UCHAMBUZI NA TATHMINI: FINAL SUBMISSIONS ZA TUNDU LISSU NA JAMHURI KATIKA KESI YA UHAINI | Treason case no. 19605 / 2025

Umeandika vizuri pamoja na kwamba sijasoma hata kimoja ila yote kwa yote

Lisu atakuhumiwa kunyongwa hadi kufa/atakutwa na kosa dogo la uchochezi
 
Kwa mujibu wa sheria hakuna anaehukumiwa kwa kosa ambalo hati ya mashtaka haikutaja kuwa ni kosa lililotendwa soma Kifungu cha 135 cha CPA. Pia Uchochezi Hukumu yake sio Kifo mzee and Hati ya mashtaka pia haikutaja uchochezi kuwa ni kosa alilotenda.

Yote kwa Yote; acha uvivu soma uzi wote upate elimu ya kisheria ili uelewe namna ya kulinda haki zako na kuzitetea.

Asante
 
kesi ya UHAINI hainaga kesi ndogo yake. Kila siku mnaambiwa. labda muendelee tu kutumika kisiasa Mahakama izidi kupoteza uhalali wake
 
Kwa mujibu wa sheria hakuna anaehukumiwa kwa kosa ambalo hati ya mashtaka haikutaja kuwa ni kosa lililotendwa soma Kifungu cha 135 cha CPA. Pia Uchochezi Hukumu yake sio Kifo mzee and Hati ya mashtaka pia haikutaja uchochezi kuwa ni kosa alilotenda.

Yote kwa Yote; acha uvivu soma uzi wote upate elimu ya kisheria ili uelewe namna ya kulinda haki zako na kuzitetea.

Asante
Utanielewa baadae sasa huwezi huwezi kuelewa
 
Nimeshakuelewa wewe ni mwanasiasa usiejua sheria, unaejibu mambo kwa hisia kwenye jambo la kisheria.

Samahani naomba ufahamu kwamba; Sheria haijari kuhusu hisia zako, inajari kuhusu Logic, Facts na Ushaidi.
 
Sasa na wewe kwa hisia zako unafikiri at this stage kuna logic yoyote inayofuatwa?
 
Back
Top Bottom