Kuna vijiminong'ono!
Kwamba Je, ilikua haki Rais Samia kukubali kusalimiwa na Mamge kimambi aliyewahi kuutukana utawala wa awamu ya TANO?
Jibu ni ndiyo!
Rais alikuwa sahihi kabisa kwasababu zifuatazo;
1. Rais alihudhuria mkutano na kuongea na watanzania waishio Marekani, hivyo kukataa kusalimiana na mtanzania ( Mange kimambi) ni kuleta taharuki pasipo sababu ya msingi!
2. Kuhusu mange kimambi kumsogelea Rais kwa muwasha washa na bashasha kiusalama si kosa!
Kiprokali ubalozi ulikuwa umeshatoa taarifa kwa walinzi wa Rais kuwepo kwa watanzania wachache waliopenda kusalimiana naye (hakukuwa na pingamizi)
3. Mkutano wote wa watanzania waliohudhulia walikuwa wameshafanyiwa screening! Hivyo bashasha za kumlaki Rais zilitazamwa kiusalama na walinzi wa Rais kuwa hazina tatizo! Ifahamike Mtu yoyote anaemlaki Rais, Walinzi hutazama mambo mengi wakati tukio likiendelea, Yupo mlinzi hutazama body language, macho, movement ya mikono, miguu, position (ukinyanyua mkono unadakwa) n.k ndiyo maana pia hutakiwi kuingiza mikono mifukoni au kwenye mkoba kutoa au kuweka hata kama Rais atakuomba, bila walinzi kujiridhisha kwa kuzuga wanakusaidia (hii hufanyika ili kuzuia usitoe silaha)
4. Je, Rais anaunga mkono matusi ya Mange aliyowahi kutukana? Jibu ni hapana, kwanza pale hapakuwa sehemu sahihi Rais kuamuru vinginevyo, Pia Rais ana Uhuru wa kusamehe!
Kama Rais anamamlaka ya kusamehe Wafungwa kila mwaka, je atashindwaje kumsamehe Mange kimambi ambaye amejipambanua kuomba msamaha?
5. Imani zote zinatangaza Msamaha, Kama waaminivyo wakristo na kile kisa cha MWANA MPOTEVU, Hivyo Mange kuwa mwana mpotevu, kujirudi na kusamehewa si ajabu!
6. Je Rais kusema Amefurahi kumuona Mange ni sahihi? Jibu ni sahihi, Rais anaweza kupongeza, kufurahi na kushauri kulingana na tukio, lakini haizuii mamlaka zingine kufanya kazi! Ndiyo maana alimtumia Mh. Mbowe salamu za pole ya msiba ilihali kulikuwa na upelelezi unaendelea zidi UGAIDI
7. Je, ulinzi wa Rais samia mbona Marekani haukuwa na Mabunduki kama bongo? Jibu eneo lote LA mkutano lilikuwa na ulinzi wa kutosha, video inayoonekana ilionesha kipande tu Rais akiwa bado kwenye eneo la mkutano (Covered area) ambapo eneo hilo hulindwa kwa silaha ndogo na hutawaliwa na maafisa wasiyo na sare za kijeshi! Huku wenye sare na silaha nzito kuwa inje! Hivyo video zilionesha kipande tu cha video baaada ya mkutano!
Hivyo Rais na jopo la Ulinzi wa Rais uko sahihi na imara ndani na inje ya inchi kwa kuzingatia sheria na taratibu za kiusalama!
Siyo kila mkono uliotumika kuchambia unasitahili hukatwa LA hasha, mingine huoshwa na sabuni!