Uchawi ulivyotamalaki milima ya Same Upareni

Sitaki hata kupasikia[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona unakimbia mkuu mm nataka niende huko napasikiasikia tu kuwa pako Moto ndy maana nikaomba uzoefu wako
 
Nenda tu ila nakuombea sana[emoji2]
 
Guest ziko makanya bondeni
Nataka nikachimbe kujua zaidi why ushiriakiano, misingi yake, coehesion yao kwa ujumla si jambo la kawaida kwa kweli. Na je kuna masalio ya kijiji kilichozaliwa kutoka katika vijiji vya ujamaa? Kupitia picha nimepata kitu cha kwenda kufanya hasa cha utafiti na aina ya mazoa na geografia
 
Halafu tena gari yenyewe ni Toyota Stout ya mwaka 1986, ambazo zimebaki Kilimanjaro tu. Miaka ya nyuma niliitafuta sana mpaka nikatoa Tangazo hapa bila mafanikio yoyote.
Land cruiser ya kawaida sio Stout hiyo.
 
uchawi upo zaidi ugweno,usangi na lomwe..
muulize rais wa awamu ya 2.

nadhani hata kwenye kitabu chake hakusalimia na hataki kukumbuka!

aliporudi pwani akatafuta wataalam waliobobea akawatuma kule wakasafishe vijiji vya kishirikina!

ilitokea kasheshe kubwa sana wakati huo ikawa ndio habari ya mjini kipindi hicho!

kuna mzee ana mabasi yatokayo moshi-usangi (sitamtaja)huyo mzee ni fire.
ametesa sana matrafiki waliokuwa wanasumbua basi zake.

kuna trafik alizoea kupiga mkono basi zake hadi leo mkono umebakia kauunyosha juu.hapana chezea huyo mzee!

hiyo ni ruti yake na kila ijumaa usafiri ni bure ole wako konda uchkue nauli unajikuta secret parts hazipo...!
 
Kilenga [emoji3]
 
Hiyo ya mzee mwinyi ilikuaje?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom