Tulikuwa tunahimiza tu ....Ili kuikamilisha destinyIkitokea napendelea ucheshi wako unapatikana wapi "blooo"?Si wewe na wenzako mliokuwa mkihanikiza kwamba Simba atafungwa kabla ya mechi?Daima mbele "bloo",nyuma ungalipo mwiko![emoji12]
Tulichagua option ya kwenda nusu fainaliNyie mlipigwa bhana, mngekuwa hamuitaki hiyo game wale mastar wenu wasingeingia....halafu pia kale kazee kenu kaprofesa uchwara Kangekuwa hakaitaki mechi kasingeongea lugha 4 kwa mara moja pale maana kalidata kakajua ni mourinho kumbe muhuni robertinho.
Mlizidiwa mkapigwa magoli usijifariji utopolo.
Sijaelewa swali mkuu
_Yanga hakutumia nguvu nyingi katika gemu tofauti na Simba
TutakukumbushaHaiwezi tokea mkuu
Sio wewe ulikuwa miongoni mwa waliosema wapigwe ban endapo uto angepoteza derby? leo imekuaje tena unakunywa matapishiyo?Nmetoa fact mkuu.....kama ulicheki Ile mech uliona kabisa mayele + Aziz ki wangetoka na magoli ya kutosha