Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Huyu mleta mada anaelewa ila naona tu anajitoa ufahamu. Dkk kuanzia ya sabini tulishambuliana kwa zamu japo mashambulizi ya simba ndio yalitikisa zaidi maana tulikosa magoli ya wazi karibu mawili na kipa tuu kwa kweli wanae. Aliwasaidia sana kipa kusave.mkuu kitu nilichogundua baadhi ya watu wanapiga kelele ila hawaelewi falsafa za kocha, ha yawezekana zile sub hakuona zilikuwa na impact gani.ila mtu angelijua asingelisema yote haya, watu mbele waliingizwa watu ambao walifanya kazi kwa upande wa vita kuwa ngumu maana ni watu ambao wanakasi saa zote mtu ka Rashidi. Dillunga. Niyonzima, sasa unategemea nini kama watu wanamiliki mpira tena mashambulizi yanaongezeka kasi zaidi ya awali?
kiufupi mkufunzi alijua muda umekwenda na ile sare isingemsaidia ndo maana akafanya kuongeza viungo washambuliaji ambao waliongeza kasi ya mchezo na kukavuruga mipango yote ya vita na wakashindwa kwenda na ile kasi wakawa wanajitahidi tuu japo kupata sare, na akili zikawa zimeanza kuridhika na sare kitu ambacho hakitakiwi sikuzote unapigana kushambulia ili kupunguza kasi ya kushambuliwa, ila ukipunguza ushambulizi inamaanisha unakaribisha moto nyumbani.
Yotekwa yote Zahera aliwaondoa mchezoni baadaya ya kuwapa fufunu za hujuma kitu ambacho si kweli na kulitusaidia sana kitendo cha kukaa pale nje kuliwapoteza sana. na wakati mwingine wajifunze.
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app