Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kujizima data kijana, usicho kielewa wewe hapo ni nini?Sasa hapo umechambua au umeshadadia
Una ubongo wa Kuku unasahu mapema, Vodacom, Kilimanjaro, Sportpesa hizo brandy zote wamevaa kwa kufanana enzi hizo bado upo kwenu ushiromboYaani yanga Inashindwa Kuvaa Visit Tanzania Kisa tu Simba Alivaa
yaani Ni Ujinga ujinga tu wampira wa Bongo
Tusioweka upenzi mbele kwenye Jambo hili tukutane hapa.Wasaalam,
Kila siku tumekua tukisema hakuna kitu kibaya kama kufanya mikataba ya kisirisiri, tatizo Hili kubwa halipo kwenye mpira tu Bali hata kwenye mikataba ya kiserikali, wananchi ndio tuna dhamana na nchi yetu na ndio walipa Kodi lakini watu wachache wanaingia mikataba au mikopo kisirisiri bila kuwapo na uwazi hata kidogo, utaskia tumeingia mkataba na nchi flani wenye dhamani ya trillion kadhaa, au tumechukua mabilioni kadhaa ya mkopo kutoka nchi flani huku sisi walipaji wa Hio mikopo hatujui vipengele Wala masharti ya mkopo huo
Tukirudi kwenye swala la Yanga, Mimi napenda kua neutral kwenye swala Hili, sielewi nani hasa ndio mwenye makosa kati ya club au Sportpesa!
Siri ambayo wengi hawaijui ni kua kwenye mashindano ya CAF yoyote, iwe CAF champions league au CAF confederation cup Simba SC au Yanga SC hawawezi kuitumia logo ya mdhamini wao mkuu Sportpesa!
Hii inatokana na kua muandaaji wa mashindano hayo 'CAF' tayari ana mkataba na kampuni ya kubet kutoka Russia 1xbet kama mmoja wa official sponsors wa michuano yoyote ya CAF! Kwa io huyu 1xbet ni part wa main sponsors kama walivyo Total energies!
Mkataba ambao 1xbet waliingia na CAF ni kua hakuna timu inayodhaminiwa na kampuni yoyote ya betting itatumia logo ya kampuni hizo kwenye michuano ya CAF ndio maana tunaona Simba SC alikua anatumia 'Visit Tanzania' kwenye michuano ya CAF..
Sportpesa sio wageni kwenye migogoro hii maana mwaka 2019 utata ulianza pale club ya Gor mahia walipozuiliwa kuitumia logo ya Sportpesa aliyekua mdhamini wao kipindi hicho, hii ilitokana na malalamiko kutoka 1xbet kua hataki Kuona wapinzani wake(kampuni za kubet) wakijibrand kupitia michuano anayoidhamini.. kitu kilochopelekea Gor mahia kucheza mechi ya marudio na zamalek na shirt zisizokua na logo mechi iliyofanyika Kenya na Gor mahia kushinda goli 4-2
Gor mahia alitafuta wadhamini wengine bila mafanikio ikabidi wawe wanacheza mechi zao bila kutumia logo yoyote!
View attachment 2503554Wachezaji wa Gor mahia kwenye michuano ya ndani
View attachment 2503556
Wachezaji wa Gor mahia kwenye michuano ya CAF
Swali ninalojiuliza.. kama Sportpesa walikua wameshawahi kupitia mgogoro huu 2019, mpaka Leo kwenye mkataba wao na Yanga au Simba Hilo swala watakua hawakuliweka sawa ili kuzuia Hili liliotokea sasa ivi? Au Kuna loopholes waliziacha Yanga wakaliona Hili wakaamua kupitia hapohapo
Kuna mtu atauliza mbona mechi za mtoano kama Yanga aliocheza na Al hilal mbona walitumia logo ya Sportpesa, jibu ni kua hizo mechi CAF Hana mamlala nazo na ndio maana hata haki za matangazo ya kurusha mechi alikua anamiliki timu ya nyumbani,
Kuna nchi kama Austria ambao wanaruhusu sponsor mbalimbali kwa timu Moja ila wakienda kucheza UEFA basi inawabidi wawe na sponsor mmoja tu kwa jersey
View attachment 2503560
hao ni wachezaji wa timu Moja 'wien' ya Austria wakiwa wamevaa shirt zenye sponsor tofauti
Nimeleta hii ili mjue kua swala la sponsor kwenye shirt Kila nchi Ina makubaliano yake, ila ukienda kwenye michuano flani basi lazima ufuate Sheria za huko! Mfano kama england wao wanatumia sponsor mmoja tu kwenye mashindano yote! Mwaka 2010 Kuna timu iliomba kua na sponsor tofauti, yaani epl wamtumie huyu na fa wamtumie mwingine ila wakakataliwa maana Sheria Kule zipo wapi sponsor mmoja kwa mashindano yote
Ukakasi unakuja Yanga hawezi kuvaa logo ya Sportpesa kwenye CAF, Yanga nao hawataki kuvaa visit Tanzania kama ambavyo Sportpesa walidhani, sijajua kwanini ila nahisi Itakua mambo ya ki maslahi tu maana sidhani kama Simba alivaa Bure pia, kama hawakusema walipewa chochote basi Kuna watu walipiga pesa hapa, maana Kuna kitengo Cha kutangaza utalii kina bajeti zake kubwa tu, rejea Rwanda wanalipa mabilioni kwa arsenal na psg wakivaa 'visit Rwanda'
Sababu kubwa ya epl kukataa timu kuvaa logo tofauti hata kwenye michuano ya kimataifa ni kua italeta ukakasi sana! Na Hili ndo litakuja kujitokeza kwa Yanga! Mfano Yanga wanavyofanya promotion zao au wakihudhuria shughuli nyingine za kijamii watatumia shirt zenye logo ipi? Tumeshaona jersey zenye logo nyingine zishaanza kuuzwa Hili nalo halijakaa sawa kwa Sportpesa kibiashara!!
Rushwa kwa wachezaji itajipenyeza kwa Kasi maana Kila kampuni sasa kati ya Sportpesa au haier italazimika kuwahonga either wachezaji au watu wenye influence kuzivaa jezi zenye logo zao wakiwa hawapo uwanjani au kuzipost kwenye social media ili wajitangaze zaidi
CAF wao hawawezi kumpangia Yanga logo atayovaa kama Haingilii maslahi Yao na kama hajavunja masharti na mdhamini wao Sportpesa! Sasa na jukumu la Yanga na Sportpesa kuacha usiri na kutuambia 'live' je mkataba baina Yao unasemaje? Kama Sportpesa walijua Yanga hawezi kuvaa logo yao kimataifa je walimbana asije akavaa nyingine?au wali assume atavaa visit Tanzania kama Simba so hawakuligusia Hili?kama walijisahu basi Hio ni loophole Yanga atakua kapita nayo
Ifike muda waweke usiri pembeni waletee mikataba mezani tujue kipi ni kipi, maana wananchi washaanza kununua jersey ili Hali Kuna Hali ya sintofahamu
Kwaiyo nyie madunduka fc mmeamua kukaza shingo kabisa kuchukua makombe yenu ya Fei toto na sportpesa? Mnabwata tu bila kuelewa vipengele vya kimkataba vilivyopo kati ya sportpesa na yanga? Mnasahau ata mechi yenu na singida mmekomalia vitu msivyovijua na visivyowahusu, mambo ya kimkataba yanahusisha pande 2 na ndizo zitazoelewana tafuteni kombe jingine acheni uboyaSasa hapo umechambua au umeshadadia
Uko vzrSijaona uchambuzi wowote.
Nilitegemea kuona vifungu vya Kimkataba baina ya Sportpesa na Yanga vinavyoainisha ni namna gani scenario kama hiyo inavyopaswa kuwa.
Vinginevyo ni kelele nyingi tu zisizo na maana..
Yanga kavunja makubaliano. Kama kulikuwa na loophole ya kujipitisha, basi wasingewaconsult Sportpesa.
Kwenda kuonana na Sportpesa inaonyesha wazi kuwa kuna kipengele katika mkataba wao kinawabana..
Kwa nini Sportpesa hataki kampuni ya Haier iwekwe kifuani. Sababu ni moja tu, Yanga haitaitangaza Sportpesa ipasavyo.
Ukweli ni kuwa, jezi zenye logo ya Haier zitauzika zaidi kuliko jezi zenye logo ya Sportpesa. Kwa sababu ipo idadi kubwa tu ya watu wasiovaa jezi zenye logo za kampuni za kubashiri.
Lakini pia, jezi za michuano ya Kimataifa zinaonekana kuwa na mvuto zaidi kuliko zile za Michuano ya ndani.
Hilo halitoshi, watu wana mindset za kujaribu vitu vipya zaidi. Sportpesa ishavaliwa sana, mtu ana jezi zao nyingi. Kuja kwa kampuni nyingine, kunampa mtu fursa ya kununua jezi ya tofauti na hivyo kuitangaza kampuni husika zaidi.
Ni sawa na kusema Sportpesa alilipa kiasi kikubwa cha fedha huku Haier akilipa kiwango kidogo, huku wote wakipewa haki sawa za kujitangaza.
Sawa, utasema siyo wapinzani (Haier na SP). Lakini kampuni nyingine haipaswi kunufaika kwa sababu ya mkataba wa michuano mingine.
Sportpesa waliwapa Option ya Visit Tanzania, kwa sababu yenyewe si kampuni. Na wala haimnufaishi mtu mwingine yeyote isipokuwa Taifa zima.
Tusubiri tuone.
Umechambua vizuri sana lakini tambua kuwa Sportpesa anawa-sponsor Yanga kwenye CAFCC: anatoa bonuses kila hatua itakayofikiwa na Yanga; mfano hatua ya makundi, robo fainali, nusu fainali na fainali! Na Sportpesa wanatambua wazi kwamba wao hawatangazwi wala kunufaika kuonekana kama ilivyotokea kwa Gormahia ya Kenya. Kwa kuwa nafasi ya kutangazwa logo yao pale mbele wanaimiliki wao na Yanga wamepewa offer tu ya kujiongezea kipato katika CAFCC ndio maana wao Sportpesa wanatoa maelekezo nani anayekubalika na CAFCC atumie nafasi yao SIO Yanga waamue watakavyo kama vile nafasi hiyo ni mali yao. Sasa Sportpesa wanamtaka rafiki yao Visit Tanzania mwenye pesa kiduchu wakati Yanga wameshachukua pesa ndefu ya Haier!Wasaalam,