Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Ona sasa ulivyo wa hovyo kwenye Medulla oblongata yako. Hiyo sheria ya advantage play ni sheria namba ngapi kwenye sheria za FIFA. Utopolo wewe.Unakuwa mbishi kwa kitu ambacho hukijui na Ni bora ungekubali kueleimishwa kuliko kuwa mbishi. Kanuni hii ni kama ile ya Fair play pale mchezaji anapoumia mchezaji wa timu pinzani akiwa na mpira akautoa nje. Wakati wa kurusha mchezaji anayerusha anatakiwa kuwarushia timu pinzani au kumpa mwenzake ambaye atatakiwa kuipa faida ya umiliki timu pinzani. Lakini asipofanya hivyo hahukumiwi Bali ataonekana hana ustaarabu wa kimichezo.