Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mkuu, unaviamini hivi vitabu vya dini hapo?🙄🤷🏾♂️🤷🏾♂️🤷🏾♂️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, unaviamini hivi vitabu vya dini hapo?🙄🤷🏾♂️🤷🏾♂️🤷🏾♂️
Bila kumtaja Kiranga hujafurahi bado?
Siwezi kuthibitisha nini?Wewe umejuaje nimesema UONGO kama huwezi kuuthibitisha?
Nikimpigia simu mtu mbona anaweza kunitumia majambazi kwa kutumia namba ya simu.Mkuu kama unajiamini we njoo nikupe namba ya mtaalam wangu.
Mpigie simu umtukane uwezavyo, mchimbe mikwara uwezavyo.
Kitakachokukuta mi sitahusika.
Nilikuwa nae.leo mchana tunaweka mambo flani sawa.
Sina mengi ya kukwambia, karibu mwanza
View attachment 1821729
🤣🤣...Naomba nikusaidie kidogo mto mada. Hapo kwenye 'lete Prove' inatumiaka zaidi 'Lete Proof'!!
Nicheki whatsapp +255625750755 tumalize kazi.Nikimpigia simu mtu mbona anaweza kunitumia majambazi kwa kutumia namba ya simu.
Wewe mwambie mtaalamu wako amtumie kibomu Kiranga wa JF sasa hivi.
Tena kile cha kukata mikono, Kiranga ashindwe ku type hapa JF, tujue uchawi upo.
Kama sio bangi basi njaa, au uchovu au usingizi wa muda mrefuBwana Kiranga.....
Uchawi upo na wachawi wapo.
Nimewashuhudia kwa macho yangu wanaingia ndani ya nyumba usiku saa nane!
Ukiwakurupua wanakimbia wanapotelea ukutani.
Hiyo nayo utanambia nimerukwa na akili?
Whatsapp mbona hata wasiojulikana wanaitumia kutafuta watu.Nicheki whatsapp +255625750755 tumalize kazi.
Mbona rahisi sana hii kuliko kumrudisha msukule.
Niko kilingeni mda huu hio kazi naifanya na bado utasema ni kansa tu sio uchawiView attachment 1821733View attachment 1821733
Mna utani na taaluma za watu nyie
Kaona wachawi kashindwa hata kuwa rekodi kwenye simu kutuwekea video hapa.Kama sio bangi basi njaa, au uchovu au usingizi wa muda mrefu
una hoja nzito sema tu wengi tunapenda maelezo rahisi. kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kuamin katika uchawi na kutoheshim sayansi! watu wengi ukomo wao wa uelewa na ufikiri unapoishia huingia phase ya kuamin uchawi. hivyo uchawi ni pale sayansi inapoishia. na kila mtu ana pa kuishia pake!Kwanza kabisa nimeuliza uchawi ni nini.
Na utajuaje huu ni uchawi na si kitu kingine ambacho si uchawi ila hujakielewa tu.
Hujajibu.
Muandishi wa riwaya za kisayansi wa Kiingereza Arthur C. Clarke alikuwa na usemi wake mmoja naupenda sana.
Alisema " Any sufficiently advanced technology is indistinguishable from magic".
Yani hata watu kutoka Ulaya walivyokuja na mambo ya gramophone inayopiga muziki, mababu zetu wakaona muziki na sauti za watu zinatoka katika hiki kibox cha gramophone, waliona uchawi.
Hawa mababu zetu wangekuwepo leo wakaona ndege zinaruka, wangeona tunawasilianankwa simu kutoka oande zote za dunia, wangeita huu ni uchawi.
Kumbe ni sayansi tu.
Hawa watu wa kutoka Ulaya walivyoweza kutabiri lini jua litapatwa (solar eclipse), kwa kujua sayansi tu, walionekana wachawi.
Sasa, uchawi ni nini na wewe unajuaje huu ni uchawi na si kitu kingine ambacho hukijui tu kama babu zetu walivyokuwa hawajui gramophone na jinsi ya kutabiri solar eclipse?
Una kichwa kigumu sana,inakuwaje una rudia maswali niliyo kujibu ? Jibu hili swali.Nikikwambia kwamba mimi ni Mungu, ila wewe huwezi kujua hilo, kwa sababu ukweli huo umepita uwezo wa akili yako kujua, utabishaje?
Chochote utakachobisha, mimi nitakujibu "huwezi kujua ukweli huu, kwa sababu ukweli huu umepita uwezo wa akili yako kujua".
Huoni hizo habari za "ukweli huu umepita uwezo wa akili yako kuujua" ni kichaka cha kuficha uongo wowote ule?
Vitabu gani vinasema haya ? Nitajie vitabu vinne tu.Vitabu vya dini vinakuambia mababu na mabibi zako wote waliozaliwa kabla ya Yesu na Mtume, na hata waliozaliwa baada lakini hawakuwajua wageni hawa na dini zao kwa sababu ya umbali huko Africa watachomwa na moto wa milele na Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kwa kuwa hawakumjua huyo Mungu, kwa kuwa hawakupewa ufunuo wa vitabu hivyo vya dini kumjua huyo Mungu.
Unaamini hili nalo?
sikupingi mtaalamu 🦹🏿♂️I have meets with this guys,they are so cool and humble "THIS IS CREATURES OF SPECIAL PRINCIPLES...DO YOU WISH TO SEE? ARE YOU CLEAN ENOUGH?,DO YOU WANT TO POSSESS ONE?I HAVE MANY I CAN GIVE YOU A LITTLE ONE.
Hapo kwenye picha kasha tapeli mjinga mmoja buku tano [emoji23][emoji23][emoji23]Whatsapp mbona hata wasiojulikana wanaitumia kutafuta watu.
Hiyo hata huhitaji kuwa mchawi ili nikukatalie, unaweza kuwa wasiojulikana tu.
Huo uchawi wako utapata kipi huko Whatsapp ambacho huwezi kukipata hapa?
Maana isije kuwa unanitaka Whatsapp upate namba yangu, unitumie majambazi, halafu useme umenifanyia uchawi.
Wewe uchawi wako upo kwenye Whatsapp tu? JF haufanyi kazi?
Uchawi wa kutumia app maalum?
Kadakwa na roba ya mbao. Nahisi lilikiwa limepumzika lakini lijini likaona mwanakuyafind mwanakuyagetJini kibaka kakudaka.......
Sababu mfano wako haushabihiani na swali langu, unatunga mfano wa uongo ili update urahisi wa kujibu.Mimi nakupa mfano wangu, wewe unauacha mfano wangu unakuja na mwingine tofauti.
Kwa nini unaanza na swali la nani?
Unajuaje jibu linaendana na nani?
Huoni kwamba swali la nani, kuuliza kitu ambacho hatujalijua jibu lake, limejikita kwenye jibu unalolitaka wewe na halijajikita kutafuta jibu la kweli?
Kwa nini swali liwe "nani"?