[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona unakimbia mkuu mm nataka niende huko napasikiasikia tu kuwa pako Moto ndy maana nikaomba uzoefu wakoSitaki hata kupasikia[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Nataka nikachimbe kujua zaidi why ushiriakiano, misingi yake, coehesion yao kwa ujumla si jambo la kawaida kwa kweli. Na je kuna masalio ya kijiji kilichozaliwa kutoka katika vijiji vya ujamaa? Kupitia picha nimepata kitu cha kwenda kufanya hasa cha utafiti na aina ya mazoa na geografiaGuest ziko makanya bondeni
Hii ajali kuihusisha na Ushirikina ni ucjachefu wa Maarifa tu.Hii ndio video husika ya tukio zima. Dereva kama angepatikana angetupa insights za nini kilitokea dakika zile za mwisho. Je, alienda chobingo? Je, ajali ilimtaka yeye? Je, dereva naye yuko fit?
View attachment 1828123
Land cruiser ya kawaida sio Stout hiyo.Halafu tena gari yenyewe ni Toyota Stout ya mwaka 1986, ambazo zimebaki Kilimanjaro tu. Miaka ya nyuma niliitafuta sana mpaka nikatoa Tangazo hapa bila mafanikio yoyote.
Uchawi hauwezi kupotea. Ila kujifunza uchawi ni jambo baya sana.Uchawi unapotea, Mshana fungua chuo cha kufundisha uchawi
Kilenga [emoji3]uchawi upo zaidi ugweno,usangi na lomwe..
muulize rais wa awamu ya 2.
nadhani hata kwenye kitabu chake hakusalimia na hataki kukumbuka!
aliporudi pwani akatafuta wataalam waliobobea akawatuma kule wakasafishe vijiji vya kishirikina!
ilitokea kasheshe kubwa sana wakati huo ikawa ndio habari ya mjini kipindi hicho!
kuna mzee ana mabasi yatokayo moshi-usangi (sitamtaja)huyo mzee ni fire.
ametesa sana matrafiki waliokuwa wanasumbua basi zake.
kuna trafik alizoea kupiga mkono basi zake hadi leo mkono umebakia kauunyosha juu.hapana chezea huyo mzee!
hiyo ni ruti yake na kila ijumaa usafiri ni bure ole wako konda uchkue nauli unajikuta secret parts hazipo...!
Hiyo ya mzee mwinyi ilikuaje?uchawi upo zaidi ugweno,usangi na lomwe..
muulize rais wa awamu ya 2.
nadhani hata kwenye kitabu chake hakusalimia na hataki kukumbuka!
aliporudi pwani akatafuta wataalam waliobobea akawatuma kule wakasafishe vijiji vya kishirikina!
ilitokea kasheshe kubwa sana wakati huo ikawa ndio habari ya mjini kipindi hicho!
kuna mzee ana mabasi yatokayo moshi-usangi (sitamtaja)huyo mzee ni fire.
ametesa sana matrafiki waliokuwa wanasumbua basi zake.
kuna trafik alizoea kupiga mkono basi zake hadi leo mkono umebakia kauunyosha juu.hapana chezea huyo mzee!
hiyo ni ruti yake na kila ijumaa usafiri ni bure ole wako konda uchkue nauli unajikuta secret parts hazipo...!
Kwa hiyo unamlazimisha aamini ushirikina kama wewe?Shida yako nini mkuu?? Mtoa post kazungumza mengi sana ya huko na mpaka mwenyeji wa huko kakili kuwa kweli kuna ushirikina lkn wewe unakomaa tu sijui tatizo nini
Mbona umeguswa sana na suala hili ?umepanic sana dada . 😁Uhusiano uwe wowote unaoujua wewe lkn punguza kuhojihoji upuuzi
Tena amekasirika sana kuona mimi sikubaliani na hoja mfu.....🤣Kwa hiyo unamlazimisha aamini ushirikina kama wewe?
Sio Same.
Sofe ya kiume sio[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sio Same.
Ni wilaya ya Mwanga kijiji cha Kilomeni Sofe
Mmh!Sofe ya kiume sio[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ngoja nijiandae nikaongeze makago.Kule ni full package
Ukichunguza jamii inayoamini sana ushirikina utagundua iko sawa na jamii ambayo haijaelimika, Mwisho unagundua kwamba ushirikina unaishi akilini tu kama ulivyo ujinga.Tena amekasirika sana kuona mimi sikubaliani na hoja mfu.....[emoji1787]