Uchambuzi wa Kiufundi naunga mkono nchi yetu kununua umeme kutoka inje nchi kuliko kusafilisha hadi kaskazini

Uchambuzi wa Kiufundi naunga mkono nchi yetu kununua umeme kutoka inje nchi kuliko kusafilisha hadi kaskazini

Kule kwetu Rukwa tunatumia umeme wa Zambia all those years na hata kukitokea changamoto gridi ya taifa sisi huwa tunapeta tu tunabaki kushangaa kumbe nyie ndio wa mikoani
siku Zambia akinuna ndo mtaelewa
 
kanena vyema kuwa kutoka Ethiopia hadi Tanzania ni karibu zaid kuliko Rufiji to Arusha ?

Hv watz akili mnazifanyia kaz gan ? hatujiuliz Ethiopia anawezaj upeleka umeme wake mbali ilihali yupo vitani , na sisi kisiwa cha amani hatuez toa umeme Rufiji mpk Arusha
Kumbe kweli wewe ni fundi, umenena vyema
 
Nimekuelewa Mkuu
umemwelewa kuwa ni ngumu kwa Tz kutoa umeme Rufiji hadi Arusha ila ni nyepes Uganda kuutoa umeme wake Uganda hadi Tanzania ( krbK Kagera nzima ) Ethiopia hadi Kenya hadi Tanzania

Hv mtaipongeza Serikali yenu kuwa imetumja akili kwa kujikabidhisha kwa Ethiopia

TANZANIA YAONGOZA KWA UJINGA AFRIKA
 
Watu wanapenda tu kulalamika wanazani kujenga mradi wa umeme ni sawa na kujenga kamba ya kuanikia nguo!
kwamba ni ngumu kujenga mradi wa umeme kwa Tanzania kisiwa cha amani ila ni nyepesi kwa Ethiopia iliyopo vitani tangu 1900s pia sehem kubwa ya Ethiopia ni jangwa na hawana maliasili kutuzidi , je wao wamewezaj mpk ww useme kwetu ni ngumu

MWISHOWE WAKISEMA MNAONGOZA KWA UJINGA MNANUNA
 
........kujenga miundo mbinu ni muda na gharama baasa miaka 15 to 20 wataweza kutawanya kooote .....sio project miezi 6 mkuuu oohhh sikia tuuu....kulipa fidia tu njia kupitisha....bado cost kusafirisha....umbali huo.....feasabilitu study zipo ukiwa access utaziona miradi yote na expansipn zake....hapo hakuna siasaa mkuu
Tanzania imezaliwa mwka 2025? hv mtatete ujinga mpk lin ? kwamba Ethiopia wapo vitani ila bado wanaweza zalisha umeme mpk wa kuwauzia bado hamstuki mnaongozwa na mandondocha

REPORT YASEMA ; TANZANIA YAONGOZA KWA UJINGA AFRIKA
 
Hoja za mleta mada hazina mashiko hata kidogo.

Kulikuwa na haja gani kujenga HPP kubwa kama uwezo na gharama za kusambaza hatuziwezi?

Kama Station kubwa ipo Chalinze, kuna umbali gani kutoka hapo hadi Tanga, Same nk hadi tuone its cheaper kununua huko Ethiopia/Kenya kuliko kuweka lines zetu na kutumia umeme wetu?

Kwanini Pangani na Nyumba ya Mungu yaliyopo kaskazini yasiboreshwe ili kuleta stability ya umeme ukanda huo?

What was the point kujenga HPP kubwa kama mikoa yote ya mipakani wanategemea kununua umeme nje ya nchi? Hii surplus iliyopo itamnufaisha nani?

Nini maana ya kusema TUTAUZA UMEME KWA MAJIRANI wakati hata capacity ya kujenga transmission lines hatuna?

Bado hoja hazina mashiko, upigaji tu wa ccm na watu wake.
wameiba hela kisha wametafuta wehu mitaani na kuwapa smart na bando kisha wanakuja kupumbaza watu humu mitandaoni
 
Wewe ni Fundi wa nini unasema frequency ya umeme itaingiliana na frequency ya bomba la mafuta?!

Mikoa ya kaskazini imekuwa ikitumia umeme kutoka Dar na Morogoro tangu zamani na ina umeme stable zaidi kuliko kanda nyingine nchini.
kalipwa buku 5 kuja kutetea wizi wa ccmu , yaan wameona hawatapiga mabilion kama tutazalisha ndan wametafuta kanda ya kupigia pesa ambayo ni kaskazini
 
Nyumba ya Mungu na Hale haya mabwawa yalikwisha kauka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Hebu jaribu ku update ubongo wako.

Usipime distance kutoka Addis Ababa pima kutokea Namanga. Tanzanania wananchi wana vichwa vigumu
mtasapot udalali mpk lin ? nipo nyumba ya mungu muda huu bwawa lipo vzr japo haliwez hudumia kanda nzima ila ukanda huu vipo vyanzo vingi vinaweza anzishwa na kuendelezwa na kila mkoa au wilaya ukawa na umeme wa ndani, ttzo tumeamuwa kuwa mandondocha hatutaki kuumiza akili
 
Funny, sasa tutauzaje umeme nje ya nchi wakati unapotea njiani?

Ethiopia wao wanafanyaje umeme wao usipotee?
 
Na wewe kasome power loss na power factor katika transmission!

Hapa nimetumia lugha rahisi kabisa ili hata mwananchi wa chini aelewe!

Ukitaka niongee lugha za umeme mwanzo mwisho wengi wasingeeelewa!

Hata nchi zilizoendelea zinanunua kutoka inje, Tanzania haitakuwa ya kwanza!

Na kingine ambacho huwezi kukijua unapoongezea umeme kutoka inje unakuwa umeongeza flexibility katika gridi ya taifa .
Note; Gridi ipo lakini huo umeme wa kutoka inje ni plani B, wakati Plan A Ikiendelea taratibu hatua kwa hatua.
nchi hii mnaiharibu kwa kupenda mseleleko , yaan uchawa upo damuni wala hamjali kuwa ipo siku diplomacy ya Tz na Ethiopia zitatofautiana je mtawezaj kuwasambazia umeme watu kaskazin kama Ethiopia itawazingua

HV MNAJUA THAMAN YA UHURU ? KWA ETHIOPIA WALIAMUA ZALISHA UMEME WAO
 
Bro kuna mnyama anaitwa pimbi huwa anasahau maelezo kila baada ya dakika tano!
Sasa wewe binadam ambacho kinakufanya usielewe ni nini?

Utafanyaje matengenezo ya kudumu pasipo kuwepo na umeme mbadala ili usevu wananchi wakati wa matengenezo?

Kazi ya kutengeneza mabwawa inahitaji siyo chini ya misimu miwili ya mvua!
Wakati huo hao wananchi watatumia nn pasipokuwepo na umeme mbadala?
we chawa acha kumtukana huyo raia , hv kwa akili yako umahisi Ethiopia inaongozwa na malaika mpk wao wawez zalisha na kuuza nje ila sisi tusiwez kusambaza umeme ?

Hv waliposema watauza nje ina maana hawakujua haya ?

Wametafuta pa kupiga wamekosa wameona huu ndo mwanya
 
Hiyo transmission line ya 400kv kutoka grid ya taifa inapeleka umeme mikoa ya kati na kanda ya ziwa ina kiwango chake cha kubeba mwisho Megawatts 550~600MW

Kuna ongezeko kubwa la umeme hasa maeneo ya migodini linalotegemea hiyo line!

Ukiamua kuibebesha mzigo mwingine wa mikoa ya kaskazini haitakubali kubeba lazima gridi itatoka kila mara na kupelekea mgao wa kijinga kabisa!

Njia ya uhakika ni kujengwa powerline nyingine itakayolisha mikoa ya kaskazini ambacho ndicho serikali inafanya kwa kuzingatia gharama za mradi!
Kuchukua hapo Namanga kenya inaonekana ni gharama nafuu zaidi kuliko kujenga power line mpya kutoka Rufiji
kwa akili yako unahisi mtoto alianza akiwa amatembea ? nyiny ccmu mna susa kuboresha mradi kisha mnaona bora kununua Ethiopia
 
Mkuu umejitahidi sana kueleza wenye kuelewa tushaelewa ...achana na watakupasua kichwa tayali kichwani mwao hawana mpango wa kuelewa unapoteza muda wako bure
machawa mpo kazini , kwamba walijenga mradi wa Nyerere bila kujua haya wanayosema ss hv ? huon haruf ya wizi ?
 
Tanzania imezaliwa mwka 2025? hv mtatete ujinga mpk lin ? kwamba Ethiopia wapo vitani ila bado wanaweza zalisha umeme mpk wa kuwauzia bado hamstuki mnaongozwa na mandondocha

REPORT YASEMA ; TANZANIA YAONGOZA KWA UJINGA AFRIKA
Ndìo kama huu sasa...
 
mtasapot udalali mpk lin ? nipo nyumba ya mungu muda huu bwawa lipo vzr japo haliwez hudumia kanda nzima ila ukanda huu vipo vyanzo vingi vinaweza anzishwa na kuendelezwa na kila mkoa au wilaya ukawa na umeme wa ndani, ttzo tumeamuwa kuwa mandondocha hatutaki kuumiza akili
Hizo ni hesabu za uchumi, kaa kimya hujui unachoandika
 
Nikuulize wewe huo umeme unaotumia hapo nyumbani kwenu! Zile gharama za kuutoa kwenye transfoma mlilipa nyinyi au Tanesco waliwasogezea hadi hapo jilani ndo mkalipia huduma ya kuunganishiwa?

Gharama za kutoka Ethiopia hazituhusu watanzania!

Sisi gharama zetu zitaanzia hapo kenya mpakani itakapofungwa mita!.
Sema kweli!?
 
Kuna ugumu gani kwa Tanzania kutumia umeme wake mwenyewe wa grid Arusha, Kilimanjaro na Manyara?.

Kama shida ni mbali maana yake Mbeya, Rukwa na Katavi nako itabidi tukanunue kwa jirani.

Kaskazini ni Moja ya strategic area kwetu, suala kama la umeme linapaswa kuwa managed na sisi wenyewe na sio kutegemea mataifa mengine yatuunzie umeme.
 
Back
Top Bottom