Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

DULLAH MSAVIVOR,

..tatizo siyo kama unavyoliona wewe.

..tatizo ni Mohamed Said kuandika historia akiongozwa na hisia za udini.

..yeye kila jambo lilolotokea wakati wa harakati za uhuru na baadaye analihusisha na udini, tena Uislamu vs Ukristo.

..Yako matatizo ya kisiasa yalitokea wakati wa awamu ya Mwalimu Nyerere, na rungu la usalama wa taifa lilipopita halikuangalia dini ya mtu. Watu wengi, taasisi na jumuiya zilizoonekana ni tishio kwa utawala wa Mwalimu, na siyo dini yake, zilishughulikiwa na vyombo vya usalama.

..vyama vya wafanyakazi vilivyokuwa na mchango mkubwa ktk harakati za uhuru vilivunjwa na kuanzishwa jumuiya wa wafanyakazi ya Tanu na baadaye CCM. Wanaharakati wa uhuru kama Balozi Christopher Kassanga Tumbo waliwekwa kizuizini -- nakumbuka Kassanga Tumbo alikuja kutolewa kizuizini na Raisi Mwinyi. Utawala wa Machifu ulifutwa na wapo machifu waliopelekwa uhamishoni. Zaidi, jumuiya ya Waislamu Afrika Mashariki ilivunjwa kwa tuhuma za kujihusisha na siasa.

..Mohamed Said ana mahusiano kindugu na baadhi ya Mashekhe walioshughulikiwa na vyombo vya usalama wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere. Sasa uchambuzi wake wa historia na matukio yaliyotokea uanaathiriwa kwa kiasi kikubwa na background yake hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapo bado hukuona umhimu wa kumhoji Nyerere ili upate "balanced information"? kwanini unamuamini Sivalon kuliko mhusika mwenyewe? Wacha Longolongo zako wewe!
 
Sasa hapo bado hukuona umhimu wa kumhoji Nyerere ili upate "balanced information"? kwanini unamuamini Sivalon kuliko mhusika mwenyewe? Wacha Longolongo zako wewe!

'They cripple the bird's wing, and then condemn it for not flying as fast as they''

Thats how ridiculous people does..
 
Tabu kuu kwenye huu mjadala ni positions ambazo baadhi ya wachangiaji wanakuwa wamechukua hata kabla ya kuchangia. Mfano kuna watu wanaamini kuna baadhi ya wachangiaji wanaamini waislamu ni watu wa madrassa na hawapendi shule na pia kuna wale wamnaoamini wakristo si lolote si chochote mfumo kristo tu ndiyo unawabeba hao. Hizi ni position za kipuuzi maana leo katika Tanzania ndani ya dk 1 unaweza kutaja waislamu zaidi ya 10 ambao ni intelligent, succesful na mfano wa kuigwa kwenyye jamii, vile vile unaweza kutaja in less than a minute wakristo zaidi ya 10 ambao ni wapuuzi, wajinga na wasiofaa kufanyiwa mfano katika jamii yoyote ile. The reverse is also true ndani ya previous statement.

Mtu kama Moh"d said anaamini hizo hadithi zake hazipingiki na ukipinga basi aidha wewe ni mwislamu bakwata au mkristo, Mohamed Said haiishii hapo anadai huwezi kuwa mpagani zaidi zaidi basi utakuwa ni sympathhizer wa wakristo, unatumia upagani kuvunga tu. Really?

Nilichokoncludi leo kutokana na maneno yake mwenyewe mzee saidi ni kuwa hicho kitabu ch Moh'd kilitungwqa mahsusi kwa ajili ya waislamu sasa nyie wengine vimbele mbele vyenu kucheza ngoma isiyo yenu ndiyo maana hamuelewi. Hiyo ndiyo mjumuisho wa hadithi za mzee wetu hutakiwi kuhoji wala kujiuliza shhurti uamini. Na kama wewe huamini basi ni sababu umefaidika na mfumo kristo au uko bakwata. Mzee saidi naona anafuata nyayo za wajina wake Mohamedi Saidi Chamwenyewe mwanzilishi wa AMNT. Kwa maelezo haya tu tayari kuna watu wakitizama kwenye kale kaengo ka udini nao wameshatoa konklusheni hahahahahaha!!!!!

Haya wajameni sisi ngoja tusubiri hangover3
 
CR,

Sijui hili jina la Mohamed Said Chamwenyewe umelitoa wapi.
Haya ndiyo matatizo ya historia ya uhuru wa Tanganyika.

Hata waliopigania uhuru hakuna awajuae hii leo.
Sina haja ya kuelezea AMNUT.

Nakushauri soma kitabu changu uwajue akina Chamwenyewe.

Hakika umesema kweli.
Kitabu hiki niliwakusudia Waislam.

Nimewakusudia Waislam hasa kizazi cha leo ili niwatoe unyonge
na udhalili wawajue wazee wao walifanya nini katika nchi hii.

Hilo la kuhoji tushapita huko na nilishauri kuwa ikiwa hamuamini
haya nisemayo kwa kuitikadi ni uongo leteni ukweli wenu.

Hili limeshindikana na niliyopokea ni kejeli na wakati mwingine
matusi.

Hakika kitabu changu niliwakusudia Waislam hata tabaruku yangu
niliitoa kwa marehemu Prof. Kighoma Ali Malima mtu aliyechukiwa
sana na mfumokristo.

Nadhani hutokuwa na wasiwasi na mimi tena.
Ushanielewa.
 
Kuna ukweli fulani katika hilo mkuu, furaha yangu ni kuwa kwajicho la tatu naangaza na kukinena chenye mafaa.

Ikiwa Mohamed Said na wafuasi wake watatoka kuzimu basi ni wakati mujarabu kunena kwa lugha moja kama watanzania.
 
Sasa hapo bado hukuona umhimu wa kumhoji Nyerere ili upate "balanced information"? kwanini unamuamini Sivalon kuliko mhusika mwenyewe? Wacha Longolongo zako wewe!

Gwalihenzi,

Wewe ndiyo acha longolongo wewe!

Mimi nina vitabu niloandika kwa mkono wangu.
Mimi nina papers nilizotoa katika vyuo vikuu kwa kinywa changu.

Longolongo ni wewe.
Mimi ni scholar.

Ushahidi ni huu nyote mmejumuika mmeshindwa hata kuja
na nusu paper tukaijadili.
 
Akigombana na hao ulowataja ndio kuwa hakuifungia EAMWS kwa husda
Waislam wataneemeka na Chuo Kikuu walichokuwa wanataka kujenga?
 
Akigombana na hao ulowataja ndio kuwa hakuifungia EAMWS kwa husda
Waislam wataneemeka na Chuo Kikuu walichokuwa wanataka kujenga?

surat bakora imetembea radio iman-na huu ni mwanzo-misikiti inayoleta uchochezi itafuata,wanasema lightning never strikes twice but this time it may-FFU wako standby ku repeat history flushing out trouble makers popote walipo-mwisho instigaters will be held accountable,hapa ndio utakuwa mwisho wa akina MS
 
The fastest growing religion in America, Africa, Europe, Asia, Latin America is Islam.

Alhamdulilah...
 
Son...

Kwani nyinyi mmeshindwa kiasi mnahitaji masaada wa FFU?
 
Scholar you are not sire, no you are not... a pseudo scholar you are..
 
Mohamed Saidi, huishi kujigamba! hujibu hoja kama msomi, umejaa majungu na fitina. Twambie kilikushinda nini kumhoji marehemu Nyerere ili utuletee na upande mwigine wa shilingi? Hillo huna majibu zaidi ya tambo zako za kitoto za kujiita wewe ni scholar! Scholar gani ambaye hawezi ku "Balance story"? Scholar gani ambaye anaandika kitu anachokiita Historia ya wazee wake bila hata kuleta ushahidi wa watu wengine anaowashambulia kwa sababu tu sio waislam! Kwanini uishikie kidedea story ya sivalon kana kwamba ni msahafu ambao hautakiwi kupingwa bila hata kumsikiliza Nyerere mwenyewe anayetuhumiwa? Wacha upuuzi na majigambo yasiyo nafaida yoyote katika jamii ya wapenda amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…