Uchambuzi wa Kiufundi naunga mkono nchi yetu kununua umeme kutoka inje nchi kuliko kusafilisha hadi kaskazini

Kule kwetu Rukwa tunatumia umeme wa Zambia all those years na hata kukitokea changamoto gridi ya taifa sisi huwa tunapeta tu tunabaki kushangaa kumbe nyie ndio wa mikoani
siku Zambia akinuna ndo mtaelewa
 
kanena vyema kuwa kutoka Ethiopia hadi Tanzania ni karibu zaid kuliko Rufiji to Arusha ?

Hv watz akili mnazifanyia kaz gan ? hatujiuliz Ethiopia anawezaj upeleka umeme wake mbali ilihali yupo vitani , na sisi kisiwa cha amani hatuez toa umeme Rufiji mpk Arusha
Kumbe kweli wewe ni fundi, umenena vyema
 
Nimekuelewa Mkuu
umemwelewa kuwa ni ngumu kwa Tz kutoa umeme Rufiji hadi Arusha ila ni nyepes Uganda kuutoa umeme wake Uganda hadi Tanzania ( krbK Kagera nzima ) Ethiopia hadi Kenya hadi Tanzania

Hv mtaipongeza Serikali yenu kuwa imetumja akili kwa kujikabidhisha kwa Ethiopia

TANZANIA YAONGOZA KWA UJINGA AFRIKA
 
Watu wanapenda tu kulalamika wanazani kujenga mradi wa umeme ni sawa na kujenga kamba ya kuanikia nguo!
kwamba ni ngumu kujenga mradi wa umeme kwa Tanzania kisiwa cha amani ila ni nyepesi kwa Ethiopia iliyopo vitani tangu 1900s pia sehem kubwa ya Ethiopia ni jangwa na hawana maliasili kutuzidi , je wao wamewezaj mpk ww useme kwetu ni ngumu

MWISHOWE WAKISEMA MNAONGOZA KWA UJINGA MNANUNA
 
Tanzania imezaliwa mwka 2025? hv mtatete ujinga mpk lin ? kwamba Ethiopia wapo vitani ila bado wanaweza zalisha umeme mpk wa kuwauzia bado hamstuki mnaongozwa na mandondocha

REPORT YASEMA ; TANZANIA YAONGOZA KWA UJINGA AFRIKA
 
wameiba hela kisha wametafuta wehu mitaani na kuwapa smart na bando kisha wanakuja kupumbaza watu humu mitandaoni
 
Wewe ni Fundi wa nini unasema frequency ya umeme itaingiliana na frequency ya bomba la mafuta?!

Mikoa ya kaskazini imekuwa ikitumia umeme kutoka Dar na Morogoro tangu zamani na ina umeme stable zaidi kuliko kanda nyingine nchini.
kalipwa buku 5 kuja kutetea wizi wa ccmu , yaan wameona hawatapiga mabilion kama tutazalisha ndan wametafuta kanda ya kupigia pesa ambayo ni kaskazini
 
Nyumba ya Mungu na Hale haya mabwawa yalikwisha kauka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Hebu jaribu ku update ubongo wako.

Usipime distance kutoka Addis Ababa pima kutokea Namanga. Tanzanania wananchi wana vichwa vigumu
mtasapot udalali mpk lin ? nipo nyumba ya mungu muda huu bwawa lipo vzr japo haliwez hudumia kanda nzima ila ukanda huu vipo vyanzo vingi vinaweza anzishwa na kuendelezwa na kila mkoa au wilaya ukawa na umeme wa ndani, ttzo tumeamuwa kuwa mandondocha hatutaki kuumiza akili
 
Funny, sasa tutauzaje umeme nje ya nchi wakati unapotea njiani?

Ethiopia wao wanafanyaje umeme wao usipotee?
 
nchi hii mnaiharibu kwa kupenda mseleleko , yaan uchawa upo damuni wala hamjali kuwa ipo siku diplomacy ya Tz na Ethiopia zitatofautiana je mtawezaj kuwasambazia umeme watu kaskazin kama Ethiopia itawazingua

HV MNAJUA THAMAN YA UHURU ? KWA ETHIOPIA WALIAMUA ZALISHA UMEME WAO
 
we chawa acha kumtukana huyo raia , hv kwa akili yako umahisi Ethiopia inaongozwa na malaika mpk wao wawez zalisha na kuuza nje ila sisi tusiwez kusambaza umeme ?

Hv waliposema watauza nje ina maana hawakujua haya ?

Wametafuta pa kupiga wamekosa wameona huu ndo mwanya
 
kwa akili yako unahisi mtoto alianza akiwa amatembea ? nyiny ccmu mna susa kuboresha mradi kisha mnaona bora kununua Ethiopia
 
Mkuu umejitahidi sana kueleza wenye kuelewa tushaelewa ...achana na watakupasua kichwa tayali kichwani mwao hawana mpango wa kuelewa unapoteza muda wako bure
machawa mpo kazini , kwamba walijenga mradi wa Nyerere bila kujua haya wanayosema ss hv ? huon haruf ya wizi ?
 
Tanzania imezaliwa mwka 2025? hv mtatete ujinga mpk lin ? kwamba Ethiopia wapo vitani ila bado wanaweza zalisha umeme mpk wa kuwauzia bado hamstuki mnaongozwa na mandondocha

REPORT YASEMA ; TANZANIA YAONGOZA KWA UJINGA AFRIKA
Ndìo kama huu sasa...
 
Hizo ni hesabu za uchumi, kaa kimya hujui unachoandika
 
Sema kweli!?
 
Kuna ugumu gani kwa Tanzania kutumia umeme wake mwenyewe wa grid Arusha, Kilimanjaro na Manyara?.

Kama shida ni mbali maana yake Mbeya, Rukwa na Katavi nako itabidi tukanunue kwa jirani.

Kaskazini ni Moja ya strategic area kwetu, suala kama la umeme linapaswa kuwa managed na sisi wenyewe na sio kutegemea mataifa mengine yatuunzie umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…