Uchambuzi: Siioni Simba ikipata ushindi mbele ya Azam

Daah! Mkuu naona unamfukuzia Muhasibu kwa kuanzisha nyuzi za kukudhuru.
Hapana mkuu magoli ni ya offside

Sometimes utabiri waweza kua affected na some technicalities

Mfano
Offside
Key player injury during match
Uchawi
That's what happened to a simba- Azam match...... Whe're simba had to lose this match....but due that factors above ......they ended up winning [emoji14][emoji14]
 
Hapana mkuu magoli ni ya offside

Sometimes utabiri waweza kua affected na some technicalities

Mfano
Offside
Key player injury during match
Uchawi
Usijali Mkuu. 🤝

Japo mie mechi yenyewe hata sikuiona ujue.
 
Haya, nenda kachambue mchele sasa.
 
kwahiyo kuichukia azam ni dhambi.
Wewe unamchukia Feisal sio Azam ndio maana umekiri mwenyewe chuki yako kwa Azam ni sababu ya Feisal kuchezea Azam, hiyo chuki yako kwa huyu kijana haikusaidii chochote.
 
Kwemaaa 🥵🥵🥵🥵
 
Simba anaenda kula 4G Kwa Azam
  1. Simba anaenda kula 4G Kwa Azam ................................................... ........ X
  2. Simba ni dhaifu Kwa viwanja vya ugenini ............................................... X
  3. Azam itashambulia sana Ili kupunguza gapes la point.................. X
  4. Uchawi wa Simba hauvuki bahari ................................................................. X
  5. Simba haijawahi shinda ugenini...wanategemea Kwa mkapa...X
  6. Utabiri wangu FT: Simba 1........3 Azam ........................................................... X

0/6 ... Umekosa zote, hufai kuwa mtabiri wa hali ya hewa
 
Daaah [emoji23][emoji23]
 
Huyu Aliyepost Ujinga huu , ni Mjinga Mmoja Ambaye Ata Mpira wa Makaratasi au Chandimu ajacheza, Kwa hiyo ni WakumpuunzaTu
 
Homeboy Laban OG nenda makandana kabla hali haijawa mbaya ..
 
Tunasubiri cAF ranking tunaona Bado uko kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…