Uchawi gani umetumika kuiba hela zangu kwenye kibubu?

Hapo Kuna VAT imekatwa, kuna TOZO n.k usishangae. Ni kawaida siku hizi hata ukiweka mfukoni tu pesa inakatwa.
 
Kibubu ulichonga au ulinunua vile unakuta kishatengenezwa tayar maana vile vilivotengeneza tayari wanawekaga chuma ulete hata me yashawahi nikuta
Vingine vinauzwa pale getini Mlimani City, nilikuwa na rafiki yangu yuko na mpenzi wake mzungu, mzungu akauliza what is this? Mpenzi wake akajibu grand mother's bank
 
Lakini gest SI tulikubaliana ni AIR BNB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ