Uchambuzi na upelelezi wa tukio la kifo cha padri Francis uanzie hapa

Uchambuzi na upelelezi wa tukio la kifo cha padri Francis uanzie hapa

Ukimuona kama Yesu vile wa kwenye picha,ila matendo yao sasa
Kumbuka hizo ni tetesi Usihukumu! Huenda mazingira ya kazi na ukaribu wa waumini kuwashauri na kuwahubiri imeleta tafsiri mbaya kwa jamii! Kwahiyo tetesi isikufanye kuhukumu!
Kumbuka mbezi kimara ni kanda maalum ya wababe wa migogoro ya ndoa!

Na wahanga wakubwa ni wanawake! Yamkini alikuwa anaitangaza injili kwa wanawake ikatafsilika vinginevyo!
 
Nyuma ya tanki la maji bado mazingira hayo yanadhihirisha last moment!
Hivyo kuna uwezekano paroko alikuwa kwenye wakati mgumu!.
Nyuma ya tank au ndani ya tank? Hata kama ni nyuma ya tank, alifuata nini huko?
 
Huenda kafikwa na umauti kwa sababu nyingine kabisa, sababu hata polisi wanajaribu kuchunguza kama ni kifo cha kujitakia au kauawa na mwili kutupwa humo ndani ya tanki...
 
Haya wale wakujisifia hakuna mambo ya ajabu ajabu katoliki waje watambe na huku
Hakuna wakujisifia na hili tukio ni kama matukio mengine is not a big deal yeye ni yeye huna uhakika na kilichomua hata kama ni mapenzi wewe fata imani na mafundisho na sio matendo hakuna aliyemkamilifu chini ya jua,ntakuona mwenye hekima ukijifunza kuombea viongozi wa ngazi zote dini+siasa+hata wa ukoo
 
Mwili wake umekutwa kwenye tank la maji. (Uchunguzi wa madoctor unasemaje? Ameuawa au?
 
Haya wale wakujisifia hakuna mambo ya ajabu ajabu katoliki waje watambe na huku
Tunatamba na mafundisho ya Kanisa sio matendo binafsi! Hayo wote, mimi na wewe tuna struggle tu kwa msaada wa Mungu.

Kama Yesu alichagua watu 12 tu lakini mmoja akawa msaliti, Petro akamkana mara 3 unafikiri ni sababu ya kukosa mafundisho? Huo ndio mfano wa Kanisa sasa! Fatilia kweli ya mafundisho ikuweke huru si maisha binafsi ya watu.
 
hii dini ni changamoto sana hasa hasa hawa RC wana pretend sana kiwa descent kumbe watakatifu uchwara sana .....hatuwez ku-judge kama amekufa kwa
sabb izo lkn vyanzo tyr vimebainisha sabb kama
izo:----
 
Kuwa Padri kijana ni changamoto hasa kwenye zile ishu za kula tunda za watu[emoji124][emoji124][emoji124]
View attachment 2192523
Kuna muda namchukia na kumuheshimu brother Mshana Jr kwa sababu ametufundisha somo la picha.

Jamaa kapiga picha na maua yamenyauka kimtindo na yametupwa chini, inawezekana mbingu ilishamkataa kama maua yalivyotolewa kwenye matawi
 
Huenda naye MC atakuwa anambonda sana mkewe, wakati mwingine hao wanawake wanapatwa kirahisi kupitia migogoro ya ndoani!
Sasa mkuu, ukimbonda mkeo ndiyo father amchukue na kumfanya mkewe, tena father HOW?.
 
RC..Ni next level ..,zaidi Sana ya tunavyo wafahamu!

Kuna kila secta mule... ...

...jamaa.. kananihii.. ..

Yaani amefariki sehemu salama na Ni hapo hapo home .. ... !
 
Mbona wengine mnawasimanga kwa matendo binafsi. Hakuna kanisa lililo perfect,nyie mnajua tu kuficha na hata ukitokea ubadhirifu wa pesa hamna pa kwenda kulalamika maana paroko ndo mwenye amri ya mwisho,na kumdunda kama wa kkkt,anglican etc hamuwezi na kumfikia Papa kutoa malalamiko ni ngumu sana.
Tunatamba na mafundisho ya Kanisa sio matendo binafsi! Hayo wote, mimi na wewe tuna struggle tu kwa msaada wa Mungu.

Kama Yesu alichagua watu 12 tu lakini mmoja akawa msaliti, Petro akamkana mara 3 unafikiri ni sababu ya kukosa mafundisho? Huo ndio mfano wa Kanisa sasa! Fatilia kweli ya mafundisho ikuweke huru si maisha binafsi ya watu.
 
Umeona hilo tu hujaona matumizi mabaya ya pesa hapo. Padri akianza kutembea na muumini lazima ahonge na pesa ni sadaka zenu. Hamna tofauti na konde sema nyie mpo vizuri kwenye kuigiza
Hayo ni mambo ya mtu binafsi Padre ni binadamu kama binadamu wengine so akijisikia anambato tu swala ni heshima na busara Roman katoliki hutumia kuhandle mambo yake huwezi kulinganisha na mambo ya Konde huko

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom