Doctor Ngariba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 588
- 951
Wewe wakijua kiswahili shukran.......Naona kama huyu mpinga uwepo wa visivyoonekana kwa macho yake ametepeta.Unajua kilugha tamko "nini" ni kwa vile ambavyo havina akili yaani hayawani. Sasa kwanini iwe nini ? Na nini inaweza kufanya nini ? Yaani unaijua mipaka ya tamko "nini ?" ? Usitake kulazimisha Uongo uwe ukweli,jambo ambalo ni Muhali.