Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Nitafurahi sana Mzee wangu Ms umjibu huyu MM, Hasa katika mistari hii tu aloweka hapa,,
Mohamed Said, Japokuwa ni vizuri kwa hilo, Ikiwa unataka kila mtu aliyekuwa ndani ya TAA/TANU aenziwe, hivi leo hii watunza fedha wa ccm na wa Chadema hivi leo wewe unawafahamu na wanaenziwa kwa uzito gani katika majukwaa ya siasa?Ndugu yangu Ritz,
Hayo ndiyo maswali mimi nikijiuliza kila siku.
Bado hujamjua Idd Faiz Mafongo.
Hebu mtazame hapa chini nilivyomweleza katika kitabu:
In the early days the post of the Organising Secretary was always changing hands between Mtemvu (who was TANUs first organising secretary) Denis Phombeah, Oscar Kambona, Idd Faiz Mafongo and Stephen Mhando.
Hapo hapo alikuwa Mweka Hazina wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na TANU.
Wakati ule siasa ilikuwa kazi ya hatari sana.
Watu walikuwa hawakimbilii chama maana hakuna ''kula'' ila kutoa tu.
Abdulwahid alikuwa na biashara ya Kituo Cha Mafuta (Filling Station) kituo hiki kipo hadi
leo pale Ilala Boma mkabala.
Abdu alifilisika kwa kupeleka fedha TANU na kulipa mishahara ya baadhi ya watendaji wa chama.
Kuja uhuru kusahauliwa ndiyo ikaja kuwa ijaza yao.
Ukiwataja katika magazeti.
Magazeti yanakusanywa na kutiwa moto.
Ndugu yangu, ukitulia nakuwa msomaji tu huoni kuwa utapata mafaa?
Ritz hata kama wewe ni mpiga debe, hebu changanya na akili kidogo...ni katika nchi gani na ulimwengu upi ambapo mweka hazina wa chama cha siasa anatajwa au kuenziwa kwa mchango wake katika harakati za kisiasa?
Je chama ANC kilichoanzishwa na Zuberi Mtemvu, mweka hazina wake alikuwa nani?
Je chama cha CUF, Chadema, TLP na kile cha cha Mafisadi na wauaji, mbona hawatajwi?
Ingefaa zaidi kama ungemsaidia Mohamed Said kujibu maswali anayoulizwa, acha papara papara! Kwa kukumbusha maswali ni haya kumhusu mzee wake Mohamed, Abdulwahid Sykes, mjukuu wa mlowezi, Mzulu, aliyetumiwa na Wajerumani kuwapiga vita na kuwaua Watanganyika;
- Abdulwahid Sykes aliingia kwenye uongozi wa AA mwaka gani kwa mara ya kwanza na kwa wadhifa gani?
- Je mwaka 1946, Mwalimu Nyerere alipohudhuria mkutano wa AA Dar es Salaam kama katibu wa tawi la Tabora, Abdulwahid alikuwa na nafasi gani ndani ya AA?
- Je, Abdulwahid Sykes alihudhuria huo mkutano uliofanyika mwaka 1946 Dar es Salaam na kwa wadhifa upi ndani ya AA?
- Je, Abdulwahid Sykes kama alihudhuria, kwa nini idaiwe ni mwaka saba baadaye, 1953, ndio kakutana na Nyerere kwa mara ya kwanza?
- Je, kama mwaka 1946, Abdulwahid Sykes hakuwa na sifa wala wadhifa wa kuhudhuria huo mkutano wa AA, nani kati yake na kaka yake Mwalimu Nyerere alitangulia kwenye siasa?
- Je si kweli kuwa Dr. Kyaruzi, aliyefahamiana na Mwalimu Nyerere toka Makerere, ndiye aliongoza mapinduzi ndani ya AA mwaka 1950 na yeye kuchaguliwa Raisi wa kwanza wa TAA?
Wewe umekuja kwa papara ukala za uso unatafuta pakutokea huna. Hivi ulifikiri nyerere ndio muasisi wa TANU?
huna hoja yakusumbua akili yangu, Lau ungelikuwa gaid kama Mohamed Said ningeshughulika nawewe, by the way unaweza
kujibu hoja kumsaidia Kibwetele (mohamedi) maana wewe nimfuasi wake. sana sana naweza kopi na kukuwekea maswali hapa
nikiona inafaa ukweli nikwamba huna majibu.
Umeisoma hotuba ya Mwalimu Nyerere wakati akiliaga taifa mbele ya wazee wa Dar?
Ndugu yangu kwani shida ipo wapi? Nani kakataa kutambua mchango wa Idd Faiz?Mag3,
Kwa hiyo wewe upo hapa kama mpiga debe wa familia ya Nyerere?
Idd Faiz Mafongo,
Siyo mweka hazina tu unajifanya unajua historia wakati hujui kazi alizokuwa anazifanya Mzee Faiz Mafongo ngoja nikupe darsa kidogo kuhusu huyu mzee unayemponda.
Huyu pamoja kuwa mweka hazina wa TANU vilevile aliifanyia kampeni TANU, akifuatana na Nyerere katika safari za awali za kukitangaza chama, akihutubia mikutanoni jukwaa moja na Nyerere. Na yeye na kaka yake Idd Tosiri ndiyo waliompeleka Nyerere kwa binamu yao Sheikh Mohamed Ramia wa Bagamoyo.
Idd Faiz alikwenda mpaka Tanga kutafuta pesa za kuongezea safari ya Nyerere kwenda UNO.
Mlivyokuwa na dharau mnaropoka tu ovyo eti mweka hazina nani atamuenzi.
Hayo maswali yako hayana tija unauliza ili ujifunze.
Mohamed Said, Japokuwa ni vizuri kwa hilo, Ikiwa unataka kila mtu aliyekuwa ndani ya TAA/TANU aenziwe, hivi leo hii watunza fedha wa ccm na wa Chadema hivi leo wewe unawafahamu na wanaenziwa kwa uzito gani katika majukwaa ya siasa?
Mkuu Maalim Mohamed Said, pamoja na tofauti zetu haswa katika uzushi kwa Nyerere, uchochezi, uwongo na fitna na uchonganishi, siku zote huwa nakupongeza kwa uwezo wako mkubwa wa kusimulia hadithi, natamani ningekuwa nimechumbia kwako ili wajukuu zako wafaidi hadithi za babu, hopping usingewalisha hii sumu ya udini iliyotamalaki katika simulizi zako.
Mmoja kati ya uliowataja kwenye picha hii ni Robert Makange, huyu na Baghdelah, waliwahi kufungwa gerezani kwa kuitumikia TANU.
Asante kutukumbushia. Asante na mleta picha!.
Pasco.
Nilikuwepo. Wewe ndio ujazwe ujinga kwa kumsoma. Ulimsikia aliposahau cheo cha Abdul Wahid, au hilo hujasikilizishwa?
Mag3,
Kwa hiyo wewe upo hapa kama mpiga debe wa familia ya Nyerere?
Idd Faiz Mafongo,
Siyo mweka hazina tu unajifanya unajua historia wakati hujui kazi alizokuwa anazifanya Mzee Faiz Mafongo ngoja nikupe darsa kidogo kuhusu huyu mzee unayemponda.
Huyu pamoja kuwa mweka hazina wa TANU vilevile aliifanyia kampeni TANU, akifuatana na Nyerere katika safari za awali za kukitangaza chama, akihutubia mikutanoni jukwaa moja na Nyerere. Na yeye na kaka yake Idd Tosiri ndiyo waliompeleka Nyerere kwa binamu yao Sheikh Mohamed Ramia wa Bagamoyo.
Idd Faiz alikwenda mpaka Tanga kutafuta pesa za kuongezea safari ya Nyerere kwenda UNO.
Mlivyokuwa na dharau mnaropoka tu ovyo eti mweka hazina nani atamuenzi.
Hayo maswali yako hayana tija unauliza ili ujifunze.
Ha ha ha!Umeisoma hotuba ya Mwalimu Nyerere wakati akiliaga taifa mbele ya wazee wa Dar?
Halafu wewe ndiyo unasema mnataka kuandika historia mpya.
Hebu ni tutajie wanachama 20 wa mwanzo wa TANU.
Ndugu yangu,huww sijibu maswali ya kejeli.Halafu wewe ndiyo unasema mnataka kuandika historia mpya.
Hebu ni tutajie wanachama 20 wa mwanzo wa TANU.
Kuwepo sio tiketi yakuelewa kilichozungumzwa, kama hapa tu unakuwa mzito kuelewa, je utaelewa chakusikliza tu bila kusisitizwa na kukaziwa kam tufanyavyo hapa kwako?
Kijana, ungekaa pembeni kidogo kwani hakuna unachochangia cha maana...msaidie mentor wako kujibu maswali aliyoulizwa. Wakati nasubiri majibu kwa maswali yangu sita ya mwanzo, nimeongezea na la saba...maswali yenyewe ni haya;Jamaa yako Mag3, Msome ndiyo nimemjibu anakuambia mweka hazina umuenzi wa nini?