Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #21
Hii itakuwa mbinu nzuri sana, tupiamo jerojero tuone wanga watazibebajeUlikuwa unaweka noti au coins?
Kibubu changu cha cois na karibu kinajaa, toka December 2021.
Au bora ujitengenezee mwenyeweFormula ya kibubu ipo hivi Mkuu
unaenda kwa Fundi anakitengeneza upo hapo hapo unaondoka nacho, vile ambavyo unakuta kishatengenezwa Tayari ni Ugonjwa wa Moyo Mkuu, vibubu vingi ni autopilot
kuna Wazee miyeyusho ππNimevunja kibubu muda huu, kibubu nilichodunduliza 20% ya kila nilicho kipata kwa miezi nane (nilianza pasaka) nimekuta shilingi 4'500/ kweli? Dah
Aliyekuuzia huyo ndiyo mwanga wako.Nimevunja kibubu muda huu, kibubu nilichodunduliza 20% ya kila nilicho kipata kwa miezi nane (nilianza pasaka) nimekuta shilingi 4'500/ kweli? Dah
π€£π€£π€£chaiNimevunja kibubu muda huu, kibubu nilichodunduliza 20% ya kila nilicho kipata kwa miezi nane (nilianza pasaka) nimekuta shilingi 4'500/ kweli? Dah
Hahahah pole brotherNimevunja kibubu muda huu, kibubu nilichodunduliza 20% ya kila nilicho kipata kwa miezi nane (nilianza pasaka) nimekuta shilingi 4'500/ kweli? Dah
Kaka, nilivyo bahili nichepuke nipate hasara?Mchepuko?
Ili nijiridhishe kama ni uchawi kweli
Asante kaka mkubwaHahahah pole brother
Hahahah pole brotherNimevunja kibubu muda huu, kibubu nilichodunduliza 20% ya kila nilicho kipata kwa miezi nane (nilianza pasaka) nimekuta shilingi 4'500/ kweli? Dah
Christmas na Mwaka mpya umeshaula vibaya mkuu... Polee sana unawaza vibunda vyako tuNimevunja kibubu muda huu, kibubu nilichodunduliza 20% ya kila nilicho kipata kwa miezi nane (nilianza pasaka) nimekuta shilingi 4'500/ kweli? Dah
Ha ha ha!Kaka 20% ya ninachopata, manoti mengi tu, nikajua ninaweza toka na Corolla 110 manual
OK . Wee ita chai mimi naita kibubu. Nadhani umeshawahi kusikia piggy bank. Huku Uswahilini tunachonga za mbao, tunaita kibubu.π€£π€£π€£chai
Au kibubu kilitoboka
Khaaa πππFormula ya kibubu ipo hivi Mkuu
unaenda kwa Fundi anakitengeneza upo hapo hapo unaondoka nacho, vile ambavyo unakuta kishatengenezwa Tayari ni Ugonjwa wa Moyo Mkuu, vibubu vingi ni autopilot
Nilikiwekea umadhubuti nilikigandisha na gundi ya mbao kwenye stuli hivyo sikuwa nakinyanyua kukipima upepoJicho kibubu ni Cha pale Mwenge vinyago?ππ
Mimi niliamua kutoa coins kwenye mzunguko wangu ninadumu langu la Lita 15 la kisima water nimelipiga tape lote natupia coins humo nikirudi kazini Kila siku.
Stori za chuma ulete kwa njia za vibubu ni nyingi.
Ila Bujibuji Simba Nyamaume ulikuwa hauoni utofauti Hadi kukuta hiyo 4,500?
Nilishawahi lazwa nje +kukombewa pesa zote. Sitakisahau kile kijijiOK . Wee ita chai mimi naita kibubu. Nadhani umeshawahi kusikia piggy bank. Huku Uswahilini tunachonga za mbao, tunaita kibubu.
Huyu mzee na Mshana Jr wao ndio magwiji hapa jukwaani kwa urozi, leo kapigwa na magwiji kama ngomakibubu nacho mwiguru kakiwekea makato.