Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini

Mkuu kama unajiamini we njoo nikupe namba ya mtaalam wangu.

Mpigie simu umtukane uwezavyo, mchimbe mikwara uwezavyo.

Kitakachokukuta mi sitahusika.

Nilikuwa nae.leo mchana tunaweka mambo flani sawa.

Sina mengi ya kukwambia, karibu mwanza

 
Nikimpigia simu mtu mbona anaweza kunitumia majambazi kwa kutumia namba ya simu.

Wewe mwambie mtaalamu wako amtumie kibomu Kiranga wa JF sasa hivi.

Tena kile cha kukata mikono, Kiranga ashindwe ku type hapa JF, tujue uchawi upo.
 
Nikimpigia simu mtu mbona anaweza kunitumia majambazi kwa kutumia namba ya simu.

Wewe mwambie mtaalamu wako amtumie kibomu Kiranga wa JF sasa hivi.

Tena kile cha kukata mikono, Kiranga ashindwe ku type hapa JF, tujue uchawi upo.
Nicheki whatsapp +255625750755 tumalize kazi.

Mbona rahisi sana hii kuliko kumrudisha msukule.

Niko kilingeni mda huu hio kazi naifanya na bado utasema ni kansa tu sio uchawi

Mna utani na taaluma za watu nyie
 
Bwana Kiranga.....

Uchawi upo na wachawi wapo.

Nimewashuhudia kwa macho yangu wanaingia ndani ya nyumba usiku saa nane!

Ukiwakurupua wanakimbia wanapotelea ukutani.

Hiyo nayo utanambia nimerukwa na akili?
Kama sio bangi basi njaa, au uchovu au usingizi wa muda mrefu
 
Whatsapp mbona hata wasiojulikana wanaitumia kutafuta watu.

Hiyo hata huhitaji kuwa mchawi ili nikukatalie, unaweza kuwa wasiojulikana tu.

Huo uchawi wako utapata kipi huko Whatsapp ambacho huwezi kukipata hapa?

Maana isije kuwa unanitaka Whatsapp upate namba yangu, unitumie majambazi, halafu useme umenifanyia uchawi.

Wewe uchawi wako upo kwenye Whatsapp tu? JF haufanyi kazi?

Uchawi wa kutumia app maalum?
 
Hata popo bawa ni jini pia, ukipitiwa nalo unaambiwa mpaka utangaze ndio litakuacha
 
Unaweza kuwa sahihi kwa mtazamo wako ila tukiweka mtazamo wako katika mizani hoja zako zinakosa mashiko.

Kuna vitu viwili vya msingi:
Kuwa na uwezo wa kukiona kitu na kitu kuwa na sifa ya kuonekana.

Si kila kitu usicho kiona au kisicho na sifa ya kuonekana hakipo la! Kuna vitu vingi hatuvioni au vyenyewe havina sifa ya kuonekana lakini vipo.

Mfano: Protin, vitamins, gravitational force hivi vyote sayansi inathibitisha kuwa vipo hata wewe mwenyewe unabali kuwa vitu hivi vipo lakini havionekani, hujui rangi wala shep ya vitu hivyo ila ukiulizwa utasema vipo.

Tafiti za kisayansi zimethibitisha uwepo wa baadhi ya vitu kwa nadharia ya matokeo.
Nadharia hii hutumika kuthibitisha uwepo wa kitu au kutokuwepo kwake Kwa kutazama matokeo.
 
una hoja nzito sema tu wengi tunapenda maelezo rahisi. kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kuamin katika uchawi na kutoheshim sayansi! watu wengi ukomo wao wa uelewa na ufikiri unapoishia huingia phase ya kuamin uchawi. hivyo uchawi ni pale sayansi inapoishia. na kila mtu ana pa kuishia pake!
 
Una kichwa kigumu sana,inakuwaje una rudia maswali niliyo kujibu ? Jibu hili swali.

Kingine,uwe una jibu maswali ninayo kuuliza.
 
Vitabu gani vinasema haya ? Nitajie vitabu vinne tu.
 
I have meets with this guys,they are so cool and humble "THIS IS CREATURES OF SPECIAL PRINCIPLES...DO YOU WISH TO SEE? ARE YOU CLEAN ENOUGH?,DO YOU WANT TO POSSESS ONE?I HAVE MANY I CAN GIVE YOU A LITTLE ONE.
sikupingi mtaalamu πŸ¦ΉπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Hapo kwenye picha kasha tapeli mjinga mmoja buku tano [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sababu mfano wako haushabihiani na swali langu, unatunga mfano wa uongo ili update urahisi wa kujibu.

Swali lipo pale pale nani ka code DNA zetu? Kama hauna jibu usipotoshe watu humu wakati mwenyewe huna majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…