Uchambuzi; Usafiri wa ndege ni salama kuliko usafiri mwingine wowote, ajali ya precision lawama kwa waokoaji. Hongera rubani

Kuna wengine wawili walidandia njiani
 
Mv nyerere ilipozama, mkuu wa mkoa akasema waokoaji wamechoka waende kupumzika kesho warudi. As if walikuwa wamewawekea viota manusura waliosalia majini. Matokeo yake, watu wakafa zaidi.

Kipaumbele cha ccm ni kuhakikisha wanashinda uchaguzi na sio maendeleo
 
Ulipoanza kuongelea parachute kwenye precision nikaacha kusoma hapo hapo...sio kila kitu cha kujifanya mjuaji mkuu..tusubir mamlaka husika ziseme neno, kuongea ongea kama unaangalia muvi ni kujitia aibu
Mamlaka hizihizi za kisiasa ndo tuzisubiri.
Bota hata tusahihishane humuhumu ndgu yangu.

Wakiona makosa yatailemea serikali basi utaambiwa rubani alisinzia, akishapost milard ayo hiyo habari ndo basi tena Tz nzima watamlaani rubani na wengine watamroga kabisa.
 
Rubani kafanya sehem yake, msaada ndo umekosekana kutokana na poor rescue team
 
Umenikumbusha MV Bk ilizama taratiiibu mpaka simu za kuagana zilipigwa. Ni miaka mingapi imepita, hatujajifunza tu. Au maybe TZ hatuna Rescue teams
 
Ulipoanza kuongelea parachute kwenye precision nikaacha kusoma hapo hapo...sio kila kitu cha kujifanya mjuaji mkuu..tusubir mamlaka husika ziseme neno, kuongea ongea kama unaangalia muvi ni kujitia aibu
Hao kwenye parachute amezinda kwakwel
 
Rubani yupi bado ni salama? Mbona taarifa zinasema wamekufa wote wawili?
 
Ndege Haina palachuti
 
Wakati naandika hiyo comment, RC wa Kagera alisema wamewasiliana na rubani aliye ndani ya ndege...

Sasa sijui RC alidanganya au rubani alikuwa hai kwa muda fulani...
RC aliwasiliana pia na magufuli wakati taifa linaomboleza
 
Nimezungumza general, ulitaka nichambue mpaka aina ya ndege mkuu
Context yaako ilikuwa ni ndege ya abiria yaani pore ision air..na umeongelea option alizokuwa nazo hao rubani
 
Nakubaliana na wee kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…