Doctor Ngariba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 588
- 951
Wewe wakijua kiswahili shukran.......Naona kama huyu mpinga uwepo wa visivyoonekana kwa macho yake ametepeta.Unajua kilugha tamko "nini" ni kwa vile ambavyo havina akili yaani hayawani. Sasa kwanini iwe nini ? Na nini inaweza kufanya nini ? Yaani unaijua mipaka ya tamko "nini ?" ? Usitake kulazimisha Uongo uwe ukweli,jambo ambalo ni Muhali.
Kwa hiyo ndugu yangu huamini kama Mungu yupo.thibitisha mungu yupo
Thibitisha mungu yupoKwa hiyo ndugu yangu huamini kama Mungu yupo.
Niseme tu ndugu yangu unapotea na unaelekea pabaya sana.
Yaani izi akili alizokupa mungu leo unamkana hadharani kanisa.
Mkuu muogope Mungu usiishi ivyo.
Mi nakuusia muamini Mungu, yeye ndiye alieumba ulimwengu, wanyama kila kitu unachokiona na usichokiona.
Unajua na ujanja wako wote ata icho chakula unachokula wewe chanzo chake ni yeye.
Wakati upo tumboni Mwa Mama yako Mungu alikulinda na kukufanya mpk ukafikia hivi ulivyo sasa.
Yeye ndiye anae fisha na kufufua.
Yeye ndiye Mungu asie na mwanzo wala mwisho.
Mwisho kabisa nakukumbusha tu Kiama kipo karibuni KWANI ishara zake zimeonekana nyingi tunasubiri zile kunwa kubwa kama jua kutokezea Magharibi na hapo kutakuwa hakuna toba.ivyo jitahidi sana umuamini Mungu na kufata yale aliyo amrisha na kuepukana na aliyo kataza USIISHI KAMA MNYAMA.
MALI, NGUVU, NAKADHALIKA UTAZIACHA HIVYO KUWA MWANAUME WA UKWELI KW A MUNGU KWANI ANAKUPENDA SANA.
Ni mtihani huo tumepewa ndugu yangu siku unathibitisha ndiyo siku ya kifo chako icho kwa maana muda wako wa mtihani umekwisha hivyo unapokea majibu.Thibitisha mungu yupo
Kwa hiyo hujui kama yupo?Ni mtihani huo tumepewa ndugu yangu siku unathibitisha ndiyo siku ya kifo chako icho kwa maana muda wako wa mtihani umekwisha hivyo unapokea majibu.
Mbona ishara zake zipo wazi tu mkuu unakwama wapi.
Kupitia kwa manabii wake watukufu aliowaleta kuja kufikisha ujumbe wake.Kwa hiyo hujui kama yupo?
We umejuaje ukithibitisha unakufa ilihali uko hai?
Tito?Kupitia kwa manabii wake watukufu aliowaleta kuja kufikisha ujumbe wake.
Hebu tupe uzi mkuu ilikuwaje kuwaje na alikuwa anafananje alikuambia nini na je hakukutokea tena ? Hebu tupe uzi plzKama vitabu vya dini vimesadiki wew Ni Nani usiamini uchawi au majini hayapo
Tatizo binadamu tuliopatikana kwa tone la maniii huwa tunashida Sana
Kuwa uyaone pata shida zikukabe mpaka uone Mungu Yuko mbali nawe ndio utajua uchawi uko au hauko ,majini yako au hayako
Kwa Mara ya kwanza namuona jini ilikuwa Moshi natoka club usiku laliga
Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
Tunahitaj uziKuhakikisha huwezi labda na wewe upate demu mwenye majini na yakupende kama mimi ilivyonitokea nikatunukiwa mabikra wa kijini
Sawa kabisa...Naomba nikusaidie kidogo mto mada. Hapo kwenye 'lete Prove' inatumiaka zaidi 'Lete Proof'!!
Sio kila kitu ambacho hatuwezi kukihisi,kukionja,kukigusa,kukinusa,kukisikia na kukuiona maana yake hakipo tutakua tunatumia nyenzo dhaifu sana kupima mambo sababu viungo vinavyotumia kufanya mambo hayo ni dhaifu piaKuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nini. Nani ambaye anaweza kutupa proof uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?
Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.
Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje kama yapo.
Majini na uchawi ni dhana za kufikilika
Eti mchawi anatembea angani kwenye ungo.. Uongo tu.. Waambie hayo majini yawape pesa.. Wanaojiita waganga au wenye majini maskini km nini.
Tunaweza kuuprove upepo..
Hayo majini yenu mbn hamuwezi.
Hata hawa wanaopandisha majini/mashetani hakuna chochote wanaumwa akili au km wanawake wanaumwa hysteria.
Lete Proof hapa.
Hakuna cha majini wala uchawi
Eti alikuwa anatoka Club ndo akaona jini mi nashauri jamaa angekumbuka siku hiyo alikunywa pombe aina gani.Hebu tupe uzi mkuu ilikuwaje kuwaje na alikuwa anafananje alikuambia nini na je hakukutokea tena ? Hebu tupe uzi plz
Basi Mungu anatuviruga sana anasema mwisho wa siku tutaenda juu mbiguni sasa huku duniani katuleta ili iweje? Kwa waislam kasema waoe zaidi mke mmoja huku katoriki kasema tuoe mmoja na mapdre na masister wasioe huoni anatavuruga mwenyeweNi mtihani huo tumepewa ndugu yangu siku unathibitisha ndiyo siku ya kifo chako icho kwa maana muda wako wa mtihani umekwisha hivyo unapokea majibu.
Mbona ishara zake zipo wazi tu mkuu unakwama wapi.
Kwa hiyo wapagani wana haki kumbe?Basi Mungu anatuviruga sana anasema mwisho wa siku tutaenda juu mbiguni sasa huku duniani katuleta ili iweje? Kwa waislam kasema waoe zaidi mke mmoja huku katoriki kasema tuoe mmoja na mapdre na masister wasioe huoni anatavuruga mwenyewe
Kama uchawi na majini havipo hivyo hivyo shetani na mungu awaweza kuwa wanaweza kuwa character wa kubuni katika similizi ya vinavyoitwa vitabu vitakatifu.Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nini. Nani ambaye anaweza kutupa proof uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?
Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.
Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje kama yapo.
Majini na uchawi ni dhana za kufikilika
Eti mchawi anatembea angani kwenye ungo.. Uongo tu.. Waambie hayo majini yawape pesa.. Wanaojiita waganga au wenye majini maskini km nini.
Tunaweza kuuprove upepo..
Hayo majini yenu mbn hamuwezi.
Hata hawa wanaopandisha majini/mashetani hakuna chochote wanaumwa akili au km wanawake wanaumwa hysteria.
Lete Proof hapa.
Hakuna cha majini wala uchawi
Prove au Proof?Huna prove