Uchambuzi: Huyu Amaleki anayezungumziwa na Askofu Gwajima ni nani?

Gwajima asome alama za nyakati aachane na siasa, aendelee kudanganya wafuasi wake kuwa anafufua misukule
 
Huyo tapeli ndio aliyemwambia Lisu kesho atapigwa lisasi akasema kama wewe huo ni uongo.
 
Umezunguka sana lakini Amalek ni rahisi kujulikana na anajulikana
 
Wote nyie ni wapuuzi pamoja na gwajiboy
 
Sasa tutaona, maana vita imefikia mahala pake , sio wengine wanazindika kwa waganga halafu wengine wanafikiria siasa ni mdomoni tu, wacha karate zichapwe hukohuko hewani, tupate majibu,
 
Uko sahihi100%
 
Nyamaza hujui kitu. Utapata laana bure
 
Samia hawezi kushinda 2025,
Jeshi lifanye maamuzi mapema
Kwa kura halali hawezi kushinda, labda watumie njia zingine. Sioni pia kama ubabe kama ule wa 2020 utakuwa na nafasi 2025.

The world is watching closely.
 
Kwa kura halali hawezi kushinda, labda watumie njia zingine. Sioni pia kama ubabe kama ule wa 2020 utakuwa na nafasi 2025.

The world is watching closely.
What is the world ? Unajidanganya sana.
 
Ni kawaida kwenye Siasa kuwapa majina mabaya Wale waliokinyume na serikali iliyopo.
Majina Kama wahaini, waasi, magaidi, mashetani, makafiri na majina mengine ni kawaida sana kwenye Siasa
wahuni, nk
Ni kawaida kwenye Siasa kuwapa majina mabaya Wale waliokinyume na serikali iliyopo.
Majina Kama wahaini, waasi, magaidi, mashetani, makafiri na majina mengine ni kawaida sana kwenye Siasa.
 
Du jamaa umechanganyikiwa!
Yan nikiona mtu anakubali kuwa israel ni taifa teule na la thaman kuliko taifa lake. Pia watu wake et wamebarikiwa kuliko yeye wa kiziramuyaga, huwa najihis kumhurumia sana, na kuuchukia ukolon
 
Mimi Gwajima namuona kama tapeli la kidini tu, hana jipya wala la zamani; anatumia matatizo ya watanzania kupiga hela za bwerere na kujitajirisha kwa manufaa yake binafsi. Mungu anamuona.
 
Wewe ndio mjinga; they all died but/except one. Mbona lugha ya kawaida. Wali-ripoti wote ila mmoja.
Unajua maana ya neno "wote". Yaani kiswahili kimekuwa shida kwako kiasi hiki... wamekufa wote kapona mmoja
 
Unajua maana ya neno "wote". Yaani kiswahili kimekuwa shida kwako kiasi hiki... wamekufa wote kapona mmoja
Wote isipokuwa mmoja. The last but one! Wewe ndio una shida ya lugha Mkuu.
 
Dah! Mungu akurehemu mtoto wake
 

Mheshimiwa Gwajima pichani hana jipya katika hili; kama watu wengi wanavyofikiri ukisoma maoni yao katika mitandao ya jamii ! Bila shaka hii ni sehemu ya mahubiri kwa watu wake ya kawaida katika kuwafundisha jinsi ya kupambana adui yao, anaitwa mfalme wa anga na wasaidizi wake kama ilivyoandikwa katika WAEFESO 6:10-13 😵
 
Kama ni msomaji wa biblia hakuna cha kushangaza na kujiuliza!
Kasome tena biblia yako!
Lakini pia kama Upo mwilini zaidi huwezi kumuelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…