Uchambuzi wa Osman Kazi kwenye Kilenga cha Mwisho unapotosha ukweli

Unapiga domo sana. Hujui chochote mzee. Hakuna sheria inayomlazimisha referee kwenye advantage, mwanangu.
Hii hapa, soma tena.

allows play to continue when the team against which an offence has been
committed will benefit from such an advantage and penalises the original
offence if the anticipated advantage does not ensue at that time

 
Hauwezi kwenda ivory coast ukawakuta shabiki wa Simba labda waswahili wanao ishi huko

Utopolo punguzeni ulimbukeni

Hii ndio tofauti kati yetu na nyie

Tafuteni pa kuanzia kesho
Tar 15 si mbali, mtajitokeza tu. Na manungu mtakuwepo pia.
 
Ameshasema haipo, atakuja na hoja nyingine au atakaa kimya.....
 
Unapiga domo sana. Hujui chochote mzee. Hakuna sheria inayomlazimisha referee kwenye advantage, mwanangu.
Wapi referee kalazimishwa kutoa advantage!?
 
Hongereni kwa ushindi. Vipi tabia ya kuwapiga wapinzani wenu wasiowashangilia, iendelee tuwe tuna record marks tuone nani atapata marks nyingi?
Msimu uliopita mlipokuwa mnashambulia mashabiki wa simba mliona ni sawa.Mechi haiwahusu mnakuwa na kiherehere
 

Kwahiyo Manara ndivo alivyokwambia kuwa LAW YA 5 NI ADVANTAGE RULE sio?
Sasa THE REFEREES itakuwa LAW NAMBA NGAPI?
Hiyo Sheria ya 'Advantage Rule' itakuwa inapatikana huko Madimbwi ya Utopoloni labda.

Katika hizo 👆 Sheria 17 hapo juu hebu nioneshe Sheria ya 'Advantage Rule' ni yangapi ili tuweze kuitumia.
 
Ndiyo, sheria ya 5 ni "The Referee" na na ndani yake ndo kuna "Advantage Rule" ndo maana niliambatanisha chini.
 
Huyu mzee ni choko nilishaacha kumtazama kitambo
 
Hongereni kwa ushindi. Ila tabia mliyoianzisha ya kupiga mashabiki wasio wenu ni tabia hatarishi. Kumbukeni kwenye vita hakunaga mshindi wa kudumu. Mtakuja kufanyiwa ambushi msioitarajia mkiendekeza tabia zenu za kihayawani.
Kwani Asec walikuja na masjabiki pale kwa Mkapa?
 
Nilifikiri ni Mimi pekeyangu ambaye nilishakua na wasiwasi juu ya uchambuzi wake wa Sheria za soka, nadhani anafikra kuwa yeye anajua kutafsiri Sheria kuliko wengine wanao fatilia kipindi chake kumbe anajishushia heshima kwa michongo yake.
 
Ndiyo, sheria ya 5 ni "The Referee" na na ndani yake ndo kuna "Advantage Rule" ndo maana niliambatanisha chini. View attachment 2118964

Kosa limeanza hapo kwenye "Advantage Rule" ndiyo ulipokosea Ndugu, hiyo siyo "Rule" bali ni "Option".
Namaanisha Advantage sio sheria bali ni hiari tu ya Refa akiamua anatoa na asipoamua hatoi na Wala hakuna kumhoji Refaree kuhusu Advantage.
 
Kosa limeanza hapo kwenye "Advantage Rule" ndiyo ulipokosea Ndugu, hiyo siyo "Rule" bali ni "Option".
Namaanisha Advantage sio sheria bali ni hiari tu ya Refa akiamua anatoa na asipoamua hatoi na Wala hakuna kumhoji Refaree kuhusu Advantage.
Hawa wenzetu ni wapumbavu kuzidi. Wanalazimisha nyeusi kuwa nyeupe.
 
Simba SC vs Yanga, kapombe alikuwa anaenda kufunga filimbi ikapigwa eti Kuna mchezaji kaanguka.

Hii mbona hamuisemi????

Yanga wote majuha
 
Sheria hiyo inampa uhalali wa kufanya advantage referee asipofanya hivyo kipi kinatokea!?
Unakuwa mbishi kwa kitu ambacho hukijui na Ni bora ungekubali kueleimishwa kuliko kuwa mbishi. Kanuni hii ni kama ile ya Fair play pale mchezaji anapoumia mchezaji wa timu pinzani akiwa na mpira akautoa nje. Wakati wa kurusha mchezaji anayerusha anatakiwa kuwarushia timu pinzani au kumpa mwenzake ambaye atatakiwa kuipa faida ya umiliki timu pinzani. Lakini asipofanya hivyo hahukumiwi Bali ataonekana hana ustaarabu wa kimichezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…