Uchawi na fitna ndio zilizowamaliza AS Vita

Huyu mleta mada anaelewa ila naona tu anajitoa ufahamu. Dkk kuanzia ya sabini tulishambuliana kwa zamu japo mashambulizi ya simba ndio yalitikisa zaidi maana tulikosa magoli ya wazi karibu mawili na kipa tuu kwa kweli wanae. Aliwasaidia sana kipa kusave.

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
kingine ni uzalendo tunakosa, mi nikiangaliaga mech za wamisri yani ni non stop kelele za mashabiki na hakuna mashabiki wa timu pinzani na ka wanakuwepo labda kidogo sana ambao hufunikwa na wengi wa timu wenyi, hivi pale kongo nani walitushangilia? au pale Algeria au pale Misri? watanzania tunajisahau sana tena sana
 
Hapahapa robo kunatosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa Uthibitisho mkuu

Vyura acheni wivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan hata mikia wenyewe waangalie rekodi zao jinsi wanavyoshinda pale taifa,mechi zote kipindi cha pili wapinzani wao wanabadilika kiuchezaji na kuwa kua km mazombi,eti wanamsifia niyonzima,wakati niyonzima anaingia wale vita sumu ishawakole mwilini!
Mbona hamuhitaji yanga,afrika lion,azam,stand

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ni sawa na wale wanaoamini kila anayevaa kanzu na barghashia au hijab ni muislam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza ni muongo mana hao vita hata vyumbani hawakuingia, hapo ni kolidoni,
Pili vita hawakuchoka ila walizidiwa mbinu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikumbushe Mkuu,Yanga walivaa mask gani Kati ya hizo mbili,nakumbuka nae alipokea kipigo kwenye uwanja huo huo siku si mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…