Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #4,921
Ndugu bado hujajua njia stahiki za uandishi wa historia,Kuwahoji namna gani sasa,kila kitu kipo wazi na wao wenyewe wanakijua na wanakiskia mbona hawakanushi?
yani mtu anaonekana kabisa kavaa shati la kijan kisha umuhoji 'eti hii shati yako ni ya kijani?'
sasa hiyo itakuwa akili ama matope??
maswali yako yanakosa mantiki wakati mwingine..
Ni kwa sababu kwa miaka 15 uliweza kuwashawishi kikundi cha Waislamu kuwa unachosema ni kweli, kundi kubwa la wasomi wengi walikuwa hawajakaa chini kusikiliza au kusoma hoja zako. Bahati nzuri mtandao wa net huu umewezesha hoja zako kuwafikia watu wengi zaidi na watu kuzipima kwa ukaribu zaidi kuliko miaka 15 iliyopita. Kusema ukweli naamini muda si mrefu hoja zako zitajibiwa na kwa uzuri zaidi na hatimaye utalazimishwa kujibu hoja ambazo tumezitoa hapa. Hutoweza kuendelea kutoa madai yale yale ambayo hujaweza kuyathibitisha.
Kwa wakati huu furahia miaka kumi na tano ya unchallenged fame.
Hakuna mpaka sasa, hata mmoja aliyekuja akasema Mshume ni wa kutunga, Said Tewa hakuwepo, EAMWS haikuwepo, Abdul Skes hakumkaribisha Nyerere. Mashado Plantan si kweli. Mama Maria hakuuza mafuta ya taa Mchikichi, Iddi Tosiri ni wa kubuni hakuwepo mtu namna hiyo. TAA haikuanzishwa na wazee wa Dar. AA haikuanzishwa na Kleist Sykes. Mweka hazina wa kwanza wa TANU hakuwa mweka hazina wa Jammiatul Islamiya fi Tanganyika nayo haikuanzishwa na Sykes
Jamani, hivi mnachobisha haswaa ni nini? tarehe fulani? siku fulani? kavaa nguo gani? hakulitumikia kanisa?
Kuwahoji namna gani sasa,kila kitu kipo wazi na wao wenyewe wanakijua na wanakiskia mbona hawakanushi?
yani mtu anaonekana kabisa kavaa shati la kijan kisha umuhoji 'eti hii shati yako ni ya kijani?'
sasa hiyo itakuwa akili ama matope??
maswali yako yanakosa mantiki wakati mwingine..
hivi mzee mohamed unaweza kutukumbusha vita vya Kagera kwanini tulipigana kwasababu nimesoma gazeti la raia mwema sio annur kwamba Nyerere alikuwa na chuki na IDD AMIN na alikuwa anataka swahiba yake MILTON OBOTE na pia Nyerere alikataa chuo kikuu cha kiislamu kujengwa hapa Tanzania na OIC ndio kikajengwa Uganda hii ni moja wapo hoja za waislamu kwamba kuna mfumo kristo na the founder ni NYERERE
Asante sana mkuu kwa maelezo murua, bado mchango wako nimuhimu sana katika uzi huu mkuu, rudi ndugu uzidi kuwafunza waamini wa Mohamed Said
Asante sana mkuu kwa maelezo murua, bado mchango wako nimuhimu sana katika uzi huu mkuu, rudi ndugu uzidi kuwafunza waamini wa Mohamed Said
Mkuu, ntaweka record straight tu kwa baadhi ya maandishi yaliyofuatia lakini baada ya hapo ntashiriki kwa kusoma tu. Huu mjadala tulishaupeleka karibia mwaka before sijui this tyme utachukua muda gani.
Unaamini kuwa Mwalimu Nyerere ndie mwasisi wa hicho unachokiita ni mfumo kristu?
Thread kuu nimeeleza kwakirefu sana juu mfumo kristu na chimbuko lake hadiulipotokomezwa miaka ya 1961-1965 chini ya Mwalimu Nyerere huyohuyo unaedai leo kuwani founder wa mfumo kristu nchini,
Rudiaupyakuisoma ile makala pale juu mkuu
Nikakuuliza, Jee, kwa kuutokomeza huko ndio kawa mwenyeheri ? Kuelekea utakatifu ?
Yale yale:
Unaamini kuwa Mwalimu Nyerere ndie mwasisi wa hicho unachokiita ni mfumo kristu?
Thread kuu nimeeleza kwakirefu sana juu mfumo kristu na chimbuko lake hadiulipotokomezwa miaka ya 1961-1965 chini ya Mwalimu Nyerere huyohuyo unaedai leo kuwani founder wa mfumo kristu nchini,
Rudiaupyakuisoma ile makala pale juu mkuu
Hizi kweli ngano ni vizuri liwe bandiko lako la mwisho watu wanajadili mambo mazito wewe unaongelea habari za Madj's kina Chogo, Saydou.
Hapa unaonyesha kukurupuka kama kawaida yako, hivi wakati Mohamed Said anasema kanisa katoliki linashiriki mpaka kuchagaua vijana wa kuendelea na masomo alikuwa anazizungumzia Amana, Boma, Ilala, Lumumba, Mnazi Mmoja au gongo la mboto? Tunazungumzia shule za sekondari wewe unakuja na Olympio vipi? Taja shule za sekondari binafsi Dar kuanzia 1980 - 1990 utafahamu naongelea nini.Wewe huijui Dar eti unasema miaka ya 80 watu walikuwa hawapendi shule ni kichekesho nakutajia shule za Ilala tu Bunge, Gerezani, Amana, Boma, Ilala, Lumumba, Mnazi Mmoja, Msimbazi, Mtendeni, Muhimbili, Uhuru, Upanga, Zanaki, Olympio, Agha Khan, Tambaza, Kisutu, hizi shule walikuwa wanasoma kina nani hapa sijataja Kinondoni, Temeke.
Hivi kupasi si ndiyo neno lilokuwa likitumika au? Umekurupuka tena. Kwa hiyo kuchaguliwa kulikuwa bila mtihani au ndiyo ile hoja ya mwalimu wako kwamba Malima alianzisha kutumia namba za mitihani?Halafu darasa la saba kulikuwa hakuna kupasi wanachaguliwa tu bila hata ya kuona matokeo hapa ndiyo mfumo kristu unafanya kazi, umeishajiuliza wale ambao hawajachaguliwa kuendelea na kidato cha kwanza walikuwa wanaenda wapi au ndiyo hawa hawataki shule.
Nani analalamika mm naeleza nilichokiona na kilichokuwepo that time wewe unasema nalalamika Vp mbona unakurupuka tena????, Wanalamika walioshindwa mimi sikushindwa na sijawahi shindwa yale yote yanayowezekana na bado nasonga under the flag of striving for excellence. Habari ya Moshi na Iringa kutokuwa na bahari inakujaje hapa?????? Na nani kasema Mwalimu hakuwa na matatizo mengine?????Unalalamika kuhusu mabaharia wakati Dar kuna bahari hii ingekuwa Moshi, Iringa wangekuwepo mabaharia tu.
Kama Nyerere hakuandika jina lake uwanja wa ndege na chuo kikuu basi hana matatizo mengine
Huyo kishasema yeye anapinga mradi apinge tu.
Ndugu bado hujajua njia stahiki za uandishi wa historia,
Kumhoji mtu ni hatu ya mwisho na ya uhakika kwa asilimia miamoja kuliko kuamini na kuishi katika dhahania tu.
N,
Ndugu yangu amini usiamini.
Yote niliyoandika katika kitabu changu
ni kweli.
Narudia kukueleza tena.
Ilikuwa baada ya Prof. Haroub Othman
kusoma kitabu changu ndipo akaenda kwa
Nyerere.
Matokeo ndiyo haya ya kitabu cha Nyerere
kinachoandikwa hivi sasa.
Kuamini au kutoamini hilo ni chagua lako.
Prof. Ahmed Mohiddin, a former academician, told the East African that three people himself, Prof Haroub Othman, now live in Liberia, and former ambassador Ferdinand Ruhinda one of mwalimu's confidants had earlier approached the late Mwalimu to seek his consent.
YERICKO leo usiende church sikiliza sasa hivi radio imaan upate darsa mkuu
Historia gani sasa mnayoitaka nyinyi??
Si ni nyinyi mlioamua kuiita hii kuwa ni HISTOHISIA?
Kama mmeshaamua kupinga kila kitu yumkin hamtaamini kitu..!!
Hii redio naisikia kwa watu tu, inapatikana kwenye masafa yapi mkuu?
Ni historia ya uhuru wa nchi yetu takatifu
N,
Sikulaumu hata kidogo kwa kufananisha kitabu changu na vitabu vya
riwaya.
Kwa msimamo huo wako wala sitajishughulisha kukueleza lolote katika
matatizo yanayoikabili nchi yetu kwa hivi sasa.
Ila nitakuwekea hapa habari iliyochapwa katika gazeti la An-nuur la siku
ya Ijumaa iliyopita: "Wanafunzi Waislam sasa waikataa NECTA."
Wanafunzi hawa wamefanya mkutano na wameazimia kuandamana hadi
ofisi za NECTA.
Ikiwa hili litafanyika na polisi kama kawaida yao watapambana na hawa
watoto.
Mungu apishie mbali...
Naogopa hata kufikiria nini kitatokea.
Kauliwa mtoto wa Kiislam kwa kuikumbusha serikali kuondoa dhulma dhidi
ya wanafunzi Waislam...
Hapa ndipo tulipofika hivi sasa.
Haisaidii sana kuwapuuza Waislam na shutuma zetu dhidi ya mfumokristo.