Hilo tu? Kwa hiyo fisadi Rostam Aziz ni muhimu sana kwa URAIS wa Rais wetu JK?
Mzee Mohamed hapo ndiyo unanichosha, yaani hoja ikija imenyooka hujibu ikinyumbuliwa nyumbuliwa unarukia kamstari kamoja kutengeneza hoja yako.
Hoja yangu inabaki vile vile na haipingiki "Kuwa na kitabu au kuingia library of congress haimaanishi kitabu chako ni hadithi sahihi, au kina uzito unapuport kukipa". There is a lot of stupid books in there na pia kuna wajinga wengi tu wana vitabu mle nikautolea na mfano wa Todd Akin. Hili hujawahi kuambiwa na nadhani ulikuwa hulijui, ulifikiri kuwa na kitabu mle ni umahiri. To you it's a big deal, oh yeah it is!!!!ndiyo maana huishi kulizungumzia kila kwenye mjadala humu JF kuhusu kitabu chako. Na kwa taarifa yako vitabu kibao hutupwa kila mwaka, very likely hata chako kilishaondolewa mle loooong tyme!!!!! Lakini wewe bado unaendeleza tambo tu, ndiyomaana nikasema haya mambo mengine muendelee kudanganyana hukohuko Tanganyika.
Labda katiba ya TAA na ya TANU hazimo katika rundo la nyaraka alizoachiwa na wazee wake...

Bahati nzuri uliyonayo ni kwamba hivi unavyoandika ndivyo unavyoongea pale Radio Imani. Haukawii kujisifia kwa sana tu ili kuziba mapungufu yako. Hii ni kwa watu wengi tu wanaodhani akili na mawazo yao yako juu zaidi ya watu wengine! Ubarikiwe sana.
Mzee Mohamed hapo ndiyo unanichosha, yaani hoja ikija imenyooka hujibu ikinyumbuliwa nyumbuliwa unarukia kamstari kamoja kutengeneza hoja yako.
Hoja yangu inabaki vile vile na haipingiki "Kuwa na kitabu au kuingia library of congress haimaanishi kitabu chako ni hadithi sahihi, au kina uzito unapuport kukipa". There is a lot of stupid books in there na pia kuna wajinga wengi tu wana vitabu mle nikautolea na mfano wa Todd Akin. Hili hujawahi kuambiwa na nadhani ulikuwa hulijui, ulifikiri kuwa na kitabu mle ni umahiri. To you it's a big deal, oh yeah it is!!!!ndiyo maana huishi kulizungumzia kila kwenye mjadala humu JF kuhusu kitabu chako. Na kwa taarifa yako vitabu kibao hutupwa kila mwaka, very likely hata chako kilishaondolewa mle loooong tyme!!!!! Lakini wewe bado unaendeleza tambo tu, ndiyomaana nikasema haya mambo mengine muendelee kudanganyana hukohuko Tanganyika.
mzee ms ww na kakako elimu mliipa tz au nnje ya nchi?N,
Ndugu yangu nimefika Library of Congress.
Ikiwa huamini basi.
Si jambo kubwa.
Mimi Allah kanifungulia dunia Alhamdulilah.
Nimetembea kwingi sana.
Mimi na kaka yangu sote tumezaliwa Kipata.
Yeye ni Prof. Ph D Genetics.
Iko siku tunakula dinner Cape Town na wake zetu.
Nikamwambia, ''Kaka from Kipata to Cape Town...''
Tuliangalia tulikotoka Kipata, Gerezani leo tuko Cape Town...
Ngoja nikuage na hii.
Nimewahi kuzuiwa Heathrow kuingia Uingereza kwa sababu tu passport yangu
ilikuwa imeingia nchi nyingi sana.
Walidhani mie Mzungu wa Unga...
Baada ya kujiridhisha wakaniachia.
Wewe inakutisha hiyo Washington DC kuwa sijaingia Library of Congress...
Nimefika hadi New York Columbia University kwenda kuona alikosoma shemeji yako...
Nilipokelewa na walimu wake na walinialika hadi nyumbani kwao New Jersey...
Mie si limbukeni nijisingizie nijikwaze...
Haya naeleze kukata kibri chenu.
Kwa kawaida sie huwa hatujinasibu.
Matusi au kejeli kivipi mkuu wangu? Wewe mpaka sasa umetuonyesha picha tu unazotamba ndiyo umeziweka mtandaoni.Hakuna shida ndugu yangu.
Mdomo haumkatai bwana wake.
Utasema kama unavyouamrisha.
Iwe matusi au kejeli.
Mtwa,
Ndiyo maana nikaandika historia ya uhuru wa Tanganyika ili
kuonyesha tulikotoka na kuonyesha fitna hii ya udini kaileta
nani na nini ilikuwa sababu yake.
Soma kitabu changu ''Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes...''
Kuna mengi ya faida.
WC,
Lakini Tanzania inaendeshwa na Mfumokristo.
Hili ndilo tatizo.
N,
Ndugu yangu na tujaalie si kuwa kimetupwa hata kufika huko
hakikupata kufika.
Tatizo liko wapi?
Mzee Mohamed,
Mimi nilidhani ulipokuwa ukipinga kuwa TAA hakikuwa chama cha starehe nilidhani umesimamia ndani ya katiba ya chama hiki kumbe ulikuwa unapinga tu kwa kuwa Mwalimu alisema hivo! Uliwezaje kuifahamu TAA na baadae TANU bila ya kuziona na kuwa nazo katiba za vyama hivi? Kumbe wewe ni mtu wa kuhangaika na watu na majina yao tu!
Tupatie katiba ya mwisho ya TAA na ile ya KWANZA ya TANU. Itatupatia majibu mengi tu ya hoja hizi.
Hizi sasa hasira, tatizo ni kuwa mzee wetu wewe kuna baadhi ya mambo ambayo ni ya kawaida mno lakini ukiwa maeneo yako ya kujidai unatumia hoja hizo kama ndiyo authority ya ukweli wa hoja zako. Kwenda nchi tofauti tofauti wengine ni sehemu ya kazi zetu so would be a lot of others, lakini siwezi kuja hapa kuelezea hayo maana ni nje ya mada.
Mzee wetu wewe ukighafirika kidogo tu lazima utumbukize tambo. Si nia yangu kudiscredit kazi yako ila pale unapopotosha umma makusudi kwa kutuletea hadithi zisizothibitishwa tutakuhoji tu and that is the meaning of a forum.
Mkuu wangu Mohamed Said kati ya mabandiko yako mengi pengine hili naweza kukubaliana na wewe.Sipingi kwamba Mwl Nyerere alikuwa hakosei hapana najua alikuwa na madhaifu yake mengi kama walivyo binadamu wote.Wakuu Ritz zomba Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Mchambuzi Mkandara... Tazameni kwa makini hiyo list ya madaktari utabaini wote ni wagalatia sasa nauliza swali rahisi sana Mwl Nyerere alikuwa akiwagandamiza wagalatia wenzake !.
Sasa Mzee wangu Mohamed, hivi vyeo unavyotaja wazee wako wamewahi kuvishika vilitokana na nini kama sio KATIBA hizo? Au walikuwa wanagawana vyeo na madaraka haya kama njugu au vikombe vya kahawa? Na haya ya ku-copy na ku-paste toka kwenye katiba ya Nkrumah uliyaona wapi au na yenyewe ulisimuliwa na wazee wako?WC,
Wala using'ang'anie katiba.
Wala sikupata kuitafuta.
Ikiwa wewe unaona katiba ni kitu muhimu vyema itafute utuandikie
tufaidike na elimu yako.
Mimi nilishughulishwa na majina ya wazee wangu na yale
walofanya.
Wala sikuhangaika na hiyo katiba ya AA kwangu ilinitosha
kuwa Kleist Sykes babu yangu ndiyo alikuwa katibu muasisi
mwaka 1929.
Kama unadhani kuhangaika na majina ya wazee wangu ni
kasoro kwangu si kasoro ndiyo kazi yenyewe khasa iliyonishughulisha.
Ila napenda kukufahamisha kuwa uongozi wa TAA haukurasimu katiba
mpya. Katiba ya TANU ilinukuliwaneno kwa neno kutoka Convention
People's Party (CPP) ya Kwame Nkrumah, kwa kuweka TANU mahali pa
CPP.
Yericko Nyerere,
Next time kama unatuahidi jambo flani, you better be damn sure that you can deliver, or else kaa kimya.
Hotuba mpaka leo hakuna
Majina ya wahaini mpaka leo hakuna
Facts kutoka "nyumbani kwenu" hakuna
Hard evidence kutoka "nyumbani kwenu" hakuna
Hakuna, hakuna, hakuna..
Tutendee haki na sisi tunaosoma huu mnakasha wiki inaenda ya tatu hii.
Hivi ingekua mgala kitabu chake kipo Library of Congress, kimepata reviews Oxford na Cambridge, mtunzi anaitwa na vyuo vikubwa vikubwa duniani, alafu waislam tunasema hizo ni ngano tu, hivi ingekuaje?
Good argument kaka, lakini swali moja tu
1. Wewe mtunzi kufanya extensive reading of books, of which some of them have been published by the likes of Oxford University Press and Cambridge University Press
2.Publisher kukubali kukipublish
3.Kitabu kinaenda toleo la tatu
4.Vyuo vikubwa duniani, kwa mitaala ya African Studies, wakakifanyia review
5.Ukaalikwa na vyuo tofauti tofauti duniani ukatoe public lectures na a session of Q and A baadae (of which kuna mtu mmoja kasema eti `public lectures hizo hazikuwa wa mfumo huo´)
Alafu anatokea mtu anakwambia "umetunga" hizi ni "ngano". "Umehadhithiwa na wazee wako, ukajifungia ukaanza kuandika". Jamani hii ndo hoju ya kukipinga kitabu?
Hutomwona huyu mtu ni kichekesho?
Ninawasilisha