Uchambuzi wa Osman Kazi kwenye Kilenga cha Mwisho unapotosha ukweli

Ona sasa ulivyo wa hovyo kwenye Medulla oblongata yako. Hiyo sheria ya advantage play ni sheria namba ngapi kwenye sheria za FIFA. Utopolo wewe.
 
Kazi ni makolo toka zamani
 
Kimsingi Advantage play siku zote huwa ni busara za refa, hakuna sheria inayomlazimisha kufuata,

Ni sawa na Fair play, ni uungwana lakini sio sheria, kipa wa timu pinzani anaweza kuwa kaumia/ kuumizwa na mchezaji mwenzake na goli linafungwa kipa akiwa yuko chini linakuwa halali.
 
Mkuu sheria inatamka wazi Kama kipa ameumia ni sharti refa asimamishe mchezo ili apate matibabu maana ni very vital area ambayo kukosekana kwa kipa unasababisha goal moja kwa moja.......hivyo Kama kipa ameumizwa hata Kama na mchezaji wake na refa akaona tukio ni lazima mchezo usimamishwe.........Sasa Kuna mazingira refa anaweza kuwa hajaona Kama kipa kalala chini kwa kuumia na ikatokea mpira ukapigwa na kuingia golini moja kwa moja,kwenye mazingira haya goal linahesabiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…