UCHAMBUZI: Ikulu kujiingiza katika kesi ya Msigwa ni matokeo kukosa maarifa?


Umesema vizuri mno. Some people need to grow up. Hiki ni kituko cha karne.
 
Serikali ya awamu ya tano imejaa wajinga watupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
N
Nadhani ile faini ililipwa na John Pombe Magufuli kwenye capacity yake kama raia/ndugu.
 
Lengo ilikuwa kumwaribia Msigwa. Ilikuwa kumchonganisha Msigwa na Wanachadema na wananchi wasiokuwa wanachadema waliokubali kuwachangia hawa viongozi. Ilikuwa ni kuhamisha watu katka mwamko wa kuwachangia viongozi wa Chadema. Lengo ilikuwa wanachadema wamtukane Msigwa na kumwita msaliti, lengo ilikuwa kuhamisha watu kutoka kwenye uovu waliofanyiwa viongozi wa chadema. Lengo lilikuwa kuhamisha watu kusahau hukumu iliyotoka ili wamzungumzie Msigwa na Chadema. Yaani nimemsifu Msigwa hapa umejiokoa mwenyewe pmj na kuiokoa chama chako. Mungu amewaepusha na hili tego. CCM mara nyingi kwenye maswala muhimu ya kitaifa uhamisha wananchi na kuwaletea matukio ambayo hayana mbele wala nyuma. Leo umeona wameleta MAGUFULI kuzindua karakana ya jeshi ili kuzima mapokezi na michango yanayoendelea. Tuseme wanaomshauri au waliopo kwenye kamati ya mikakati upeo wake ni mdogo. Wanafanya vitu ambayo wenzao wanakuwa wameshayajua mwaka moja kabla.
 
IKULU IMESHINDANA LAKINI IMESHINDWA!!! AIBU!
 

HOJA YA KIPUMBAVU KABISA.....KWANI NI AJABU KUWA "IKULU"KUNA VILAZA??KWA TAARIFA YAKO HAKUNA SEHEMU YENYE "VILAZA KAMA IKULU YA TANZANIA!
 
Magufuli ni mpumbavu.

Hata baada ya hukumu, angeweza kuwapa watu msamaha wa rais badala ya kutapanya pesa.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Sijaona hoja hapa zaidi ya kutaka kulazimisha maoni yako mfu kabisa
 
Vituko vya awamu hii ni kila kukicha, ndivyo ilivyo binadamu mnapokuwa upande wa 'yule mwovu'
 
Mtazamo wako

Unaweza kuwa wa kisomi sana

Ila alichofanya JPM amekuwa man of the match kwa raia wengi sana
Ingekuwa hivyo ulivyosema "kwa raia weng sana" kama angesimama kama baba kwa wote. Akiwa kama rais si busara kubagua watu waliofanya kosa lile lile - maana rais ni wa wote. Lakini kama binafsi anaweza akaonyesha upendeleo kwa ndugu, rafiki, n.k na hilo lisiwe suala la kuita waandishi wa habari.
 
Gerson Msigwa na Humfrei Polepole wajiuzulu jana walimdhalilisha sana mheshimiwa dokta na mwenyekiti wa CCM taifa !issue ya Rev. Msigwa imemtia "DOA"na kuharibu kabisa cv ya mpendwa rais wetu.
 
CCM wapo kwenye maonesho ya "trela" tu.Muvi yenyewe yenye vibweka na vichekesho chekwa watatujuza itaanza lini!Huu ni mwaka "twendetwende/2020"!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimeamini kwanini mwanzoni rais hakuhitaji washauro
Tena aliyemshauri alilenga kumfadhehesha na kumdhalilisha kabisa rais wetu mbele ya umma,mambo ya ajabu kabisa haya.​
 
HOJA YA KIPUMBAVU KABISA.....KWANI NI AJABU KUWA "IKULU"KUNA VILAZA??KWA TAARIFA YAKO HAKUNA SEHEMU YENYE "VILAZA KAMA IKULU YA TANZANIA!
Jitathmini kwanza uwezo wako kichwani kwa lugha unayotumia kufikisha ujumbe/hoja zako mtandaoni, kwa kisingizio cha ID feki.

Hivyo basi, sina shaka yoyote kuamini kuwa kama unawajua "vilaza" utakuwa "kilaza" aliyekubuhu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…