Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

magufuli ni Rais ila kwenye kuunda baraza ngoja nijipe mda kidogo ila najua muhongo,deo,kigwangala,mwigulu,gama nk
 
Mchapa kazi hapo ni mmoja tu,Kagasheki!!

Makamba mchapa kazi wa wapi??!!

Hussein Mwinyi yupo almost 20 years na Uwaziri,anafanya nini??!!

Tibaijuka??!! Magufuli hana jipya zaidi ya uhodari wa UKASUKU!!!
 
Hata uchaguzi hujashinda anafikiria baraza la mawaziri, anaumwa huyu Magufuli
 

labda serikali ya jehanamu ila sio ya JMT KWANI RAIS NI LOWASSA
 
mtazamo mbovu kuliko mitazamo yote ndugu mtoa mada
 
mtazamo mbovu kuliko mitazamo yote ndugu mtoa mada

Ili Lipo Iti Tujadiliane, Nimeskia Baadh Wameshamchomoa Makamba Kuwa Hafai, Vp Kwa Upande Wako Mokoyo, Nan Hafai Hapo
 


Seems MTAZAMO wako hauvuki bahari.
 
Mchapa kazi hapo ni mmoja tu,Kagasheki!!

Makamba mchapa kazi wa wapi??!!

Hussein Mwinyi yupo almost 20 years na Uwaziri,anafanya nini??!!

Tibaijuka??!! Magufuli hana jipya zaidi ya uhodari wa UKASUKU!!!

Mwakyembe Vp
 
Mtazamo Wako Unasaidia Kuwajua Wachapakaz Hvo Vema Kuwaweka Unaoona Wanafaa
 
Ikiwa CCM watqshinda uchaguzi huu basi iwe iwavyo spika wa bunge ni lazima atatoka upinzani na CCM wataunda kambi rasmi ya upinzani bungeni!
 

Hapo kagasheki na Deo ni penyewe.
 
Aunde baraza ambalo halitawapiga wananchi kwa kutumia police
 
Nami naruhusiwa tabiria baba zangu wadogo , sio"!?
 
Sijaona Riz1 usidhani anatoa povu hivi hivi.
 
Duh watu walewale na Ccm ni ile ile..mabadiliko yataishaje
 
HUYU NDIE KIONGOZI BORA Magufuli kupiga ‘stop’ makongamano, semina“haya yanayofanyika sasa ya makongamano na semina ni marufuku katika Serikali itakayoongozwa na Magufuli.“Wananchi hawapati huduma fedha zao zinatumika kwenye shughuli hizi, tunasema tutazifuta. Kuendelea kufanyika mambo haya ni ufujaji wa fedha za umma,” alisema Dk. Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…