Uchawi na fitna ndio zilizowamaliza AS Vita

Wana YANGA mnashindana na mipango ya Mungu kwani ile dakika ya 82 As vita si walikuwa wanatushambulia lkn golikipa alikuwa imara, unajua AS vita alijua ile game anamaliza kwa sare sababu alijua JS soura kashapigwa kule CAIRO
 
wewe kweli kama kweli umeangalia mpira huwezi kuamini huwo upuuzi. wewe unaona kabisa sub zimefanyika na zimabadili mchezo then unaleta porojo
 
Wana YANGA mnashindana na mipango ya Mungu kwani ile dakika ya 82 As vita si walikuwa wanatushambulia lkn golikipa alikuwa imara, unajua AS vita alijua ile game anamaliza kwa sare sababu alijua JS soura kashapigwa kule CAIRO
Hata sare as vita alikua anaaga..kama ulikuaunaangalia live standing saoura alikua namba mbili pale...wanaangalia h2h na sio magoli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana YANGA mnashindana na mipango ya Mungu kwani ile dakika ya 82 As vita si walikuwa wanatushambulia lkn golikipa alikuwa imara, unajua AS vita alijua ile game anamaliza kwa sare sababu alijua JS soura kashapigwa kule CAIRO
Sare ilikuwa hapiti. Alitakiwa kushinda nae. Hawaangalii tofauti ya magoli pale kama mmefungana point. Wanaangalia mlipokutana nyie mliofungana point nani alichukua point nyingi. Ktk kindi hilo walikutana mara 2 na soura, vita kapata point moja soura kapata 4.
Droo walikuwa hawapiti hata soura angefungwa mia.
 
Ndugu yangu tuipongeze Simba kwa ushindi...majibishano hapa hayana tija...inawezekana mimi sijaongea point na wewe inawezekana una point...kila la kheri...
 
Majibizano ni sehemu ya ushabiki na ndio maana pia huu uzi umeletwa. Sidhani kama mleta uzi ameuleta akitegemea point za mlengo mmoja.
Simbaaaaaaaaaa oyeeeeeeeee
 
H
Nimeumia sana aisee..hivi binadamu unaweza je kumfanyia binadamu mwenzio huu ukatili?View attachment 1047470

Sent using Jamii Forums mobile app
AS vita ni waongo walijua ya kuwa watapoteza sasa wanafanya ivyo ili wapate ushindi wa mezani CAF ibatilishe matokeo kwa madai vyumba vilipuliziwa dawa lkn njama yao wame fail sababu sampuli ya hewa ktk vyumba vya kubadilishia nguo vilichukuliwa
 
asante kwa kunikumbusha kumbe kweli vita lilipoteza na soura
 
H

AS vita ni waongo walijua ya kuwa watapoteza sasa wanafanya ivyo ili wapate ushindi wa mezani CAF ibatilishe matokeo kwa madai vyumba vilipuliziwa dawa lkn njama yao wame fail sababu sampuli ya hewa ktk vyumba vya kubadilishia nguo vilichukuliwa
Achana naye huyo.
 
mwehu huyo
Mpuuzi kweli.

Jana bahati nzuri niliingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na kulikuwa na hewa nzuri tu ila vyooni kulipuliziw zile dawa ya kusafisha vyoo.

Sasa sijui kama walivyoingia na kusikia harufu ile wakajua wamepuliziwa dawa basi ni wahuni na hawajui lolote.

Aliyewaambia kubeba mask ni mjinga kuliko waliovaa.
 
Wana YANGA mnashindana na mipango ya Mungu kwani ile dakika ya 82 As vita si walikuwa wanatushambulia lkn golikipa alikuwa imara, unajua AS vita alijua ile game anamaliza kwa sare sababu alijua JS soura kashapigwa kule CAIRO
Sare ilikuwa haiwasaidii. Wangelingana na JS kwa pointi, lakini matokeo yao ya jumla, JS alipata pointi nne kutoka kwa AS, wakati yeye AS alipata pointi 1 kutoka kwa JS.
 
Kweli naamini Tanzania tunaongoza kwa uchawi. Mleta mada hongera kwa uchawi
 
Bilashaka hiyo sumu ilipulizwa Samora Iringa pia!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…