Uchambuzi wangu kuhusu hoja za Tundu Antipass Lissu kwenye suala la Bandari

madalali ya samia mmejazana humu jf mkizan mtafanikiwa kwa taarifa yenu tumeshawapuuza na tunajua mnakoment kwa viposho vya hongo, labda nikujibu swala moja ulilouliza kuwa Lissu alipolipwa pesa zake hakuona swala la uzanzibar yani wewe ndio unaonyesha upoyoyo kama mlivyo huko ccm,sasa nakuuliza hizo pesa ni zilikua zake au sio zake?
Swali la ziada je pesa za lissu ni swala la muungano kama ilivyo kwenye bandari?
Swali jingine unafahamu kuwa bandari ni swala la muungano?
Kwanini bandari za bara pekeyake ndio zimeuzwa milele?
NB: Nyie madalali ya warabu kama wale waandishi uchwara wa habari 30 akiwemo Balile waliohongwa tutawanyoosha mpaka akili ziwakae sawa maana network zenu zekata.
 
Mimi dalali tena? Umejiunga lini humu?
 

Uanasheria wako unawalakini!pole
 
Kwenye IGA hakuna ukomo lkn HGA kutakiwa na ukomo huoni tu kwamba huo ni mtego Tosha
 
Mtego gani ? Kwa nini IGA iwe na ukomo wakati hakuna project mwekezaji amepewa kwenye IGA?
Kwenye IGA hakuna ukomo lkn HGA kutakiwa na ukomo huoni tu kwamba huo ni mtego Tosha
 
Na wewe umepata kiasi kwenye mgao?
 
6,000,000/=
 
Lissu is SICK
 
Huu ni msumari huu ni WA Mwisho kwenye JENEZA......

Watanganyika wapo macho na bandari zao....

Analeta utetezi uchwara DAMN!
 
Discourse and critical thinking are essential tools when it comes to securing progress in a democratic society. But in the end, unity and engaged participation are what make it happen.
 
Endelea kusubiri meli Airport. Samia is here to stay hadi 2030
Ndio maana mnaleta hoja za utopolo kutemtetea... Sawa hata kama mtalazimisha akae kwa ubabe... Lakini hata akikaa Hana Amani ka bamdogo Jiwe... Umejichagua mwenyewe ujasiri utapata wapi? Hiyo nayo adhabu tosha... Akienda mkutano abebe washangiliaji... Sasa hapo unatawala au?? 😁 😁
 
Nyie vibaraka tuachieni Tanganyika yetu. Kwanza nadhani biashara na DPW bora iishie hapo hata kama tuna nia ya kutafuta mshirika wa uwekezaji tutafute kampuni nyingine kwani mchakato huu wa DP umeshaingia dosari na hata kama serikali watalazimisha taifa hili halitabaki salama.
 
Mimi nimemuelewa zaidi Jussa kuliko Lissu. Jussa anasema "Watanganyika mtajuana wenyewe na limkataba lenu, Sisi Wazanzibar hautuhusu". Lissu kaongea Kwa mafumbo kuhusu wahusika Wakuu kuwa Wazanzibar, lakini Jussa kaweka Wazi kwamba wao hauwahusu. Nakubaliana naye Kwa sababu mbali ya yeye wa Chama pinzani kusema hivyo lakini alitanguliwa na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar ambaye ni CCM aliyesema mkataba na DPW hauihusu kabisa Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…