƒ hii haiwezekan
 
Nawiwa kurudia tena kusoma vitabu vitano vya Musa nijifunze kitu katika mambo ya kiutawala, ahsante kwa bandiko Mimi nimeondoka na elimu nyingine kabisa ambayo sikuitarajia.

Ya Gwajima na CCM yake naomba niwaachie wahusika
... uko sahihi. Taurati ya Musa haijaacha kitu linapokuja suala la utawala; kila kitu kimo mle. Wokovu ni kwa njia ya Yesu Kristo peke yake.
 
Biblia ni tamu sana hasa katika vile vitabu vya agano la kale! Ukivisoma kwa umakini utagundua kwamba hakuna jipya chini ya jua!
Mzee kwa mara ya kwanza umepost bila kumtukana Mbowe au Lissu. Now you are talking with facts badala ya hisia. Hongera.
 
Unaongea ujinga gani? Wanakufaje wote halafu anapona mmoja... anafufuka au... acheni porojo vijana. Fanyeni kazi... Amalek aondolewe hasa wa mrad wa stglrs na sgr
Wewe ndio mjinga; they all died but/except one. Mbona lugha ya kawaida. Wali-ripoti wote ila mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…