We jamaa Mzushi tuNicheki whatsapp +255625750755 tumalize kazi.
Mbona rahisi sana hii kuliko kumrudisha msukule.
Niko kilingeni mda huu hio kazi naifanya na bado utasema ni kansa tu sio uchawiView attachment 1821733View attachment 1821733
Mna utani na taaluma za watu nyie
Lugha ina hukumu kijana. Hakuna lugha inakubali kiulizi cha swali "nini ?" katika jambo lenye mfumo na utaratibu maalumu.
Unajia nini inasimama kumaanisha nini ? Ushawahi kusoma somo la adabu za kuuliza maswali na namna ya kuuliza maswali ?
Ili uone ya kuwa swali lako ni la uongo. Tupe majibu kwa mujibu wa swali lako,kisha tuonyeshe uwezekano wa nini kufanya jambo hilo. Yaani nionyeshe hiyo nini ilivyoweza kufanya hivyo. Ukiweza kufanya hivyo naacha huu mjadala.
Onyesha nje ya nafsi na kisichokuwa na nafsi kutenda na kusanifu jambo. Tofauti yangu na yenu ni kuwa mimi naongelea uhalisia nyinyi mnaleta dhana na dhahania. Lazima muumie.
Thibitisha hili kwa kutoa mfano. Onyesha hilo kwa kuweka nani na nini,na nani iwe baada ya nini ? Hivi sijui kama huwa mnafikiria haya mambo,au mnajiandikia.
Nakupa kazi hii onyesha wapi Qur'aan inajipinga yenyewe kisha nikuulize maswali,ukijibu maswali yangu nakuwa mkana Mungu.
Hapo hap unayo yasema haya hata Qur'aan huijui. Nasubiri hizo Contradiiction unazo dai,na tuzijadili moja baada ya nyingine. Mwenzako alikimbia anaye jiita Kiranga,anaweka kisha hataki kuzijadili.
Unasikitisha sana,niliposema hili hamliwezi nilimaanisha.
Mfano wako hauonyeshi kwenye nini kuna nani,bali mfano wako umemili kwenye nini. Ndiyo maana umezunguka sana. Hata mimi naweza kuweka msingi wa swali katika nani mwanzi mwisho,ila naweza kuonyesha ujumla wa nani kuzalisha nini.
Nakupa mifano miwili,wa nani kuzalisha nini kwa hususia na nini kuzalisha nani kadhalika,ila swali langu ni ujumla wa nani ndani yake kuna nini,ndiyo maana nili hoji huko mwanzo mtuonyeshe tu hali wezekano au ishara tu ya nini kuweza kumiliko ufahamu na usanifu.
1. Humo ndani kuna nani ? (Nini kuna nani)
2. Kichwani mwako umeweka nini ? (Nani kuna nini)
Swali langu la msingi ni kuonyesha nini kuna nani yenye ufahamu na kuratibu mambo. Muwe mnaelewa hoja. Hili swali huwezi kujibu bali hata wakubwa zako hawawezi kujibu,mwenzako amelikikbia.
Kisicho halisi hakina maana mzee,maisha yetu yote tunaishi kuutafuta ukweli na ndiyo uhalisia huo.
Yasiyo na uhalisia yana faida gani ?
Nakupa kazi hii onyesha wapi Qur'aan inajipinga yenyewe kisha nikuulize maswali,ukijibu maswali yangu nakuwa mkana Mungu.
Hapo hap unayo yasema haya hata Qur'aan huijui. Nasubiri hizo Contradiiction unazo dai,na tuzijadili moja baada ya nyingine. Mwenzako alikimbia anaye jiita Kiranga,anaweka kisha hataki kuzijadili.
Nakupa kazi hii onyesha wapi Qur'aan inajipinga yenyewe kisha nikuulize maswali,ukijibu maswali yangu nakuwa mkana Mungu.
Hapo hap unayo yasema haya hata Qur'aan huijui. Nasubiri hizo Contradiiction unazo dai,na tuzijadili moja baada ya nyingine. Mwenzako alikimbia anaye jiita Kiranga,anaweka kisha hataki kuzijadili.
TeSasa huko dunia ya ngapi sijui si ndo wanatengeneza movies kama Game of Thrones?!? Unadhani mawazo yale wanatoa wapi kama hawaujui uchawi?!! Wazungu hao mnaowasifia nao wanga tu!!
Nimeshafika mpaka Gamboshi!Upo mjini unasema hakuna uchawi. Nenda usukumani huko shinyanga. Ukishafika kijijini sema hakuna uchawi na hakuna mtu wa kunifanyia kitu. Utakalopata uje utuhadithie hapa
Kiranga Anapenda Mada Za Kichawi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kiranga humuwezi bora ukae kimya
Ha ha. dah! Hii kalikuna rafiki yangu utotoni tukiwa shule aliona jini akawa makengeza hadi leo
Kusema Qur'aan inajipinga yenyewe ni uthibitisho wa kuwa Qur'aan huijui. Qur'aan haijipingi.una uthibitisho gan Quran siijui!? au kila mtu anaekwambia Quran si sahihi ni Quran haijui!? hii inathibitisha ni namna gani umekariri! umekaririshwa kila mkosoaji ni haijui Quran!
pole sana
Jibu swali nililo kuuliza.uhalisia unautafsiri vipi!?
Sasa hapo umekubali au umekataa?Hali ina tabia moja ya ajabu saba,huwa ina mili popote.
Wewe onyesha hilo kama uone nitakataa haki au kinyume chake.
Nasubiri uonyeshe.
Mantiki uwezo huo haina,nilisha kuonyesha hilo zaidi ya mara moja.Sasa hapo umekubali au umekataa?
Unakubali kutumia kipimo cha mantiki katika kuamua ukweli na uongo?
Bora na wewr umeona hili.swali halitakiwi kua "nani ameweka genetic code katika DNA" bali linatakiwa kua "imewezekanaje DNA" kua coded!? na imekua coded na nini?
swali la nani linakua sio valid maana linalenga katika kuitaja nafsi!
nini ni generalisation ambayo inajumlisha nani kifupi "nani" ni swali ambalo linatakiwa kuja baada ya "nini".
kortini hua wanatumia neno "speculating" kuashiria kua muulizaji anauliza swali linalopelekea jibu alilonalo! yaani swali linakudirect kabisa kwenye jibu la muulizaji! ndo maana swali la "nani" sio valid!
bisha tu, mana ndo kazi yako!
Unaelewa kwamba hata haya maandishi uliyotumia kuandika "mantiki uwezo huo haina" yametumia mantiki?Mantiki uwezo huo haina,nilisha kuonyesha hilo zaidi ya mara moja.
Weka uhalisia,ndiyo humaliza kila kitu.
Onyesha utofauti wa nilicho kionyesha mimi na ulichokifanya wewe katika mfano wako,zaidi ya kuweka uhusiano wa nini na nani tu.tumia akili yako vizuri hyo mifano haiendani na nini na nani!
mfano wa kwanza umehoji uwepo wa nabi kwenye nini pasi na kujua uwepo wa kitu husika ila umekipa nafsi moja kwa moja! je kama humo ndani kuna kitabu!?
Sasa kama unakubali hili,katika mfano huu wa pili unakataa lile la mfano wa kwanza,kwa kigezo cha nafsi hapa kuna tofauti gani ?mfano wako wa pili unauliza kichwani mwako umeweka nini hili ni swali ambalo linakuleta kwenye nnachokisema umehoji kichwani nimeweka nini nakujibu kichwani nna mawazo ya mtu! swali linalofata ni huyo mtu ni nani! na mawazo gani juu ya huyo mtu!
Bado hujaonyesha tofauti ya ulicho kiandika wewe na mfano nilio utoa,na bado hujajibu swali langu la kuonyesha uwezo wa "nini ?" kuratibu mambo na kusanifu na kuwa na malengo. Hili swali mnalikimbia nyote. Sababu hatulei ujinga,hili swali mpaka mlijibu.ukishindwa kunielewa hapa hutakuja kunielewa tena!
Tatizo hamjibu swali langu,la kuonyesha uwezo wa "nini ?" kuratibu na kusanifu mambo,mnakimbia hili swali.Bora na wewr umeona hili.
Nimemueleza mara kadhaa, analeta ubishi tu.
Ni kama vile anaanza na jibu lake, halafu anauliza swali linalolenga hilo jibu.