Uchambuzi: Yanga ilipanga kupoteza mechi ya derby

Hii ni polimilai. Tulia kijana
 
Hawa tunaosikia wamekufa sababu ya ushabiki wa mpira inawezekana hawakuwahi fikiri watakufa sababu ya ushabiki. Ukiona jambo linakukaa akilini sana ujue linaweza kupa msongo wa mawazo na pressure na haya mambo huondoa watu duniani.
 
Ukisikia akili za gongowazi huu ndio mfano hai.Wanaweweseka kwa sababu hata margin ya ushindi ni kubwa ukitoa nusu fainali waliokandwa 4.Margin ya goli moja au mbili moja ndio huwa kawaida katika mechi za miaka ya karibuni.
Kukandwa viwili tena vya kufuatana imewafanya gongowazi wawehuke.Nabi kaongea mpaka kiswahili. Halafu anakuja mjinga mmoja anasema ohh hatukutaka kushinda!!!
Maneno ya Manara yanazidi kujidhihirisha kwamba walionazo ni wawili tu.
It is too low even for their standard.
 
Wakati mwingine hua tunasingizia mtu karogwa kumba wala uchawi hau husiki ni ujinga wa mtu tuu
 
Hawa tunaosikia wamekufa sababu ya ushabiki wa mpira inawezekana hawakuwahi fikiri watakufa sababu ya ushabiki. Ukiona jambo linakukaa akilini sana ujue linaweza kupa msongo wa mawazo na pressure na haya mambo huondoa watu duniani.
Hao ni mashabiki maandazi mkuu....sisi ni wachambuzi by professional
 
Reactions: Tsh
Fuatilia mkuu
 
Boko haram waapa kutoiangusha Rivers Utd..
 
Inaonekana kipigo kimekuuma sana hadi unatafuta maneno ya kujifariji, pia inaonekana umeanza kushabikia mpira juzijuzi. katika historia ya hizi timu hakuna anayekubali kupoteza mechi kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…