Uchawi na fitna ndio zilizowamaliza AS Vita

Vita wamefungwa na vitu vitatu

1.ubora wa Simba wakiwa nyumbani na mashabiki wake
2.Zahera kawatoa mchezoni kawajaza sumu Kila kitu wakawa wanaona wanafanyiwa uchawi...kipindi Cha pili hawajaingia changing room wakawa koridoni,wakakosa utimamu wamwili wakawa na hofu kuwa washarogwa
3.Matokeo ya As Vita Yale ya sare yalikua mabaya kwao kwani CAF sikuhizi nao wanaangalia Head to Head...Kama uliona kuanzia dkk ya 70 As Vita timu ilikatika mbele wapo wa 5 Kati kupo tupu nyuma wa 5 na sub za Simba zilikua za kiufundi Sana maana anaingia Niyonzima ni kiungo,Rashidi juma kiungo mshambuliaji,Dilunga kiungo waliotoka kotei na mzamiru ambao kwa Jana walikua viungo wakabaji kwaio mechi inaelekea mwisho Simba hatuna kiungo mkabaji halisi,As Vita kocha alikosea kumtoa makusu maana nae alitakiwa afunguke Kama simba alivyofunguka walitakiwa watoe kiungo mkabaji au hata beki aingie forward kusaidiana na wakina makusu....ila rekodi ya Simba pale kwa mkapa inatisha Sanaaaaaa "Uwanja wa Taifa kwenye Klabu bingwa Africa ni kabuli la wazi" by Haji S Manara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira bana!
AS Vita alimfunga Simba bao 5 kwao, Wachezaji, Mashabiki nadhani walifurahi sana, wakawadhihaki Simba.....

Jana wao wakapigwa Kamoja tu, yani kamoja tu, wameumia zaidi hata ya Mara 100 ya Simba walivyoumia kwa kufungwa Goli 5.

Mpira unahitaji Heshima.
 
Vipi wewe ndio msemaji wao , hivyo vyumba Maofisa wa CAF hawavikagui ila wewe ndio ulivikagua? unajua Simba kule kwao walikutana na Matatizo gani au unajisemea tu? Shughulika na matokeo ya Lipuli achana na Simba.Mbona Kocha wenu Zahera alikuwepo kwanini hakuwasaidia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Tui
Labda Zahera anataka kutufanyia figusi timu ya Simba anatutakia nini huyu jamani mpira ni Burudani siyo Vita ya Mutu ya Kongo.
 
Reactions: Tui
hongera kwa bonge la uzi hater cjui pilipili usizozila zinakuwashaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
simba waondolewe wamepuliza hewa ya sumu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo
 
kwann usiwashauri tu wazitume huko caf ili uridhike?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi ni mzalendo...tehtehtehte...Ila Ndugu yangu...jambo hili siyo zuri...picha hizo za wachezaji wa Vita (kama ni za kweli) zikisambaa mitandaoni na hata kuwafikia CAF au FIFA yaani wachezaji hao wakionekana wamevaa masks wakati wa halftime kwa maelezo kuwa wanajikinga na hewa ya sumu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, nakuthibitishia kuwa this will send shock waves kwenye jamii ya soka duniani.....
 
Stupidest post in ten years

Ficha upumbavu wako
 
Nkana,soura,al ahly na as vita,hawa wote kipindi cha pili kucheza tofauti na kipindi cha kwanza,hizi tuhuma caf waziangalie zinaweza kuwa na ukweli
 
Yan hata mikia wenyewe waangalie rekodi zao jinsi wanavyoshinda pale taifa,mechi zote kipindi cha pili wapinzani wao wanabadilika kiuchezaji na kuwa kua km mazombi,eti wanamsifia niyonzima,wakati niyonzima anaingia wale vita sumu ishawakole mwilini!
Wewe jamaa unajua sana..hakika utafika mbali unauwezo wa hali ya juu mnoo

Achana na mikia hawa waliopofushwa na mahaba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyura wamekosa pakushika sasa wanatafuta sababu ambazo hazipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…