Uchambuzi wa mgogoro wa kimkataba kati ya Yanga SC na kampuni ya Sportpesa

Yaani yanga Inashindwa Kuvaa Visit Tanzania Kisa tu Simba Alivaa
yaani Ni Ujinga ujinga tu wampira wa Bongo
 
Yaani yanga Inashindwa Kuvaa Visit Tanzania Kisa tu Simba Alivaa
yaani Ni Ujinga ujinga tu wampira wa Bongo
Una ubongo wa Kuku unasahu mapema, Vodacom, Kilimanjaro, Sportpesa hizo brandy zote wamevaa kwa kufanana enzi hizo bado upo kwenu ushirombo
 
Tusioweka upenzi mbele kwenye Jambo hili tukutane hapa.
 
Sasa hapo umechambua au umeshadadia
Kwaiyo nyie madunduka fc mmeamua kukaza shingo kabisa kuchukua makombe yenu ya Fei toto na sportpesa? Mnabwata tu bila kuelewa vipengele vya kimkataba vilivyopo kati ya sportpesa na yanga? Mnasahau ata mechi yenu na singida mmekomalia vitu msivyovijua na visivyowahusu, mambo ya kimkataba yanahusisha pande 2 na ndizo zitazoelewana tafuteni kombe jingine acheni uboya
 
Uko vzr
 
Umechambua vizuri sana lakini tambua kuwa Sportpesa anawa-sponsor Yanga kwenye CAFCC: anatoa bonuses kila hatua itakayofikiwa na Yanga; mfano hatua ya makundi, robo fainali, nusu fainali na fainali! Na Sportpesa wanatambua wazi kwamba wao hawatangazwi wala kunufaika kuonekana kama ilivyotokea kwa Gormahia ya Kenya. Kwa kuwa nafasi ya kutangazwa logo yao pale mbele wanaimiliki wao na Yanga wamepewa offer tu ya kujiongezea kipato katika CAFCC ndio maana wao Sportpesa wanatoa maelekezo nani anayekubalika na CAFCC atumie nafasi yao SIO Yanga waamue watakavyo kama vile nafasi hiyo ni mali yao. Sasa Sportpesa wanamtaka rafiki yao Visit Tanzania mwenye pesa kiduchu wakati Yanga wameshachukua pesa ndefu ya Haier!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…