Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Hata Shigongo naye anasema anasomwa sana, na ndiyo maana na wewe ukamuiga kuandika kitabu cha mapenzi vipi mauzo mazuri nilikiona Mlimani City.

Mwanakijiji Watanzania kwanza hawakujui labda Chadema wenzako unaposema unasomwa sana unajidanganya Tanzania Daima ni gazeti la Chadema na wewe ndiyo uwanja wako ungekuwa unasomwa sana Chadema si wangechukuwa nchi.

Nenda Ukerewe, Magu, Masasi, Ngudu, Kayenze, Mafinga, Bumbuli, Makete, Meatu, Mkuranga, na kwingineko hakuna anayejua habari yako Mwanakijiji.

Unajulikana JF tu kwenye members laki moja.
 
Mohamed Said, Hakuna adhabu kali kwa mpuuzi kama kumpuuza anapo anza kuporomosha matusi yake.
Ritz I wish ungekaa kimya kwani mwishowe watu watashindwa kukutofautisha na chombo tu kama amplifier...whatever the input amplifier inayo kazi moja tu kuikuza hata kama ni kelele tu isiyo na maana. Huyu mchochezi unayemtetea hapa, siku tatu baada ya Raisi wa Kwanza wa TAA, Dr. Vedasto Kyaruzi kufariki moja wa wachangiaji wa JF, chama alikuwa na haya ya kusema kuhusu porojo za Mohamed Said;
Jibu la mwalimu wako lilikuwa hili hapa chini;
Ritz, chama hakukata tamaa na jibu hili, hivyo akaendelea kumdadisi Mwalimu wako;
Ritz yafuatayo ni majibu ya mwalimu wako Mohamed Said;
Bwana Chama, Naheshimu fikra zako siwezi kukulazimisha vinginevyo.
Ritz, hayo ndiyo majibu ya mwalimu wako Mohamed Said baada ya Dr. Vedasto Kyaruzi kufariki na hivi leo hata mwaka haujakatika. Mwalimu wako, mwandishi na mtafiti na mchochezi alikuwa anayo nafasi nzuri tu ya kumhoji na kuongea naye kuhusu mengi ya madai anayoyatoa humu lakini hakuthubutu hata kusogea karibu naye kwani kwa kufanya hivyo, porojo zake hazingeweza kunoga. Anadai Dr. Vedasto Kyaruzi hakuwa Raisi wa kwanza wa TAA huku akijua wazi kabisa kwamba uchaguzi wa kwanza kabisa kwa viongozi wake ulifanyika mwaka 1950 na docta kuchaguliwa Abdulwahid Sykes akiwa katibu wake. Sababu kubwa ya AA kugeuka na kuitwa TAA mwaka 1948 ni kujitoa kwa Zanzibar na viongozi wake kugomea mkutano ulioitishwa Dar es Salaam.

Ritz hapa tunapata picha gani? Je aliomba kumhoji Dr. Vedasto Kyaruzi akakataliwa? Je kweli ni utafiti kuandika kitabu bila kupata source kutoka kwa mhusika mwenyewe akiwa hai? Halafu bila hata chembe cha aibu anadai ni yeye tu ndiye anaijua historia ya kweli ya harakati za uhuru wa Tanganyika! source? Wazee wake wa Gerezani! Kusema kweli Ritz, mtu anayeweza kutoa madai kama hayo ya mwalimu wako, nakosa hata jina linalomfaa...am mesmerized, perplexed and astounded at the audacity of it all! But what's worse is the fact there are Ritzes out there swallowing these scuttlebutts as if their lives depended on them! Endeleeni kumeza hizo ngano zake lakini wajanja wengi wameshamshtukia, nawapongeza wote waliojivua minyororo ya ujinga.
 
Wewe unasema ni ATHEIST lakini akitajwa Sivalon J. unakasirika na povu linakutoka, utaki kabisa Sivalon watu wamtaje. Vumulia au kakipige marufuku kitabu chake cha.

Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985.
Ritz, sasa hayo ni majungu, umekuwa unanisingizia mambo mengi, mara unanituhumu kuwa mie naukejeli uislam nilikutaka unionesha mahali popote nilipofanya hivyo hukuonesha. Sasa unakuja na tuhuma nyingine ati natokwa povu Sivalon akitajwa, huo nao ni uongo. Nilicho mtahadharisha huyo mzee wako mzushi ni kwamba asiyachue maandiko ya Sivalon kama msahafu kwamba haya wezi kukosolewa! yeye mzee wako mzushi Mohamed Saidi kilimshinda nini kwenda kumhoji Nyerere akiwa hai ili atoe maoni yake juu ya tuhuma za Sivaloni? huoni hapo tungepata "a balanced story"? Sasa hapo mapovu yako wapi?
 

mimi Mohamed said nimemjulia jf, lakini Mwanakijiji nimemjua muda mrefu sana toka kwenye makala zake Tanzania daima pamoja na Mwanahalisi... Kwani Mohamed Said uko ukerewe na pengine ulipopataja anajulikana? Labda Dully Sykes anajulikana Tanzania nzima na nyimbo zake huwa nazikubali sana, sema ukweli Dully Sykes namkubali sana... Kwa hilo bandiko lako unataka unieleze nini!?
 

Mag3,

Sikuelewa unataka kusema nini naona unataka kunifunga mdomo vumilia bahati nzuri kila mtu na fikra zake kama unaona michango yangu aikupendezi nipuuze tu lakini siwezi kukaa kimya.

Vipi bado haujafika muda wa kumuumbua Mohamed Said.

Mtu kama wewe ni wakupuuzwa tu unasema mwaka 1961 ulikuwa unasoma hukuwai kuwasikia hawa wazee wa Kariakoo Mohamed Said ni muongo hawa wazee hawakuwepo umekuja kuwasikia kwa Mohamed Said wewe si ndiyo muongo waheed.

Mag3, mimi sipo humu kufurahisha watu wala kujua watu watasemaje kuhusu mimi fikra zangu huru napima mambo.
 
Last edited by a moderator:
kama kawaida yangu napita hapa nadaka elimu/ilimu halafu naishia zangu....mengine nawaachia wataalamu.
 

Wewe si mfuasi wa Chadema lazima umfahamu Mwanakijiji.

Labda nikuulize swali na mie Mwanakijiji na Wema Sepatu au Lulu nani maarufu Tanzania?
 
Wewe si mfuasi wa Chadema lazima umfahamu Mwanakijiji.

Labda nikuulize swali na mie Mwanakijiji na Wema Sepatu au Lulu nani maarufu Tanzania?

mbona na wewe unamfahamu Mwanakijiji? Kwa hiyo na wewe ni mfuasi wa chadema!? Jibu ni hili kwa swali lako, kwani kati ya ommy dimpoz, khadija kopa au linah na Mohamed Said nani ni Maarufu Tanzania? Kama X=Y, X=Z hapo Y=Z nafikiri jibu umelipata...
 
mbona na wewe unamfahamu Mwanakijiji? Kwa hiyo na wewe ni mfuasi wa chadema!? Jibu ni hili kwa swali lako, kwani kati ya ommy dimpoz, khadija kopa au linah na Mohamed Said nani ni Maarufu Tanzania? Kama X=Y, X=Z hapo Y=Z nafikiri jibu umelipata...

Jibu swali la msingi kijana Mwanakijiji na Wema Sepatu au Lulu nani maarufu?

Mimi simfahamu Mwanakijiji.
 
Maapovu ya nini kaka?
 
Jibu swali la msingi kijana Mwanakijiji na Wema Sepatu au Lulu nani maarufu?

Mimi simfahamu Mwanakijiji.

yaani hapo ni sawa na kufananisha Nyumba na Bajaj... Ni vitu ambavyo haviendani... Sawa sawa unaniuliza eti Bajaj na Nyumba ipi yenye mwendo wa kasi... Ritz mtoto wa Igoma Mwanza kuwa mwelewa basi...
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha dah nimecheka sana mkuu.....huu mnakasha unaburudisha na kuelimisha pia japo kwa wengine umeshawasababishia ban.
 
Nguruvi,
Nguruvi hujakosea.
I am a gifted story teller just like Irving Wallace.
Seriously I am not jocking.Try me out.
I trust you as a story teller of our times, unfortunate we will never let you ruin another generation. History isn't synonymous to ngano hence not every story teller is a historian.
 
Kwanini watanzania tunapenda sana kushabikia udini? Hivi udini utatusaidia nini ktk taifa letu? By the way katiba yetu inasema serkali haina dini, sasa sisi hili suala litatuondolea umasikini tulionao? Ok, tuseme sasa nchi yetu ni ya kikristo, ya kiislam, then what next?
 
I trust you as a story teller of our times, unfortunate we will never let you ruin another generation. History isn't synonymous to ngano hence not every story teller is a historian.


"Concerning non-violence: it is criminal to teach a man not to defend himself when he is the constant victim of brutal attacks
 
I trust you as a story teller of our times, unfortunate we will never let you ruin another generation. History isn't synonymous to ngano hence not every story teller is a historian.

Nguruvi..huyu bwana kwa kujigfananisha na Irving Wallace amesema mengi kuhusu uandishi wake...
 

Yote mema mbona? Miye kutokujulikana ndio signature yangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…