digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Shame on ,next time try to use the language that your competent,don't say/ write "I have meets,but say,I have met, also this is creatures was supposed to be "these are creatures"I have meets with this guys,they are so cool and humble "THIS IS CREATURES OF SPECIAL PRINCIPLES...DO YOU WISH TO SEE? ARE YOU CLEAN ENOUGH?,DO YOU WANT TO POSSESS ONE?I HAVE MANY I CAN GIVE YOU A LITTLE ONE.
Hapana, nimeona nguvu za giza kwa macho yangu mawili.Hizo ni mental /brain disorders tu!
Kwa Tanzania, matatizo ya akili ni mpaka mtu aokote makopo.
Mtu mwenye auditory hallucinations watu watasema amepandwa na mashetani!
Mwenye tactile hallucinations watadai wachawi wanamtekenya!
Tatizo ni ujinga. Mambo tusiyoyajua au tusiyoyaelewa, tunayabatiza uchawi!
Prove ni verb,proof ni nomino,kwahiyo unapoandika lete prove unakosea,unapaswa uandike lete proof,by the way mbona kiswahili chetu kinamisamiati ya kutosha kwanini usikitumie kuliko kujiaibisha?Hakuna prove hapa
Mkuu Yaani unasaidiwa harafu unatukana watu? Una miaka mingapi humu jf? Mbona huna staha kijana,?Fa.. La wewe... Huwezi kukoselewa na mzungu cha msingi umeelewa. K wewe
π π πMajini yapo Kama unabisha sema nipandishe
Kumbe! ππΎββοΈπ¬π¬π¬Mtoto wangu anamiaka 4 lakini hatufani kabsa.. Nipime DNA kimyakimya au Nimuulize? wife
Wadau tujipe pole kwa korona, hatari sana..nimeona clip kuna madaktari wamebadilika rangi na kuwa weusi bada ya Kupata korona. checkini hiyo link, tujiahidi kufata masharti. Back to point nna ndoa ya miaka 3, na tuna mtoto 1, But mtoto wangu na mimi hatufanani hata kidogo, yaani hata masikio...www.jamiiforums.com
Unataka kujua ya majini na ilihali ndoa yako ina shida, mtoto wako hajafanana na wewe umeliws wewe
Mbona unauliza swali ambalo nimeshalijibu ?Hicho kisaidizi cha akili utakitumia bila kutumia akili?
Nasisitiza ya kuwa uwe unasoma na kuelewa ninacho kiandika sababu kimejibu swali lako. Kufanya hivyo kutakuwa kuna kusaidia wewe kuto poteza muda.Huko kuhoji utahoji bila kutumia akili?
Unarudia swali. Rejea jibu nililo kujibu.Nikikwambia mimi ndiye Mungu, na kanusho lako lolote halitafaa kwa sababu ukweli huo, kwamba mimi ndiye Mungu, umepita uwezo wa akili yako kuelewa, utakanushaje hilo?
Hili nimekujibu.Chochote utakachokanusha kimepitia akili yako, na mimi nishakwambia akili yako haiwezi kuelewa ukweli huu kwamba mimi ndiye Mungu.
Unarudia swali.Utakanushaje?
Prove ni verb,proof ni nomino,kwahiyo unapoandika lete prove unakosea,unapaswa uandike lete proof,by the way mbona kiswahili chetu kinamisamiati ya kutosha kwanini usikitumie kuliko kujiaibisha?
Labda kuna masharti ulikosea.Baadhi wanasema kuna majini wazuri na majini wabaya, wazuri hua wanasali na kumuomba mungu na wabaya hadi ma atheist wapo
Wapo wanaodai kua kuna elimu juu ya utengenezaji wa hivyo viumbe.
Kuna siku nilisikia redioni mkufunzi akitoa somo namna ya kuita jini kwa kutamka maneno fulani hivi ya kiarabu.
Yale maneno niliyanukuu vyema nikawa naya practice maana mdau alisema unatakiwa uende njia panda usiku wa maneno kisha utamke hayo maneno
Nikiwa na tumaini kua leo ndio siku ambayo najithibitishia kua majini yapo, nikafika njia panda nikaanza kuyatamka hayo maneno kwa kuyarudia rudia zaidi ya mara 100 lakini hakukua na respond yeyote kutoka third party system
Wakati nikiendelea kutamka yale maneno nilishtukizwa na roba flani matata upande wa nyuma, mwanzo nilidhani ni ujio wa jini kumbe ni kibaka wa mtaa na alikua anapiga patrol
Aisee nilimlaumu sana yule jamaa wa redioni
"Nguvu za giza" ni nini?You are good at debates!
Lakini ukitaka kujuzwa ukweli lazima ulegeze shingo kidogo!
Ukigangamara na midahalo utaishia kwenye ubishi tu.
Na wewe najua huwa hushindwi.
Kwa tuliokumbana na nguvu za giza tunatizama tu tunasema Hiiiiiiiii....
Asante wasiokuelewa hapa hawatakaa wakueleweHuu ni ujinga, unakuja JamiiForums uthibitishiwe uwepo wa UCHAWI???... Kitu chochote kina njia zake za uthibitisho,,,, mfano UMEME hauonekani kwa MACHO ila kuna vitu vinaashiria uwepo wa UMEME,, sasa kama unataka kuona UCHAWI tafuta panapopatikana UCHAWI wakuonyeshe...
Nikikwambia kwamba mimi ni Mungu, ila wewe huwezi kujua hilo, kwa sababu ukweli huo umepita uwezo wa akili yako kujua, utabishaje?Mbona unauliza swali ambalo nimeshalijibu ?
Akili lazima iwepo,kuna kaida ya kiusuli inasema hivi "Tunatumia akili kuifata na kuuelewa ufunuo na si ufunuo ufate akili".
Nasisitiza ya kuwa uwe unasoma na kuelewa ninacho kiandika sababu kimejibu swali lako. Kufanya hivyo kutakuwa kuna kusaidia wewe kuto poteza muda.
Unarudia swali. Rejea jibu nililo kujibu.
Hili nimekujibu.
Inaonekana husomi ninacho kiandika.
Unarudia swali.
Umeziona wapi? Umezionaje? Na ulijuaje ni nguvu za giza na si ugonjwa wa akili?Hapana, nimeona nguvu za giza kwa macho yangu mawili.
Mwanzoni nilikuwa najidai mimi ni msomi na mbishi juu ya haya mambo lakini nilipoyashuhudia ubishi ukanitoka.
Wala sio ugonjwa wa akili.
Vitabu vya dini vinakuambia mababu na mabibi zako wote waliozaliwa kabla ya Yesu na Mtume, na hata waliozaliwa baada lakini hawakuwajua wageni hawa na dini zao kwa sababu ya umbali huko Africa watachomwa na moto wa milele na Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kwa kuwa hawakumjua huyo Mungu, kwa kuwa hawakupewa ufunuo wa vitabu hivyo vya dini kumjua huyo Mungu.Hata kama sijauona live huo uchawi ama hao wachawi, ila tangu nizaliwe hadi nilipofikia sahi, najua upo, sio story tu. Evidence zipo kwenye vitabu vya dini, na kupitia watu wenye kupitia experiences za kichawi. So, kama haujawahi uona/waona, usidhanie havipo 'chini ya maji'.
ππ€·πΎββοΈπ€·πΎββοΈπ€·πΎββοΈVitabu vya dini vinakuambia mababu na mabibi zako wote waliozaliwa kabla ya Yesu na Mtume, na hata waliozaliwa baada lakini hawakuwajua wageni hawa na dini zao kwa sababu ya umbali huko Africa watachomwa na moto wa milele na Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kwa kuwa hawakumjua huyo Mungu, kwa kuwa hawakupewa ufunuo wa vitabu hivyo vya dini kumjua huyo Mungu.
Unaamini hili nalo?