FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Uko wapi huo mkataba?Huo mkataba hata mie kwa akili zangu ndogo na sijui sheria, ila baada ya kuusoma tena kifungu kidg hapo hapo niliuona hauna maana, ndo iwe yeye Rais??
Acheni kutetea kila kitu bhana. Khaaaah