The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 6,108 Reaction score 21,140 Apr 13, 2024 #41 Nyani Ngabu said: Aliahidiwa nini? Click to expand... May be ukuu wa wilaya/mkoa,DED somewhere. Unajua wanasiasa wakiwa excited sana wanaweza kuahidi hata kugawa pumzi zao
Nyani Ngabu said: Aliahidiwa nini? Click to expand... May be ukuu wa wilaya/mkoa,DED somewhere. Unajua wanasiasa wakiwa excited sana wanaweza kuahidi hata kugawa pumzi zao
Fake P JF-Expert Member Joined Jan 3, 2017 Posts 3,952 Reaction score 11,919 Apr 13, 2024 #42 Hii picha nililia sana, nikasema Mh na waprotocol wote katukosea sana, Kumbe machozi yangu ya kwikwi yalifika
Hii picha nililia sana, nikasema Mh na waprotocol wote katukosea sana, Kumbe machozi yangu ya kwikwi yalifika
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Apr 13, 2024 #43 Saint Anno II said: May be ukuu wa wilaya/mkoa,DED somewhere. Unajua wanasiasa wakiwa excited sana wanaweza kuahidi hata kugawa pumzi zao Click to expand... Mtu mwenye rekodi kama huyo influencer kweli unaweza kumwahidi position kwenye serikali?
Saint Anno II said: May be ukuu wa wilaya/mkoa,DED somewhere. Unajua wanasiasa wakiwa excited sana wanaweza kuahidi hata kugawa pumzi zao Click to expand... Mtu mwenye rekodi kama huyo influencer kweli unaweza kumwahidi position kwenye serikali?