Uchambuzi na upelelezi wa tukio la kifo cha padri Francis uanzie hapa

Kujiombea mwenyewe ni bora zaidi kuliko kumuombea binadamu mwingine. Nitafutie mstari ambao Yesu aliomba kuombewa na mtu mwingine ili iwe mifano ya kuombea wengine.
Hakuna wakujisifia na hili tukio ni kama matukio mengine is not a big deal yeye ni yeye huna uhakika na kilichomua hata kama ni mapenzi wewe fata imani na mafundisho na sio matendo hakuna aliyemkamilifu chini ya jua,ntakuona mwenye hekima ukijifunza kuombea viongozi wa ngazi zote dini+siasa+hata wa ukoo
 
Mbona wengine mnawasimanga kwa matendo binafsi. Hakuna kanisa lililo perfect,nyie mnajua tu kuficha na hata ukitokea ubadhirifu wa pesa hamna pa kwenda kulalamika maana paroko ndo mwenye amri ya mwisho,na kumdunda kama wa kkkt,anglican etc hamuwezi na kumfikia Papa kutoa malalamiko ni ngumu sana.
Kanisa ni moja, Takatifu na ni perfect maana kichwa chake ni Kristo mwenyewe! Huko kwingine ni huduma binafsi na zinaambatana na ubinafsi wake.

Hakuna uzi unaotenganisha ubinafsi wake na Kanisa. Ndio maana hata huko kwingine wakikomaa wanafikia level walipo TAG! Sijui kama umenielewa!

Kuhusu kuendesha Kanisa labda hulijui Kanisa Katoliki. Sisi waamini ndio kila kitu, shughuli za Kanisa zipo chini ya halmashauri ya walei! Mapato na matumizi vipo chini ya hizo kamati na taarifa za fedha zipo wazi. Kama kuna ubadhirifu kuna utaratibu wa wazi wa kinidhamu hata kama ni paroko.

Hakuna Kanisa linalokusanya mapato mengi kama Kanisa Katoliki na sio kwamba hakuna migogoro mbalimbali! Lakini kwavile si mali binafsi ya mtu yeyote, upo utaratibu wa ku handle hayo.
 
Haya wale wakujisifia hakuna mambo ya ajabu ajabu katoliki waje watambe na huku
Nani aliye jisifia hakuna mambo ya ajabu ajabu kwenye taasisi za kidini likiwemo Kanisa la Katoliki? Au unataka useme ni Kanisa Katoliki pekee ndilo lenye hayo mambo ya ajabu ajabu?

Na kama ni hivyo basi Gwajima naye ni Mkatoliki! wale Maustaadh wanao walawiti watoto wadogo wa madrasa nao ni Wakatoliki! Wachungaji wote wa Makanisa ya Kipentekoste wanao jihusisha na mapenzi kwa siri na waumini wao, nao ni Wakatoliki!.
 
No. 3 naona ni ugonjwa au allergy kwa maporoko, wachungaji, viongozi wa dini.

Hapa iringa kuna father mmoja wa kanisa hilo hilo la RC Kiyesa naye alibeba jumla mke wa mtu na huyo shemeji yetu anaitwa Christina mumewe ni mc maarufu hapa iringa anaitwa MC Nestory.

Let make investigation about this na ikikamilika tutamwaga kila kitu hapa hapa jukwaani.
Mkuu acha kunianika mimi na mke wangu humu.
 
Nani aliye jisifia hakuna mambo ya ajabu ajabu kwenye taasisi za kidini likiwemo Kanisa la Katoliki? Au unataka useme ni Kanisa Katoliki pekee ndilo lenye hayo mambo ya ajabu ajabu?

Na kama ni hivyo basi Gwajima naye ni Mkatoliki! wale Maustaadh wanao walawiti watoto wadogo wa madrasa nao ni Wakatoliki! Wachungaji wote wa Makanisa ya Kipentekoste wanao jihusisha na mapenzi kwa siri na waumini wao, nao ni Wakatoliki!.
Ndio maana sisi hatutambi sababu ya upako wa Padre Pio! Hatutambi sababu ya miujiza ya Fatima! Hatutambi sababu ya karama za mapadre mbalimbali! Maana ukisimama na hayo inabidi usimame na madhaifu yao pia!

Sisi tunatamba na msingi wa mafundisho ya Kanisa kuanzia Mitume hadi leo! Tunauona ukuu wa Mungu kwa unabii wake wa Kanisa lake hata milango ya kuzimu haitalishinda na tunaona kwa ushahidi wa uwepo wake kwa karne nyingi bila kuanguka pamoja na majaribu mengi!

Kupitia hilo tunaona kweli hili Kanisa ndio safina kama ile ya Nuhu! Tunatulia na kufata mafundisho yake kwa utii! Si sababu ya upako wa mtu! Bali uimara wa mafundisho yake!
 
🗣️Kanisa la Kisinodiiiiii.............
 
Katika upelelezi wa matukio kama haya huwezi kuacha kuangazia (last moment ya marehemu)

Marehemu padri Francis katika mahubiri yake ya misa takatifu jumapili ya matawi!
Sehemu kubwa ya mahubiri yake alilalamika jamii kusema vibaya watu, alisisitiza kwamba yeye kama paroko anasemwa vibaya sana na waumini huko mtaani! Tena wanaomsema vibaya wengine waumini wa karibu yake hata baadhi ya viongozi!

Katika kutaka kujua ni yepi haswa padri huyu aliyokuwa akisemwa kuyafanya!

Ilibidi kuhoji baadhi ya waumini wa kanisani kwake wamebainisha machache (yanayosemwa chinichini kama tetesi);

1. Walisema kuna matumizi mabaya ya fedha za waumini chini utawala wake.
2. Kumekuwepo na maneno ya chinichini kwamba anatembea na wanawake.
3. Inadaiwa moja ya mwanamke wake ambaye ni mke wa mtu penzi lilikolea hadi paroko akaamua kumnunulia gari mwanamke huyo anayeishi maeneo ya mbezi Msakuzi (jina kapuni). Baadhi ya waamini wameenda extra mile nakujiuliza kama kweli mwanamke huyo kahongwa gari, je pesa hizo zimetoka wapi? Kuna biashara gani siku hizi ndani ya kanisa inayowapa mapadri kumiliki ndiga za being mbaya na zingine kuhonga kama kweli? Hayo ni miongoni mwa tetesi.

Kwa hayo machache ingawa hayahusiani moja kwa moja tukio la kifo cha padri!
Lakini yanaweza kusaidia kuleta taswira ya kisaikolojia kwenye tukio zima!
Mazingira alipofia yalivyo salama na watu wake yanahamasisha kurudi kwenye (last moment)!
Nyuma ya tanki la maji bado mazingira hayo yanadhihirisha last moment!
Hivyo kuna uwezekano paroko alikuwa kwenye wakati mgumu!.

Paroko wa Parokia ya Kanisa Katoliki Mt. Yohanne Paul II, Mbezi Mshikamano, Dar es Salaam, Francis Kangwa amefariki na mwili wake kukutwa kwenye tangi la maji nyuma ya nyumba ya mapadri wa Shirika la Missionaries of Africa iliyopo Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph-Posta DSM.

Upelelezi bado unaendelea!
Kwa uzoefu wangu, matumizi mabaya ya pesa (hata kama waumini hawajui hizo pesa zimetoka wapi) na kutembea na wanawake/wake za watu (hata kama waumini wakimwona padri katembelewa na ndugu wa damu wa kike) "ni tuhuma za kawaida sana kwa mapadri".

Sijawahi kuona padri ambaye hana tuhuma kama hizi (awe amefanya au hajafanya) - it doesn't matter. Nina mfano wa padri fulani. Alikuwa na gari linalofanana na gari (Toyota Corolla) la jamaa ambaye alikuwa akifanyakazi Afrika Kusini. Tofauti yake ilikuwa gari la padri lilikuwa na number plate ya njano na plate number nyeusi na la yule mwenye mke lilikuwa na number plate nyeupe na plate number nyekundu. Kwa watu wa kawaida hizi tofauti hazikuwa na maana sana. Walichojali au walichoona wao ni kusema "gari la padri limepaki nyumbani kwa mke wa mtu kwa muda wa wiki moja sasa" na habari hizi zilifika hata kwa Baba Askofu.

Siku moja huyo padri alipita barabara iliyo karibu na nyumba ya huyo bwana, ambaye bado alikuwa likizo na gari lake lilikuwa palepale nyumbani na padri anaendesha hili la kwake. Alipofika karibu na njia inayoenda nyumbani kwa yule bwana, mke wake alikuwepo na watu wengine na alipoona ni padri akamsimamisha. Padri akasimama, lakini hakutoka kwenye gari. Alifungua kioo kumsikiliza huyo mama, ambaye alisema: "Watu wamekuwa wakizusha kuwa gari la padri liko nyumbani kwangu kwa wiki sasa. Mbona anaendesha gari lake hili na lile mbona bado liko pale nyumbani limepaki. Kwani padri ana magari mawili?"

Baada ya kusema hivyo na wale watu baada ya kuona kuwa kumbe lile gari si la padri, wakamwomba radhi, wakisema "hatujakutendea haki hata kidogo, tusamehe padri". Padri alisema tu "endeleeni na ujinga wenu kama unawasaidia" na akaondoka.

Mapadri wamisionari wanatunzwa na shirika lao na parokiani huwa si 'mabwana fedha'. Parokia nyingi za mjini kama Dar es Salaam, kila parokia ina kamati ya fedha na kuna mhasibu wa parokia ambaye siyo padri. Sasa hizo pesa anazoweza kula anazipata kutoka wapi na kwa nani au ni kamati ya fedha iliidhinisha ili azichukue? Na nijuavyo kamati ya fedha inaidhinisha kwa matumizi ya mradi fulani na padri yeye anakuwepo kama mshauri, lakini mambo yote yanafanywa na viongozi wa kamati ya fedha kwa kushirikiana na kamati zingine - mfano kamati ya ujenzi etc.

Hapa najaribu kuona tu namna waumini wanavyoweza kumshusisha padri fulani na matumizi mabaya ya pesa hata bila kujua undani wa matumizi yenyewe. Kwa shirika kama la Wamisionari wa Afrika, paroko anakuwa ni msimamizi tu wa parokia, lakini anakuwa na mapadri wengine wawili anaofanya nao kazi na wote ni sawa hakuna mdogo wala mkubwa. Kwenye nyumba ya mapadri (community ya hao mapadri watatu), kuna pia mkuu wa nyumba na bursar (wale mapadri wengine wawili ambao siyo paroko - mmoja anakuwa mkuu wa nyumba na mwingine anakuwa anaangalia masilahi yao (bursar) kwa mfuko unaotoka shirikani.

Na kwa vile wote watatu wamepangwa kwenye parokia hiyo uamuzi wa uendeshaji wa parokia lazima uridhiwe na mapadri wote wanaofanyakazi pale. Hapa ndipo ninapoona ugumu wa kufuja hela za parokia. Na kwa baadhi ya parokia (kwa vile mapadri wa shirika wanakaa watatu na wote wanatoka mataifa tofauti), kuna baadhi ya mapadri kulingana na huko wanakotoka wana utajiri kwa mfano wale wanaotoka kwenye familia tajiri - familia zao zinaendelea kuwa'support' kwa hali na mali wanapokuwa huku Afrika. Namfahamu padri mmoja kijana alikuwa akitokea Ireland - alipata pesa za urithi - kutoka familia moja tajiri ambayo iliandika 'will' kwamba watakapofariki mali yao yote itakuwa ni kwa ajili ya huyo Fr.

Huyu alikuwa based Afrika Kusini (ninamfahamu) maana ni schoolmate na kwa utaratibu wa Shirika la Wamisionari wa Afrika mali yote anayopata padri fulani ni mali yake binafsi (ingawa anashauriwa kuitumia vizuri na ikiwezekana aweze kuwasaidia wenzake ambao hawana mali au wanatoka familia masikini kadiri atakavyoona yeye).

Hapa juu nimependa kueleza tu namna padri anavyoweza kuwa na shtuma ambazo kimsingi hazina basis. Lakini natambua pia binadamu tuna upungufu wetu na kama shtuma za waumini ni genuine - mimi ni nani wa kusema padri alikuwa hachukui wake za watu au hakutumia vibaya pesa za parokia? Ila nimetaka tu tuwe na caution!
 
Maelezo yako nayafananisha na kilimo cha matikiti mtandaoni;
Umeeleza vyema lakini hayo ni kwa 5%
Unataka kuniambia zamani mapadri hawakulindwa na mfumo? Mbona hayo hayakuwepo?

Makanisa Mengi yana miradi mikubwa ya ujenzi makusanyo ya fedha yanasimamiwa na nani? Tenda inasimamiwa na nani, manunuzi ya viwanja unajua kama huwa yanadalaliwa shillingi kwa shilingi?
Value for money inapingwa na nani?

KIUFUPI HAYA MAMBO NI KUYAACHA KAMA YALIVYO
 
Firstly ungeanza na introduction sisi wengine hatuna taarifa juu ya ufu wa huyo Padri na hatujui ilianzia wapi na ikaishia wapi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Maelezo yako nayafananisha na kilimo cha matikiti mtandaoni;
Umeeleza vyema lakini hayo ni kwa 5%
Unataka kuniambia zamani mapadri hawakulindwa na mfumo? Mbona hayo hayakuwepo?

Makanisa Mengi yana miradi mikubwa ya ujenzi makusanyo ya fedha yanasimamiwa na nani? Tenda inasimamiwa na nani, manunuzi ya viwanja unajua kama huwa yanadalaliwa shillingi kwa shilingi?
Value for money inapingwa na nani?

KIUFUPI HAYA MAMBO NI KUYAACHA KAMA YALIVYO
Soma hitimisho langu. Ni maoni yangu kuwa 1) mambo yasiyo na ushahidi ni useless kuyasema na kuandika kurasa na kurasa maana yataishia kuwa speculation na waste of time, lakini 2) kama kuna ukweli mimi ni nani kusema siyo kweli?
 
Kuna baadhi ya mambo hayawezi kuthibitika kwa macho hadi yajidhihilishe yenyewe!
Kuna wakati tetesi huja na ukweli mwingine kuliko uongo!
Kumbuka kila mwanzo wa jambo huwa ni fikra juu ya jambo hilo!
 
Back
Top Bottom