Uchambuzi wa Mkataba wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kati ya Tanzania na Dubai

Huo mkataba hata mie kwa akili zangu ndogo na sijui sheria, ila baada ya kuusoma tena kifungu kidg hapo hapo niliuona hauna maana, ndo iwe yeye Rais??

Acheni kutetea kila kitu bhana. Khaaaah
Uko wapi huo mkataba?
 
Hata wakisimamia Ni faida gani ikiwa hawawezi kumuwajibisha mwekezaji?
 
Kumbe ubaguzi tu unakusunbuwa, wewe kwenu wapi?

"Kule zenji" kama ghuelewi mkataba na Dubai walianza na eyapoti, wa bandari ukafatia.

Mbona ni zamani mpaka imekuwa historia, wewe ulikuwa umelala

Kumbe ubaguzi tu unakusunbuwa, wewe kwenu wapi?

"Kule zenji" kama ghuelewi mkataba na Dubai walianza na eyapoti, wa bandari ukafatia.

Mbona ni zamani mpaka imekuwa historia, wewe ulikuwa umelala?

Kumbe ubaguzi tu unakusunbuwa, wewe kwenu wapi?

"Kule zenji" kama ghuelewi mkataba na Dubai walianza na eyapoti, wa bandari ukafatia.

Mbona ni zamani mpaka imekuwa historia, wewe ulikuwa umelala?
Ehe ehe tupeni faida mnazopata nyie omba omba wahead! Tuondoleeni biashara ya utumwa hapa!
 
Acha, Acha..
Huu mkataba unaiingiza rasmi Tanzania kwenye biashara za Kimataifa.

Wenye uelewa wa biashara za Kimataifa watalielewa hilo.

Mambumbumbu wa biashara mtabaki bandari imeuzwa, imeuzwa.

Imeuzwa kupelekwa wapi?
Acha kabisa Kuongea ujinga Nchii inauzwa hii alisema Job..na inatokea kweli.
 
Hata wakisimamia Ni faida gani ikiwa hawawezi kumuwajibisha mwekezaji?
Na yeye anaweza kukuwajibisha wapi kama hujafata mkataba?

Jibu lako na langu kasome article 20 ya mkataba.
 
Kwa akili zangu ndogo ninavyojua mkataba ilibidi aandae mwenye mali
 
Mkataba kabla haujawekwa kisheria hua kuna mazungumzo, mazungumzo nayo hayakueleweka?
 
mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu za zanzibar hazihusiki

ila kuna sauti ya ndani kabisa inaniambia tufungue macho hawa wazanzibar wataturudisha myuma na pabaya na udini ukiwemo
 
Mwarubaini❎ = mwarobaini ☑️
 
Huo mkataba hata mie kwa akili zangu ndogo na sijui sheria, ila baada ya kuusoma tena kifungu kidg hapo hapo niliuona hauna maana, ndo iwe yeye Rais??

Acheni kutetea kila kitu bhana. Khaaaah
Acha uongo wewe umedandia waliokudadavulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…