Timetraveller
Member
- May 8, 2021
- 52
- 42
Mleta mada niko na wewe waache waamini wenyewe hayo ma imagination yao. Km wanaweza watuletee prove apa si kuleta stor za alfu ulela hapa. Mleta mada safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaweza wakaja na kisingizio kwamba jini halipigiki picha!Hivi mbona maneno yamekuwa meengi lakini hakuna anayeweka picha ya JINI au ushahidi rasmi ili tumalize huu ubishi?
Kusema tu Majini yapo ilihali hata picha ya jini angalau mmoja haiwekwi hapa ni kupoteza muda na kubishana pasipo mwisho
Kama wenzetu Waislam mnaswali nao si mtusaidie angalau tuone picha hata ya Maimuna tu?
Leta uthibitishoAcha upambavu dogo.
uchawi upo me mwenyewe nishapoteza ndugu kwa huo uchawi (hawakuwa warengwa)
Kuhusu jini sijawahi liona, ila uchawi sio kuuonatu, mpaka kuubeba.
Ila malezi nayo yana changia, huwezi lelewa maisha ya mboga saba ukaujua uchawi, ila ungezaliwa uswahilini usingeongea hivi.
Meza ni hayawani?Unajua kilugha tamko "nini" ni kwa vile ambavyo havina akili yaani hayawani. Sasa kwanini iwe nini ? Na nini inaweza kufanya nini ? Yaani unaijua mipaka ya tamko "nini ?" ? Usitake kulazimisha Uongo uwe ukweli,jambo ambalo ni Muhali.
Naam ni Hayawani.Meza ni hayawani?
Wewe hata Kiswahili tu hujui.Naam ni Hayawani.
Uwe unajibu maswali ninayo kuuliza. Hujajibu hata moja mpaka muda huu.
| Audio (Kenya) |
MENU 0:00 |
Vitu ni katika hayawani mzee,ndiyo maana nimekwambia vyote visivyo na akili au maarifa. Wanyama wanaingia na vitu vinaingia.Wewe hata Kiswahili tu hujui.
hayawani - Wiktionary, the free dictionary
en.wiktionary.org
Swahili[edit]
Etymology[edit]
From Arabic حَيَوَان (ḥayawān).
Pronunciation[edit]
Audio (Kenya) View attachment 1821889
MENU
0:00Noun[edit]
hayawani (n class, plural hayawani)
Synonyms[edit]
Acha kufikiri kwamba wewe pekee ndiye unajua mizizi ya maneno.Vitu ni katika hayawani mzee,ndiyo maana nimekwambia vyote visivyo na akili au maarifa. Wanyama wanaingia na vitu vinaingia.
Shida yako hukujua hata tamko "Hayawani" ni la asili ya kiarabu.
Dunia ni zaidi ya uijuavyo na ina mambo mengi ambayo haujayajua bado.Wanaweza wakaja na kisingizio kwamba jini halipigiki picha!
Waumini wa uchawi wana visingizio vingi!
Unaweza thibitisha uchawi upo?Dunia ni zaidi ya uijuavyo na ina mambo mengi ambayo haujayajua bado.
Ukitaka kuyajua utayajua. Ukitaka midahalo ya ubishi pia ni sawa. Ni uchaguzi.
Unachagua kati ya kujuzwa ama kukomaa na ubishi.
Uchawi upo na tumeuona.
Utauliza uchawi unafananaje? Nikikwambia uchawi unafanana na sufuria utaamini?
Au utaniita mgonjwa wa akili?
Mnaita nini ile? schizophrenia sijui?
Wewe umefika mbali huko kwenye kuthibitisha?Unaweza thibitisha uchawi upo?
Hujui kama Hayawani ni katika maneno ya Kiarabu ? Lazima turudi katika asili.Acha kufikiri kwamba wewe pekee ndiye unajua mizizi ya maneno.
Mimi nimekuwekea link inayoonesha mzizi wa neno ni Kiarabu, utasemaje sijui mzizi wa neno ni Kiarabu?
Kwani hapa tunajadili Kiswahili au Kiarabu?
Mbona Kiswahili tunamuita Rais mwanamke Amiri wakati Kiarabu Amiri ni mwanamme?
Swali lako la "nani" lina assume kwamba, ulimwengu ni lazima umeumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote mwenye nafsi
Wakati huna ushahidi wala uthibitisho wowote.
Unauliza swali ukiwa umelenga jibu lako unalolitaka tayari.
Hujauliza swali lililo open ili ujue jibu.
Huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ni hadithi tu, kiuhalisia hayupo.
Ndiyo maana mpaka sasa hujaweza kuthibitisha Mungu huyo yupo, na wala hujaweza kuondoa contradictions katika dhana ya uwepo wake.
Uchawi ni nini?Mwingine mimemueleza humu kwamba nimewaona wachawi wakiingia na kutokomea ukutani, akabaki kung'aka...... oooh umerukwa na akili!
Nimerukwa na akili? Hahahaa.....
Ati nina schizophrenia!
Mwingine akaniambia nina malaria sugu!!
Yaani.... ni mwendo wa ubishi ubishi tu!
Ohh ati hiyo ni metaphysics na sio uchawi!
Metaphysics eeehhh???
Wewe unaweza kupita kwenye ukuta na kutokezea upande wa pili?Uchawi ni nini?
Unaelewa kwamba hakuna shrria ya kisayansi inayokuzuia wewe kupita kwenye ukuta wa matofali usio na mlango, kinachokuzuia ni statistical chances tu?
Unaelewa kwamba mtu anaweza kupita kwenye ukuta wa matofali akatokea upande wa pili bila kuchubuka wala kuvunja sheria yoyote ya kisayansi?
Unaelewa kuthibitisha ni nini?Ndio ninaweza kuthibitisha.
Nimewaona wachawi.
Hakuna kanuni ya Kiswahili inayoruhusu kuandika tamko lisilo na irabu mwisho,rekebisha hapo "Rais" ni "Raisi".Mbona Kiswahili tunamuita Rais mwanamke Amiri wakati Kiarabu Amiri ni mwanamme?
Uliwaona wapi wewe hao wachawi wakiingia na kutokomea ukutani?Mwingine mimemueleza humu kwamba nimewaona wachawi wakiingia na kutokomea ukutani, akabaki kung'aka...... oooh umerukwa na akili!
Nimerukwa na akili? Hahahaa.....
Ati nina schizophrenia!
Mwingine akaniambia nina malaria sugu!!
Yaani.... ni mwendo wa ubishi ubishi tu!
Ohh ati hiyo ni metaphysics na sio uchawi!
Metaphysics eeehhh???
Mpaka leo sijaweza, kwa sababu ya statistical chances.Wewe unaweza kupita kwenye ukuta na kutokezea upande wa pili?
Haya nithibitishie basi.Ndio ninaweza kuthibitisha.
Nimewaona wachawi.