Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Nimemsikia huyu mwamuzi mstaafu kichambua matukio ya michezo ya NBC premear League.
Moja ya matukio aliochambua ni "advantage play" alionyimwa Mayele. Osman kaze anatuambia kua kwenye sheria 17 za soka hakuna mahala popote "advantage play" imeandikwa.
Swali kwako Osman, ni kweli huijui Law 5 - The Referee ~advantage rule?
Au ndo tuseme wa mchongo?
Tukio jingine ni penalty dhidi ya Prisons. Uliposema kua refa anaweza kuhukumu kwa kuzingatia reaction za wachezaji kama hajaona tukio vzr. Yaani refa yuko sahihi kuhukumu penati kwa kumsikiliza Bocco ame react na kusema nini juu ya mchezaji wa Prisons kushika mpira 😁. Nashkuru yule mtangazaji mwenzako aliweza kukubana mbavu hukuweza kuchomoka.
Kwamba refa aliekua nyuma alikua kwenye angle nzuri ya kuona. Yaan leo ndo nimeweka tick ✅ kua ww ni wa mchongo.
Ndugu wadau wa michezo; wa michongo hawajaanza leo.
Ushauri kwa Azam media. Kaze ni wa michongo, tafuteni mchambuzi mwingine mwenye uwaafadhali.