ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Kile kibibi lazima kitaibuka tu kikibaini kuna fyongo kwenye ukristu kinaibuka fasta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka hizo ni tetesi Usihukumu! Huenda mazingira ya kazi na ukaribu wa waumini kuwashauri na kuwahubiri imeleta tafsiri mbaya kwa jamii! Kwahiyo tetesi isikufanye kuhukumu!Ukimuona kama Yesu vile wa kwenye picha,ila matendo yao sasa
Nyuma ya tank au ndani ya tank? Hata kama ni nyuma ya tank, alifuata nini huko?Nyuma ya tanki la maji bado mazingira hayo yanadhihirisha last moment!
Hivyo kuna uwezekano paroko alikuwa kwenye wakati mgumu!.
Upele wapo kaziniNyuma ya tank au ndani ya tank? Hata kama ni nyuma ya tank, alifuata nini huko?
Yawezekana, ni uchunguzi wa hospitali ndio waweza kutoa majibu.Huenda kafikwa na umauti kwa sababu nyingine kabisa...
Nyuma ya tank au ndani ya tank? Hata kama ni nyuma ya tank, alifuata nini huko?
Kulikuwa na shida ya maji mpaka aingie kutazama? Je, ni lazima kuingia kwenye tank kujua halina maji? Je, alikuwa analifanyia ukarabati au usafi? Hakuna wafanyakazi wa kufanya hilo hasa ukizingatia ni Juma Kuu?Ndani
Hakuna wakujisifia na hili tukio ni kama matukio mengine is not a big deal yeye ni yeye huna uhakika na kilichomua hata kama ni mapenzi wewe fata imani na mafundisho na sio matendo hakuna aliyemkamilifu chini ya jua,ntakuona mwenye hekima ukijifunza kuombea viongozi wa ngazi zote dini+siasa+hata wa ukooHaya wale wakujisifia hakuna mambo ya ajabu ajabu katoliki waje watambe na huku
Tuwaache polisi wafanye kazi yaoMwili wake umekutwa kwenye tank la maji. (Uchunguzi wa madoctor unasemaje? Ameuawa au?
Tunatamba na mafundisho ya Kanisa sio matendo binafsi! Hayo wote, mimi na wewe tuna struggle tu kwa msaada wa Mungu.Haya wale wakujisifia hakuna mambo ya ajabu ajabu katoliki waje watambe na huku
kile chenye chembe chembe za uarabu auKile kibibi lazima kitaibuka tu kikibaini kuna fyongo kwenye ukristu kinaibuka fasta
Kuna muda namchukia na kumuheshimu brother Mshana Jr kwa sababu ametufundisha somo la picha.Kuwa Padri kijana ni changamoto hasa kwenye zile ishu za kula tunda za watu[emoji124][emoji124][emoji124]
View attachment 2192523
Sasa mkuu, ukimbonda mkeo ndiyo father amchukue na kumfanya mkewe, tena father HOW?.Huenda naye MC atakuwa anambonda sana mkewe, wakati mwingine hao wanawake wanapatwa kirahisi kupitia migogoro ya ndoani!
Tunatamba na mafundisho ya Kanisa sio matendo binafsi! Hayo wote, mimi na wewe tuna struggle tu kwa msaada wa Mungu.
Kama Yesu alichagua watu 12 tu lakini mmoja akawa msaliti, Petro akamkana mara 3 unafikiri ni sababu ya kukosa mafundisho? Huo ndio mfano wa Kanisa sasa! Fatilia kweli ya mafundisho ikuweke huru si maisha binafsi ya watu.
Hayo ni mambo ya mtu binafsi Padre ni binadamu kama binadamu wengine so akijisikia anambato tu swala ni heshima na busara Roman katoliki hutumia kuhandle mambo yake huwezi kulinganisha na mambo ya Konde huko
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app