Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Zomba,
Hapa nimegundua kitu kimoja.
Ndugu zetu hawakupata kusoma vitabu huko utotoni.
Ndiyo maana hata uandishi wao ni wa matata matata.
Huoni ile ''intellect'' katika maandishi yao.
Hayana kitu kabisa.
Mwisho yanaangukia katika matusi.
Hatukani mtu mwenye vitu katika kichwa
wala hapandwi na ghadhabu.
Kwa kuwa unaona bao unafungwa unavurugu
kete.
Ha ha haa...! Mohamed Said, JF inasomwa na watu makini zaidi ya Ritz, zomba na zubeda, chuki zenu kwa Baba wa Taifa ziko wazi lakini mimi kama nina chuki zangu ni dhidi ya wachochezi na wapuuzi ambao wameamua kwa makusudi mazima kupanda mbegu ya chuki miongoni mwa peace loving Tanzanians kwa kivuli cha dini. Ushahidi wa vitendo vyako nashukuru umevianika wazi wenye macho wavione na matunda yake kama ulivyotuhadharisha hapo nyuma vimeanza kuonekana. Sina ugomvi wowote na Waislaam na naamini Muislaam yeyote anayeongozwa kwa mafundisho mema ya dini ya Kiislaam hawezi kukuunga mkono na, upende usipende, hao wako wengi kuliko, kwa upofu wako, unavyofikiriaRitz, Huyu bwana angekuwa anasoma wala asingeuliza maswali hayo.
Ajabu anaandika kwa hamaki na chuki.
Mohamed Said, Kuna wototo wawili wa Skeys mmoja anaishi Canada na mwingine Uswisi ni watoto Ally au merehemu Abdulwahid.
Ha ha haa...! Mohamed Said, JF inasomwa na watu makini zaidi ya Ritz, zomba na zubeda, chuki zenu kwa Baba wa Taifa ziko wazi lakini mimi kama nina chuki zangu ni dhidi ya wachochezi na wapuuzi ambao wameamua kwa makusudi mazima kupanda mbegu ya chuki miongoni mwa peace loving Tanzanians kwa kivuli cha dini. Ushahidi wa vitendo vyako nashukuru umevianika wazi wenye macho wavione na matunda yake kama ulivyotuhadharisha hapo nyuma vimeanza kuonekana. Sina ugomvi wowote na Waislaam na naamini Muislaam yeyote anayeongozwa kwa mafundisho mema ya dini ya Kiislaam hawezi kukuunga mkono na, upende usipende, hao wako wengi kuliko, kwa upofu wako, unavyofikiria

GURNAH,wa kisutu ni yupi? zomba kasema gurnah wa swahili-hawa nawajua fika-my stance ni hawa ni wayemen parseeKaa kimya wewe umeulizwa ulikuwa unakaa nao wapi? walikuwa wanafanya biashara gani? huna jibu.
Kina Gurnah uliza kisutu yote wanajulikana kama wamechanganya damu usipende kudandia mambo wewe mtoto wa kiume unatupa mashaka.
Yericko Nyerere ndio yupi hapo?FAMILY MAN
Kama wee unaona vitu hivi ni sawa basi, laa ajabu nini? Kwani kwenda mwezini tusi au ndio maumbile ya mwenyezi Mungu? bila shaka mama yangu huenda na dada zangu in fact kila mwanamke amejaliwa hilo, ni sifa kubwa na ndio maana tumezaliwa au wewe mjuzi kuliko Mungu hadi unaona kitendo hicho ni aibu isozungumzwa?..Ati mfumo kristu ni sawa na mfumo wa damu, I mean jamani, sasa wewe ndio ulouunda huo mfumo kristu hadi ujue unavyofanya kazi...We vipi! mfumo wa damu unavyofanya kazi mwilini ni sawa na Mfumo kristo, sasa wewe damu ya Mwezini ambayo Mama ako na Dada zako wanazipata kwanini unataka kuunganisha na Mfumo kristo?
Hivi huu mnaouita mfumo kristu sijui, ndiyo unamfanya mtoto wa kiislamu ajibu sivyo ndivyo kwenye mtihani?????
Unamuuliza mwanafunzi swali, Makao makuu ya Tanzania ni mkoa gani? Mwingine anajibu MBAGALA, Mingine DODOMA. Sasa mfumo kristu ndo umemfundisha huyu mtoto makoa makuu ya tz ni MBAGALA? Acheni kubwabwaja, wasomesheni watoto zenu. Huu ujinga wa kujifariji kwa kuonewa na mfumokristu hautawafikisha popote. Unapohisi njaa hupigi kelele, unatafuta chakula unakula.
Mohamed Said naomba baraka zako nianze kushusha mafoto ya wazee wako wa gerezani kutoka kwenye archives za CIA