Uchambuzi; Usafiri wa ndege ni salama kuliko usafiri mwingine wowote, ajali ya precision lawama kwa waokoaji. Hongera rubani

...Ndege za Abiria hazibebi Pachute Mkuu! Acha kuchapia ![emoji57][emoji57]
 
Kweri hii dunia usi mzalau mtu, ndege na abiria wake ina okolewa na wavuvi na mitumbwi hii ajari imenifundisha kitu kikubwa sana.
 
Halafu kwenye kutangaza idadi ya watu walio hesabiwa kwenye sensa ya watu na makazi, tunatumia chopa!!

Bila shaka ni Tanzania pekee ndiyo tunafanya hivi.
Mi nimesema uhalisia! Uokoaji ni janga kubwa sana
 
Aisee sisi bado tunaishi zama zetu hili tukio limenishangaza nikawaza kama hapo karibu hali ni hii, ingekuwa katikati si ndio basi tena.
Ukweli sisi bado sana, nasema bado sana matukio, majanga ya kibinadamu yanayotokea yanaonyesha how we're, yaani janga linatokea mamlaka zinasubiri kutoa taarifa, yaani hapo ndipo wanaona kuna jambo muhimu.

Toka MV. Bukoba nk inaonyesha giza tulilonalo, sasa ngoja issues za kisiasa uone nini serikali inafanya!.
 
Hivi hao watu 26 waliookolewa vipi yani, mlango ulifunguliwa au?
 
Mbona watu mnang'ang'ania parachute wakati kuna mambo ya maana kayaandika?

Kwa ujumla mleta Uzi amezungumzia zoezi la uokoaji yaani usalama kwa abiria. Hata kama sehemu nyengine ameteleza ila kiitifaki inabidi wachangiaji wajikite kwenye zoezi la uokoaji hususani kwa hili tukio la leo. Lakini watu wanajifanya ujuaji mwingi na kuacha kujadili hoja ya msingi.
 
...Ndege za Abiria hazibebi Parachute ndugu!
Zitaongeza TU Uzito. Ile Ndege kubwa kuliko Zote inayoweza kubeba Abiria Mpaka 450 hauwezi kubeba Tena Parachute 450 za Abiria! ZitaongezUzito TU!
Sababu si uzito tu. Kuna sababu zaidi ya hiyo, kubwa zaidi ni design ya ndege za kiraia.
 
Ndo watu wetu tuwazoee tu!
 
...Ndege za Abiria hazibebi Parachute ndugu!
Zitaongeza TU Uzito. Ile Ndege kubwa kuliko Zote inayoweza kubeba Abiria Mpaka 450 hauwezi kubeba Tena Parachute 450 za Abiria! ZitaongezUzito TU!
Sijaelewa! Hiyo ndege ya kubeba abiria 450 ndo kubwa kuliko zote hapa duniani au unasema ndio kubwa kuliko zote hapa Tanzania?
 
Iyo ndege ya precision ilikuwa ninya brand gan ?
 
Sasa ueleze unavyoelewa mkuu mbon unakua km uneducated kwanini hupingi kwa kutoa hoja zako unazoona zina mashiko, unapopinga bila kueleza chochote wewe ndio unaonekana hujui kitu ila unajibaraghuza tu hapa na wewe uonekane unajua kumbe empty tu
Kupoteza muda kuwaelekeza watu wapumbavu mfano wako ni matumizi mabaya ya muda
 
Kupoteza muda kuwaelekeza watu wapumbavu mfano wako ni matumizi mabaya ya muda
Asante, mjinga mmoja wewe unaejifanya unajua kila kitu kumbe kichwani ni ZERO
 
Tungejikita kwenye ishu nzima ya kujadili namna ya uokoaji ..
Ninachoishangaa hii nchi, Kila kitu ni kichekesho, mpka sahv hakuna takwimu ya kueleweka ya abiria waliokuwa wamepanda ndege..

Ndege kuvutwa na wavuvi Tena kwa kamba, 🤣🤣🤣🤣
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…